ugonjwa

  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kunyonya lips za mwanamke aliyepaka lipshine hupelekea ugonjwa wa Homa ya Ini

    Hivi kuna ukweli ndani yake kuwa wanaume wanaonyonya lips za wanawake waliopaka lipshine, hupelekea kupatwa na Hepatisis B?
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni Ugonjwa mpya kwa Dada zetu au ni Jambo la Kawaida tu?

    Siku hizi kila ukikutana / ukiowaona Wanawake Watano njiani / barabarani ni lazima tu utawaona Watatu au Wanne Makalio yao yanatikisika mno halafu ukiyasogeza Macho yako (Kiuwizi) kuyatizama / kuyakodolea utayaona yamelegea sana na muda wowote yatakatika vipande vipande na Kuanguka. GENTAMYCINE...
  3. Saidama

    JamiiForums Tanzania Mnaofahamu: Hali ikoje dhidi ya ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera?

    Kwa mlioko mkoani Kagera au mlio na wapendwa wenu mkoani humo mna taarifa gani mpaka sasa kuhusu ugonjwa huu, maana kumekua kimya kiasi juu ya hili? Muda si mrefu nimeona waziri mwenyewe dhamana Ummy Mwalimu anasema mpaka sasa ni watu nane tu ndio waliopata ugonjwa huo na kati yao watano ndio...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ‘Rockerfeller Document’ ya mwaka 2010 iliyotoa maelekezo ya kusambaza ugonjwa wa Corona duniani

    Familia ya Rockerfeller ndio familia ya kitajiri zaidi huko Marekani inayoshikilia sekta za Kibenki, Kiviwanda, Mafuta na Siasa. Inatajwa kwamba matajiri wote duniani wanaongozwa na kuendeshwa na familia hii, hasa hasa Billgates na wenzake. Mwaka 2010 walitotoa maelekezo kwa matajiri na...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania KWELI Mboga za kabichi (Cabbage) sio nzuri kwa watu wenye Ugonjwa wa Goita

    Naomba kufahamishwa ukweli, nimekuwa nasikia mitaani kuwa ulaji wa mboga za majani aina ya Kabichi siyo mzuri kwa afya kwa watu wenye ugonjwa wa Goita. Mimi kama mdau wa mboga za majani huwa napata wasiwasi sana juu ya maelezo haya. JamiiForums naomba mnisaidie kujua ukweli wake. Nawasilisha.
  6. McCollum

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ugonjwa wa nguruwe wadogo kuwa na haja kubwa iliyoambatana na maji (kuhara)

    Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Miaka 6 hatukuona wala kusikia ugonjwa wa Kipindupindu, hii ni aibu kwa Taifa

    Hakuna neno zuri unaloweza kutumia zaidi ya aibu! Aibu! Aibu! tena aibu kubwa. Serikali kupitia Wizara ya afya imeutangazia Dunia hadharani kuwa ugonjwa wa kula kinyesi cha binadamu (kipindupindu) kimerejea nchini na tayari kuna wagonjwa 72 na 3 kati yao tayari wamekufa. Kwamba ugonjwa huo uko...
  8. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

    Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Marburg ni nini? Majibu sahihi haya hapa

    Marburg ni nini? Kwa mujibu wa WHO, virusi vya marburg ambavyo ni sawa na virusi hatari vya Ebola, viligunduliwa kwa mara ya kwanza baada ya watu 29 kuambukizwa na saba kati yao kufariki dunia mwaka 1967 huko Marburg na Frankfurt, Ujerumani pamoja na Belgrade huko Serbia. Hata hivyo, WHO...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu 193 wawekwa Karantini Kagera kuchunguzwa kama wana Ugonjwa wa Marburg

    Watu 193 wakiwamo watumishi wa afya waliochangamana na wagonjwa wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera wamewekwa karantini kwa ajili ya kufatiliwa maendeleo yao ya kiafya. Akizungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada zinazoendelea kufanywa na serikali kudhibiti ugonjwa huo, Mganga...
  11. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Time line ya ugonjwa wa maburg

