uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama ulizila hizi pipi enzi kwa utotoni na bado umeganda tu hapo kwenu, hutaki kutoka upewe kesi ya uhaini

    Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao. Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi wake walijaribu kumpushi wakampa na mtaji wa kuuza magari, wakamwambia atoke nyumba akajitafutie...
  2. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Tanzania na kosa la uhaini

    Kupitia mijadala mbalimbali na hasa baada ya TAML kukamatwa na kufunguliwa shitaka la uhaini kumekua na mijadala mingi sana na nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajielekezi kwenye kanuni za uhaini. Ili uhaini utendeke vipo vipengele kadhaa (principles) vikamilike ndio waweza kumtia...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Mjue mmoja wa wanaojiita wanaharakati waliozuiliwa na kesi ya uhaini -Utaanza kunusa kitu

    Atuhaire was born in Sheema District in about 1988. Her childhood was difficult as her father spent too much money on alcohol. She completed high school due to a scholarship at Alliance School Mbarara. Lack of money meant that she could not fulfil her ambition to take law so she studied...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kesi ya UHAINI ya TAL .. Figisu zimeanza

    Nimepokea taarifa ya kusikitisha na ya kutia wasiwasi kutoka kwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Wakili Faith Odhiambo, kuhusu kunyimwa kuingia nchini Tanzania kwa Mawakili Gloria Kimani (Mjumbe wa Baraza la LSK), Martha Karua, na Lyn Ngugi. Mawakili hawa walipanga kuhudhuria na...
  5. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Katiba iweke ulazima wa mtu kuoa/kuolewa, iwe ni uhaini kuishi bila mwenza

    Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine. Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga. Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakukuwa na ulazima wa kumkamata Tundu Lissu na kumfungulia mashtaka ya uhaini. Yamefanyika Makosa ya kiufundi. Gia ipi itumike kumuachia?

    Bila Shaka wote Mpo salama! Serikali ilifanya kosa la kiufundi kumkamata Tundu Lisu kwa Makosa ambayo kwa jicho la kawaida tuu unaweza kuona ni ishu ya kisiasa. Ati Lisu mhaini. mwanasheria msomi kama Lisu ati atangaze waziwazi kufanya uhaini mbele ya camera. Kweli! Tukio la Lisu kupigwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu upelelezi haujakamilika, yaahirishwa hadi Mei 19,2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa Akizungumza mbele ya Mahakama katika kesi hiyo inayoendelea kwa njia ya mtandao Wakili wa Serikali Mwandamizi Tawabu Yahya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kushitakiwa kwa uhaini, CHADEMA wafunguliwa kesi, na mojawapo ya madai ni CHADEMA isimamishwe na mahakama kufanya shughuli za kisasa

    Vita bado ni kali, ila hawatashinda. Katika kesi hiyo, walalamikaji ni baadhi ya viongozi wa bodi ya wadhamini wa chama wakiwa na jumla ya hoja 7 wanazotaka mahakama izifanyie kazi mojawapo ikiwa ni kuiomba mahakama isimamishe kwa muda CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa. Taarifa hii...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Kijue kifungu hiki muhimu cha sheria kinachohusu uhaini 39-2(d)

    The intimidation, of the Executive, the Legislature or the Judiciary of the United 'Republic, and manifests such intention by publishing any writing or printing or by any overt act or deed whatsoever shall be guilty of treason and shall be liable on conviction to suffer death. CC: Pascal Mayalla
  11. James 25th

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anahusika vipi na swala la uhaini?

    Uhaini!! Habarini Wana Jamii Forum, kunajambo naombeni mnijuze kwa wenye uelewa juu ya hili swala la (uhaini)...., na kwanamba Gani Lina matokeo hasi katika siasa za nchi, na je vyombo vya kisheria pamoja na serikali vinazungumziaje kuhusu wahaini? Yani hukum kama mtu akibainika na uhaini...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kusalia madarakani kwa nguvu za madaraka ni uhaini na udikteta

    Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia. Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Updates kesi ya uhaini Part1

    Sasa tunaingia kwenye kesi ya pili ya Uhaini Hakimu anaingia ile sauti ya askari courtttttttttt inasikika Watu wote wanasimama, Hakimu anaketi then kila mtu anaketi. Anasimama Karani wa Mahakama anasoma kesi namba PI no. 8607/2025 Rvs Tundu Lissu Hakimu wa kesi hii anaitwa Mh. Kiswaga...
  14. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mahakamani Kesi ya Uhaini na Uchochezi ya Mwenyekiti wa CHADEMA mh Lissu

    Nitakupa Update zote Kutoka Viunga vya mahakama Hapa Kisutu Kaa Karibu na Uzi huu... -------------------------------- Kesi imeanza kusikilizwa Mbele ya Mh. Hakimu Mhini Mawakili wa utetezi wamefika lakini waserikali na mtuhumiwa watakuwa kwa njia ya mtandao. Muda huu anaonekana kwenye screen...
  15. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ukhulukutabu, usaliti na uasi ni maneno yenye maana moja, ambayo ukiyafanya dhidi ya nchi yako yanaitwa uhaini

    Kila raia aka mwananchi anawajibika kuzijua sheria za nchi yake. Kutokujua sheria hakukubaliki mahakamani kuwa utetezi wa kuvunja sheria husika. Ignorance of the law is not an excuse ie ignorantia juris non excusat. Ignorance of law excuses no one ie legis reminen excusat. Wananchi ndiyo...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

    John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu "Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 24 ya Nyerere kesi 3 za uhaini. Miaka 4 ya Nanihii kuna kesi 3 za uhaini. Tatizo ni nini?

    Katika miaka 24 ya Mwalimu Nyerere kulikuwa na kesi 3 za uhaini. Maasi ya 1964, kesi ya Mataka, Chipaka, na Bibi Titi, na mwisho kesi ya Hatty McGhee, Eugene Maganga, na wenzao. Lakini tukumbuke kwamba wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa hakuna fursa ya mfumo wa vyama vingi. Katika miaka ya...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini wa "Tundu Lissu vs Jamhuri" na "Uhaini wa Shadrack, Meshack & Abednego vs Jamhuri ya Babel chini ya Mfalme Nebukadneza" (Daniel 3:1-30)

    ➡Kwa msomaji mzuri wa Biblia anaikumbuka kesi hii maarufu iliyorekodiwa ktk kitabu kitakatifu - Neno la Mungu (Biblia) katika kitabu cha Daniel sura ya 3 mstari wa 1 - 30... ➡Ofcoz ni kesi iliyojengwa ktk msingi wa sheria mbaya na ovu dhidi ya wenye HAKI. Maofisa serikalini (i .e mawaziri...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Ukimya balonzi za nje zilizopo hapa nchini na kutokulaani tukio la kukamatwa Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini.

    Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
Back
Top Bottom