uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mngony

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

    Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni. Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, PM ndio Tatizo? Je, ni uhaini kujadili mitandaoni Uwezo wake?

    Ujasusi, Uwezo binafsi wa kuchanbua Na kuchakata Mambo ni Jambo la kuiga hata Kama si kipaji chako Yapo Makundi mawili yanayoshnikiza PM kuondoka katika nafasi yake nayo ni kama hivi 1.wapinzani , hao ni kawaida kusema fulani aondolewe Na hata mara nyingi maneno Yao uwa hayatishi kwakuwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza vizuri Lt Urio hii kesi ya Mbowe ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi. Urio aliombwa kusaidia CHADEMA kutwaa madaraka Wananchi wasiteseke

    Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi. Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini. Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yaondoa mashtaka ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani

    Serikali ya Uganda imeifuta kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa chama cha upinzani Kizza Besigye, ambaye alikuwa akipambana kumuondoa madarakani rais Yoweri Museveni ambaye ametawala kwa kipindi cha miaka 35. Besigye, amegombea nafasi ya urais mara nne na alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya...
  5. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Endapo 1985 Nchi yetu ilikuwa imeendelea kwa kiwango Cha kuruhusu vyombo vya habari kuripoti kesi ya uhaini kesi ya Mbowe ina nini?

    Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani? Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani? Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe isizuiwe watu kutaarifiwa

    Jana dunia nzima ilifaidi kesi ya Mbowe na hata Jaji alisema ana taarifa kwamba proceedings za kesi hiyo zinataarifiwa mitandaoni. Tulifaidi RPC wa Kinondoni alivyhojiwa na Advocate Kibatala hadi akaomba kwenda kukojoa. Jioni watu wakanusa mkakati wa kukatazwa kuingia na simu, siyo Mahakama...
  7. Jobless Graduate2021

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye chapisho la Kesi ya Uhaini 1964,1969, &1984

    Habari wakuu, Naomba mwenye publication yeyote inayohusu hiyo historia naomba msaada nimevutiwa kuyafahamu kiundani matukio haya. Natanguliza Shukrani zangu za dhati
Back
Top Bottom