uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwananchi kuchaguliwa viongozi

    Kwa CCM na tume yao ya uchaguzi na maadili ili iendelee kubaki madarakani kwao huu sio uhaini?
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani Afrika walioshtakiwa kwa uhaini. Lissu, Bobi Wine wamo

    Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti yote makubwa ya dunia yalikuwa na habari ya kesi hiyo kubwa kabisa ya Lissu. Mwenyekiti wa zamani wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya uhaini Tanzania siyo lazima kifo

    ADHABU YA UHAINI TANZANIA SIO LAZIMA KIFO. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama kuu na ya Rufaa zinasema kuwa popote katika sheria ambapo limetumika neno "SHALL BE LIABLE ON CONVICTION TO SUFFER DEATH", maana yake ni kuwa sio lazima mtuhumiwa ahukumiwe kifo bali anaweza kuhukumiwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nchi Ingekuwa Ni Mifumo Bora Ya Utawala Na Sheria, Viongozi wa CCM Ndio Walitakiwa Kukamatwa kwa Uhaini

    Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi. Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazalendo Wapenda Haki, Msiwe na Wasiwasi, Uhaini ni Matendo na Mipango Mkakati wa Kuutenda, Sio Maneno!, Maneno ni Sedition tuu na Sio Treason!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Paskali.
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dunia yatangaziwa Lisu kukamatwa na kubambikiwa kesi ya uhaini

    Hii ni kumchafua Rais Samia kwa waliomshauri amsweke Lisu ndani na kumfungulia kesi ya UONGO ya uhaini. I am convinced that such a serious case for the chairman of the main opposition party cannot go without her knowledge and consent! Aikande Hichilema alifanyiwa haya haya, mahakama Kuu...
  7. Mkwanzania

    JamiiForums Tanzania Ningekubali hatia ya uhaini

    Mbinu moja wapo ya Watawala wachovu na waoga ni kutisha na kuogopesha umma wa unaowapinga kwa kutumia vyombo vya dola na adhabu za jela. Kwa kuwa basi kila mtu anajua kesi ya UHAINI inayomkabili Ndugu Tundu Lissu adhabu yake ni moja tu KUNYONGWA HADI KUFA kwa mujibu wa Penal Code kifungu cha...
  8. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatutakubali Tena Kuishi kwa Hofu – Kukosoa Siyo Uasi, Ni Uzalendo wa Kweli!

    Tunaomba Nini? Si Miujiza – Ni Mambo ya Msingi: 1. Katiba Mpya – Ili tuwe na msingi wa haki kwa wote, si kwa wachache. 2. Tume Huru ya Uchaguzi – Ili kura iwe na maana, na si maigizo ya ushindi wa lazima. 3. Uhuru wa Kujieleza na Kushiriki Kisiasa – Ili kila sauti ihesabiwe, si kuzimwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meseji ya Heche kwa wananchi kuwa "Wanataka Kumnyonga Lissu" Inasababisha wananchi wapay attention zaidi kwa ishu ya Lissu kufunguliwa kesi ya Uhaini

    Kwa kutumia uwezo wa uwasilishaji wa hali ya juu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amejikuta akifanikiwa kuteka hisia za wananchi pale anapozungumzia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu huku akitumia maneno "Wanataka kumnyonga Lissu, Wanataka kumuua Lissu". Maneno hayo yanasababisha wananchi...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuumizana na kumbakiana kesi za uhaini? Tuwe na kampeni mbili; No Reforms, No Election iongozwe na CHADEMA na No Reforms, Yes Election - CCM

    Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na hoja zinazoshinda ndizo zitoe mwelekeo wa taifa na nchi hii... TUAMUE TU NA TUFANYE HIVI: Tuwe na...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania JasusiTV: Kukamatwa kwa Tundu Lissu, kufunguliwa shitata la uhaini kwampaisha. Vyombo 200+ vya habari duniani vyaripoti CNN, BBC, REUTERS, ALJAZIRA et

    https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb ➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini.. ➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

    Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo. Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai. Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini! Kumbe kwa tafsiri...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Tumesikitishwa na kukamatwa kwa Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini, DPP aondoe shtaka hilo Mahakamani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
  15. Mr Why

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani

    Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani Unaposema utazuia uchaguzi lazima utambue kauli hiyo ipo kinyume na Sheria za eneo fulani kwa tafsiri nyingine kwamba lazima utambue unakinzana na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere angekuwa hai angefunguliwa kesi ya uhaini? Alichosema Lissu ni kile kile alichokisema Nyerere, kwa nini CCM wanajifanya kusahau? Angalia hapa

    Hizi ni Nukuu za Nyerere "Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.” ” Tunataka kuona vijana jeuri katika Taifa hili na wenye kujiamini na sio waoga akina ” ndiyo bwana mkubwa”...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ijue Sheria Ya Makosa Ya Uhaini Na Adhabu Zake

    Katika kulinda mamlaka na hadhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kuelewa na kuheshimu sheria zinazolenga kuzuia matendo ya usaliti na uhaini dhidi ya serikali. Sheria ya Uhaini Na. 2 ya mwaka 1970 imeweka bayana aina ya vitendo vinavyotafsiriwa kama uhaini na adhabu...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

    Waswahili wanasema siku ya kufa nyani miti yote uteleza. Msemo huu unaweza kuuchukulia kawaida ila kiukweli haya ndo yanayokikumba Chama cha Mapinduzi mwaka huu Ukisoma hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu ya upande wa Jamhuri, kama wewe ni Mwanasheria uliyesoma Sheria na kuielewa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo: Sina hofu na mashtaka ya uhaini dhidi ya Lissu, bali hofu yangu ni makosa ya mtandao ambayo yanaweza kumuondolea sifa ya kugombea urais

    Sina wasiwasi kabisa kuwa mashitaka ya uhaini dhidi ya Lissu sio rahisi kuyathibitisha mahakamani na hivyo naamini katika hili shitaka hawezi patikana na hatia. Hofu yangu ni makosa ya mtandani hasa katika kuthibisha matamshi anayodai ni ya Raisi. Hapa mawakili watapaswa kufanya kazi ya ziada...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliowahi kushitakiwa kesi za uhaini Tanzania

    Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani na kusomewa shitaka la uhaini, kumekuwa na hisia tofauti kuhusu kosa hilo, hasa ikizingatiwakuwa kiongozi huyo amekamatwa akiwa kwenye mikutano ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiiliko Hakuna Uchaguzi), inayofanywa na Chadema...
Back
Top Bottom