    TIME LINE YA UGONJWA WA MARBURG DUNIANI Mwaka Nchi Ugonjwa ulipotokea Ripoti ya idadi ya wagonjwa Idadi ya vifo(%) Kilichotokea 2023 Tanzania Mkoa wa Kagera 8 5(63%) March 21, 2023, Maofisa wa serikali ya Tanzania watangaza mlipuko kwa mara ya kwanza nchini wa ugonjwa wa Marburg.Tukio...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bwana Harusi alivyofariki kwa ugonjwa wa ajabu

    Mmoja kati ya watu watano waliofariki dunia kwa ugonjwa wa ajabu katika Kata ya Maruku na Kanyangereko Bukoba vijijini, mkoani Kagera alikuwa bwana harusi mtarajiwa. Watu hao waliofariki dunia ni kati ya saba walioripotiwa kuwa na ugonjwa huo huku wakiwa na dalili za homa, kutapika, kutokwa...
  13. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Athari na madhara yatokanayo na ugonjwa wa Busha

    Busha linaweza kupelekea mkusanyiko wa damu ndani ya korodani (hematocele), au mkusanyiko wa usaha ndani ya nafasi kati ya tabaka mbili za korodani (Scrotal pyoceles), mara nyingi huambatana na maambukizi ya mishipa ya kuhifadhia mbegu za uzazi (epididymo-orchitis). Wakati mwingine Busha...
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa unaodaiwa na Wizara ya Afya, ulioua watu 5, unaweza kuwa ni Ebola?

    Imetolewa taarifa na wizara ya Afya na Profesa Tumaini Nagu kuwa huko Bukoba vijijini, katika Kata ya Maruku na Kanyangereko, kumetokea ugonjwa usiojulikana, ambao dalili zake ni kutoka damu mfululizo, kwenye sehemu mbalimbali, ikiwemo puani, hadi Figo zinazshindwa kufanya kazi, uliosababisha...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu Kagera uchunguzi siku ngapi?

    Tarehe 16 March, hatimaye serikali ilitaarifu uwepo wa ugonjwa wa ajabu Kagera. Wakati maisha yakiendelea mabasi nayo kazini. Huu uchunguzi tulioarifiwa kuuhusu huu ugonjwa hadi lini?
  16. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

    Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini. Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana. Kijana wa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa JamiiForums huu Ugonjwa Hatari na Mpya Mitandaoni unaitwaje?

    Unakuta kuna Member Mmoja Maarufu mno Mitandaoni mpaka Rais Samia anamjua na Kufurahishwa nae na Wengine baadhi ila anachukiwa na Members kadhaa lakini hao hao Members Wanaomchukia huyo Member maarufu kila mara na kila Saa tu Wanamfuatilia na Kumsoma huku Wengine hata wakiwa Wanamfolo vile vile...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Siku ya Figo Duniani: 7% ya Watanzania wanaathiriwa na Ugonjwa wa Figo

    Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, 7% ya Watanzania wanaathiriwa na Ugonjwa wa Figo na idadi ya Wagonjwa inaongezeka Inashauriwa kuzingatia Lishe Bora, kula Matunda/Mbogamboga, kupunguza kiasi cha Chumvi pamoja na Matumizi ya Pombe na Tumbaku Mtindo wa Maisha na Vyakula tunavyokula vinaweza...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Zaidi ya 30% ya Wakazi wa Vijijini wana Ugonjwa wa Usubi

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Dk. Isaya Mwasubila amesema Tafiti zimebaini Maambukizi makubwa katika maeneo 4 ambayo ni Itipula ina 30%, Igola 11.22%, Mji Mwema 5.68% na Mamongolo 4%. Kutokana na hilo, Wizara ya Afya imeanza kampeni ya kutoa Dawa ili Kuwakinga Wananchi ambao...
Back
Top Bottom