Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa
Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu
Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida
Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama.
Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu.
“Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
Rais Donald Trump amemtuhumu Barack Obama kwa uhaini, akidai aliongoza njama ya kumhusisha na Urusi ili kuhujumu kampeni yake ya 2016, ingawa hakutoa ushahidi. Msemaji wa Obama alikana madai hayo na kuyaita ya kipuuzi na ya kupotosha
Ripoti ya intelijensia ya Marekani ya 2017 ilibaini kuwa...
Tawala zisizo za kidemokrasia za Africa huwa zinapenda zaidi kuchukua mifano mibaya na makosa ya magharibi kuhalalisha maovu yao na ukandamizaji wanaowafanyia wapinzani na wakosaoji wao, ikiwa msukumo wa Trump na serikali yake pamoja uhanikizaji wa MAGA utafanikiwa kuwapa shinikizo waendesha...
Mods ,naomba msiiunganishe Huu Uzi !!.
Jeshi la Polisi liache Uhuni na Uonevu dhidi ya CHADEMA na LISSU .
Wakati Zitto Kabwe akiendeleza kufanya Islamic Radicalization Ndani ya Mikoa inayokaliwa na Idadi kubwa ya Waislam, Akiwachochea Kufa Kwa ajili ya kulinda Kura, Ni majuzi tu kanukuliwa...
Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha.
Amekazia kuwa Lissu alipelekwa Mahakamani ili akatoe tafsiri sahihi ya kukinukisha.
Kwa mantiki hii na muktadha huu...
Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi.
Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.??
Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
Mahakama ya Kisutu ambayo haina uwezo wa kuisikiliza.
Mbona ni kama kupoteza muda na raslimali.
Na Tunaambiwa UHaini ni kosa kubwa sana.
Sasa Kwa nini Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Rekebisheni hapo, haya makosa makubwa yafunguliwe mahakama kuu moja kwa moja.
Baada ya kuisikiliza submission ya Mh. Tundu Lisu leo June 16, 2025, kwenye kesi yake ya uhaini nimeikumbuka barua maarufu kama "Letter from Birmingham Jail" ya 1963 Dr. Martin Luther King Jr.'s iliyosema "Injustice anywhere is a threat to justice everywhere,"
Ukiachilia mbali maelekezo ya...
Sovereignity state for the freedom of people's imeamua kupambana na wananchi huru wanaopinga uvunjifu wa haki za binadamu.
Nani asiyejua aliyemfunga Paka kengele,kengele imebana shingo ya Paka ,Sasa anatapatapa!
Utekaji umeondoka na kisiwa Cha amani,hata wageni au watalii si salama Tena,kwa...
Wakuu
Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa.
Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
Note: Nchi yoyote inayoendekeza kesi za uhaini, mwisho wake ni mbaya!! Uhaini siyo jambo la mchezomchezo!! Na kwa nchi zenye viongozi wenye upeo wa mambo, haziwezi ruhusu kesi za uhaini wapewe non-millitary personels ovyo ovyo!
Demokrasia yetu kidogo inaendana na Afrika Kusini. Nginjanginja za...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada.
Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
uasi = rebellion
A rebellion is a violent organized action by a large group of people who are trying to change their country's political system.
Rebellion: When a group of people openly and forcefully go against the government or leader in charge.
It can also mean when someone goes against a...
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?
Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.
Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.
Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.
Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.