Iweje watu wa Singida,Wamasai,Wakurya na Wamanyara wawe na wembamba wenye Afya,waepuke ugonjwa wa sukari,na tusiwe sisi?

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Watu hao juu huwa na wembamba mzuri na kukwepa magonjwa ya moyo,pressure na sukari,kwani hufanyeje fanyeje hadi kulinda miili yao?ili na sisi tuwe nayo.
 
Singida kuna wazee wa miaka 80 kwenda juu wengi sana..

Mabibi na mababu wanaishi miaka mingi sana..
We jamaa ni observer mzuri mno. Kwa Tanzania Singida inaongoza kwa kua na wazee nadhani, unaweza kuta mama wa miaka 50-70,ana shepu yake nzuri tu kama binti wa miaka 20-30, kitakachokustua ni sura tu, wanaume nao hivo hivo. Miaka 50-90 wamejaa kibao wanapiga mishe zao tu. Mkoa wa Mara vile vile unaongoza kwa kua na wazee
 
We jamaa ni observer mzuri mno..... Kwa Tanzania Singida inaongoza kwa kua na wazee nadhani, unaweza kuta mama wa miaka 50-70,ana shepu yake nzuri tu kama binti wa miaka 20-30,kitakachokustua ni sura tu, wanaume nao hivo hivo.... Miaka 50-90 wamejaa kibao wanapiga mishe zao tu..... Mkoa wa Mara vile vile unaongoza kwa kua na wazee
" Kama unakula vizuri, usipokubali kuuchosha mwili kwa mazoezi, basi utauchosha kwa magonjwa" anonymous.
 
We jamaa ni observer mzuri mno. Kwa Tanzania Singida inaongoza kwa kua na wazee nadhani, unaweza kuta mama wa miaka 50-70,ana shepu yake nzuri tu kama binti wa miaka 20-30,kitakachokustua ni sura tu, wanaume nao hivo hivo. Miaka 50-90 wamejaa kibao wanapiga mishe zao tu. Mkoa wa Mara vile vile unaongoza kwa kua na wazee
Nashukuru Mungu kuwa mzaliwa wa Singida, umri nilionao ni tofauti kabisa na watu wanavyoni-judge.
 
Back
Top Bottom