ugonjwa

  1. JamiiForums Tanzania WHO wajadiliana kuhusu kutangaza Monkeypox hali ya dharura Kiafya

    Wataalamu wa Afya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wamekutana kujadiliana kuona kama kuna ulazima wa kutangaza Monkeypox kuwa hali ya dharura kiafya. Hicho ni kikao cha pili ambapo inaelezwa kuwa kuna watu zaidi ya 15,400 walioripotiwa kupata maambukizi ya Virusi hivyo katika Nchi 71 tangu...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto 5 wa familia moja wadaiwa kufariki kwa ugonjwa wa tumbo Arusha

    Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, Mkoa Arusha nchini Tanzania wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo na matumbo kujaa. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Julai 19,2022, Dwani wa Mswakini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Mgunda, ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini

    Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo 1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake 2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

    Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Ugonjwa wa U.T.I unaweza kusababishwa na Kutokuwa msafi (Uchafu)

    Mdau wa JamiiForums.com ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa UTI kwa wanawake. Anahoji inakuwaje sababu kubwa inayotajwa kuwa ni uchafu ipate mashiko kwa nyakati hizi, kwani wanawake wa zamani ndio walikuwa wasafi zaidi kuliko hawa wa sasa? Mdau huyu anashauri...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu Ugonjwa wa Homa ya Mgunda

    HOMA YA MGUNDA NI NINI? Ni Ugonjwa ambao huambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Homa ya Mgunda 'Leptospirosis' husababishwa na Bakteria aina ya 'Leptospira interrogans' Dalili za HomaYaMgunda ni pamoja na Homa, Maumivu ya Kichwa na Misuli, Uchovu, Mwili kuwa na rangi ya njano...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  8. JamiiForums Tanzania Homa ya Mgunda: Ufahamu ugonjwa uliobainika Lindi, Tanzania

    Baada ya Serikali ya Tanzania kuweka wazi kuwa ugonjwa uliokuwa haujlikani na kusababisha vifo vya watu kadhaa Kusini mwa Tanzania hasa Mkoani Lindi ni homa ya Mgunda. Kitaalam ugonjwa huo unaitwa Leptospirosis au Field Fever. Homa ya Mgunda au Leptospirosis ni nini? Leptospirosis ni ugonjwa...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu, waeleze wananchi kwamba ugonjwa uliogundulika Lindi ni rahisi zaidi kusambazwa na mbwa pia

    Salaam, Hivi majuzi kulitokea taharuki ya ugonjwa uliosababisha sintofahamu kwa wakazi wa Lindi baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa. Dalili zilizoonekana kwa wagonjwa ilikua ni pamoja na homa kali,kuumwa viungo vya mwili pamoja na kutokwa na damu puani. Mwanzoni ugonjwa huu haukuweza...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Ugonjwa wa Mkoani Lindi ni Homa ya Mgunda (Leptospirosis)

    Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua Ugonjwa Usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa Lindi umethibitisha mlipuko huu kuwa wa ugonjwa wa Leptospirosis, Field Fever kwa lugha ya Kiswahili inajulikana kama Homa ya Mgunda...
  11. JamiiForums Tanzania Ugonjwa mikoa ya Kusini: Watatu wafariki, Wawili wapona na Watano wamejitenga katika makazi yao

    Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa...
  12. JamiiForums Tanzania Visa viwili vya Ugonjwa wa Virusi vya Marburg vyathibitishwa nchini Ghana

    WHO imetuma timu ya wataalam nchini humo ili kusaidia wahudumu wa afya wa kujiandaa kwa uwezekano wa mlipuko baada ya kurekodi visa viwili vya virusi vya Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio familia moja na virusi vya Ebola, baada ya majibu ya vipimo vya awali kutoka kwa wagonjwa wawili...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo yanayokuweka katika hatari ya kuugua ugonjwa wa Ini

    Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A, B, C, D,E). Aina mbili za virusi (B Na C) zimetajwa kuwa ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini ambayo husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili. Wataalamu wa afya wanasema virusi hivi vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza mtu mara 100 zaidi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Simu inavyoweza kusababisha ukapata Ugonjwa wa Bawasiri (kuvimba njia ya haja kubwa)

    Baadhi ya watu watabia ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza kutokea kupitia simu yako ya mkononi. Shinikizo la damu Ripoti iliyotolewa na watafiti kutoka Nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Je, huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?

    Habari ndugu zangu. Natumaini mu-wazima. Naomba msaada kwa atakayekuwa na utaalam au ushauri juu ya hili gonjwa. Inaanza kuuma kwenye visigino na nyayo, usaha unakusanyana na baadaye inakuwa kama kidonda. Kinapona baada ya muda kinarudi.
  16. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Ugonjwa wa Selimundu na magonjwa ya Moyo

    SELIMUNDU (sickle cell) ni ugonjwa unaorithiwa kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine, hutokana na tatizo kwenye chembechembe nyekundu za damu. Ugonjwa huu unaendelea kuongezeka hapa nchini kutokana na wazazi wa pande zote mbili kushindwa kupima vinasaba (DNA) kabla ya kuoana au kuzaa. Ikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika. Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha kuwa Tanzania kuna jumla ya watoto 11,000 kila mwaka wanaozaliwa na Ugonjwa wa Selimundu Aidha...
  18. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika. Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha kuwa Tanzania kuna jumla ya watoto 11,000 kila mwaka wanaozaliwa na Ugonjwa wa Selimundu Aidha...
  19. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu wa tumbo waibuka Korea Kaskazini

    Korea Kaskazini inapambana kudhibiti mlipuko wa ugonjwa "mbaya" wa matumbo ikiwa ni mwezi mmoja baada ya nchi hiyo kukumbwa na mlipuko wa maambukizi ya COVID-19. Vyombo vya habari havijaweka wazi taarifa zaidi kuhusu ugonjwa huo lakini Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma timu ya...
  20. JamiiForums Tanzania 80% watoto wa Gaza wana Ugonjwa wa sonona

    Watoto wanne kati ya watano wa Ukanda wa Gaza wanatatizo la msongo wa mawazo, huzuni na hofu ambayo imewatawala kwa miaka 15 waliyozungukwa na zuio la Israeli Ripoti ya Shirika la Save the Children imeeleza hayo baada ya kufanya utafiti wa zuio hilo ambalo lilianza Juni 2007. Watoto 800,000 wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…