Watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
Ungiangalia wengi ni vijana wadogo sana yani umri wao miaka 19 hadi 25 kihuhalisia bado ni wakijitafuta kwenye maisha na wengine pia walikuwa ni kufuata mkumbo wa kudai haki lakini athari zake hawakuzifahamu baadae kitatokea nini.
================
Mawakili wanaowatetea washtakiwa wa kesi za...
10 November 2025
Mahakama ya Wilaya
Ilemela, Mwanza
Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=EK5udu5ot38
Jumla ya watu 114 wamefikishwa mbele ya mahakama ya wilaya ya Ilemela
Mwanza: Jumla ya watuhumiwa 114 waliokamatwa wilayani Ilemela mkoani Mwanza kati ya Oktoba 28 na 29, 2025 wamefikishwa...
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
====...
jeshi la polisi
maandamano ya oktoba 29
mahakama
mahakama ya kisutu
mahakamani
mashitaka
mfanyabiashara
niffer
uhainiuhaini wa niffer
vurugu za uchaguzi
wengine
Kushoto: NIffer akiwa katika make-up yake katika sura ya kikazi.
Kulia: NIffer akiwa anashuka kutoka kwenye karandinga la magereza mahakamani kwa kuchechemea, kuashiria kuwa amepigwa hadi kuteguliwa mguu.
Jennifer Bilikwija Jovin, maarufu kama "Niffer" ni Mwandishi wa Habari, Mwanamitindo na...
Kupitia taarifa yao kwa umma CHADEMA wameonesha masikitiko yao na hofu kufuatia kukamatwa kwa viongozi wake wa juu.
===
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuufahamisha umma kuwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limemkamata Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa...
Wakuu,
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
Kosa la uhaini uhusisha nia, kujaribu, hata kutenda kitendo cha kutaka kuiangusha serikali. Sasa najiuliza na kushangaa. Ni serikali gani iliyokuwa 'ipinduliwe' wakati uchaguzi wa kuchagua watakaounda serikali na mihimili yake ndo walikuwa bado kuchaguliwa? Huu ni ujanja au uzwazwa wa watawala...
Sitaeleza sana maana naamini kwa ufupi naweza kueleweka.
Hawa vijana wa Kitanzania wa kiume na kike zaidi ya 200 wanaoshitakiwa kwa UHAINI, nawashauri wote kwa umoja wao wakiri mashitaka yao yote.
Naamini Serikali imejipanga kuwaozesha jela kwa kesi ndeeefu halafu mambo yakipoa utasikia...
Kwa sasa kinachofanyika upande wa serikali ni kutengeneza mazingira ya kuwa na bargaining power kwenye kile kinachopangwa kuitwa muafaka/maridhiano/suluhu ya kitaifa.
Moja ya karata itakayowekwa mezani ni suala la serikali kuwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini hewa waliokamatwa kwenye...
Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima.
Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma.
Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42.
Pia soma GE2025 -...
DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama
Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo
Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
Habari,
Leo siku inaenda kuisha kukiwa na habari mpya na mbaya ya watu 98 akiwamo bint jasiri Niffer kufunguliwa kesi ya uhaini.
Uhaini ndio kosa kubwa kwa mujibu wa sheria zetu ambapo adhabu yake ni kifo
Nashauri mawakili wa utetezi wasihangaike
Waache mahakama na serikali ihukumu inavyotaka...
Wakili Jebra Kambole ameoneshwa kusikitishwa na namna kosa la uhaini lilivyofanywa kama kuwa la kawaida na kuonya kuwa ipo siku litatokea kweli.
Wananchi mbalimbali pia wameoneshwa kusikitishwa na namna kosa hili linavyotajwa mara kwa mara katika kipindi hiki hali inayopelekea kupoteza ule...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Mimi binafsi ni mpingaji wa Dhulma,uminyaji wa Haki,mauaji ya raia,Utekaji wa raia kila mahali,UminywaJi wabl Demokrasia pamoja na Upingaji wa ukandamizaji wa Vyombo vya habari zikiwemo Blogs!
Binafsi naomba Mamlaka za nchi hii ziniunganishe kwenye Kesi...
Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ya Tanzania na watanzania dhidi ya maadui wa nje.
Mosi, ni bwege na zwazwa gani ameamuru jeshi liingie mitaani kuingilia kazi ya polisi?
Pili, walishuku kuwa polisi hawana morali, hivyo, wasingetimiza wajibu wao?
Tatu, kuna uoza na uzwazwa zaidi ya huu?
Nne...
Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video.
Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini.
Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
..kichwa cha habari chahusika.
..kesi ya uhaini inayoendelea Uganda inarushwa na TV zao mubashara.
..kesi ya uhaini inayomhusu TAL hapa Tanzania ilianza kurushwa mubashara.
..lakini katika mazingira na sababu zisizoeleweka Mahakama ya Tanzania imekatisha kesi ya uhaini ya TAL kurushwa...
Tundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.
Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 Lissu yupo jela.
Nakumbuka Kuna Askofu Mmoja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno...
Tangu Tundu Lissu ataje orodha ya mashahidi wake, mashahidi kutoka Kenya na Uganda ambao hawakuwepo eneo la tukio (kwenye mkutano ambao Lissu alisema "tutakinukisha") na ambao si hata viongozi wa CHADEMA, nimebaki najiuliza swali hili:
Watu hawa(Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.