ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya Ugaidi Duniani

    Neno "gaidi", lilitumika kwa mara ya kwanza mnamo 1794 na mwanafalsafa Mfaransa François-Noël Babeuf, ambaye anaushutumu utawala wa Jacobin wa Maximilien Robespierre kama udikteta. Kabla ya Mapinduzi ya Ufaransa, wanafalsafa wa kale waliandika juu ya udhalimu, kwani dhuluma ilionekana kama...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

    Taarifa ya sasa inaeleza kwamba Chadema kupitia BAWACHA inawaomba wananchi wote kuchangia Familia za Makomandoo Adamoo na wenzake, walioshitakiwa kwa tuhuma za ugaidi, ambao inadawa ulifadhiliwa na mshitakiwa mwenzao Freeman Mbowe kwa kitita cha Tsh Laki 6. Tayari mchakato wa kampeni hiyo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni mwa karne ya 18.

    Ugaidi, kwa maana yake pana ni matumizi haramu ya vurugu za kimakusudi kufikia malengo ya kisiasa, haswa dhidi ya raia serikali iliyopo madarakani. Mbinu hii ya ugaidi Inatumika haswa kuleta vurugu wakati wa amani. Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni...
  4. Nicholaus Kilunga

    JamiiForums Tanzania Je, ugaidi anaotuhumiwa nao Mbowe ni ugaidi wa serikali?

    Je Ugaidi anaotuhumiwa nao mh Mbowe ni ugaidi wa serikali? Najaribu kutafakari kimyakimya kwa maandishi kuhusu mashataka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe. Nimejaribu kupitia rekodi mbalimbali za Mbowe tokea akiwa mwenyekiti wa vijana (BAVICHA) taifa, mpaka anakuwa...
  5. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu... Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ushahidi unaoendelea kutolewa mahakamani, kwenye kesi ya ugaidi ya akina Mbowe, Rais Samia huna budi kumstaafisha IGP Sirro

    Imeandikwa kwenye Biblia, kitabu cha Mithali 14:34 "Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Kwa huu mwendelezo unaoendelea kutolewa mahakamani Katika kesi ya ugaidi ya akina Mbowe, hakika ni aibu kubwa Sana kwa Taifa letu kuwa na Jeshi la Polisi, ambalo halitaki...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

    Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu Endelea kufuatilia ======== Saa 3 na...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

    Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini? 1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa 2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa 3. Alikuwa mgombea urais? Sababu yake nini hasa?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Namba za simu za wake wa watuhumiwa wa Ugaidi zinatafutwa, watoto wao wanahitaji msaada kwenda shule

    Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto wa watuhumiwa hupatiwa michango ambapo husaidiwa kuendelea na masomo na kufarijiwa maana...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania ACP Kingai ni vyema na haki ikiwa utarejesha Tsh 260,000 fedha za mtuhumiwa wa ugaidi

    Wakuu wote heshima sana. Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu. Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kagame kuitembelea Msumbiji baada ya kuondoa kero la ugaidi

    Magaidi ya Msumbiji yalikua yameota pembe mpaka kuanza kupiga majirani wakiwemo Tanzania ambapo walikua wanaingia na kuchinja wanavijiji, ilimbidi Kagame atume makomando wake ambao walifyeka huo uchafu na kuweka sawa...... Majitu ya SADC full misifa lakini kwenye medani zero, kainchi kadogo...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo: Vita dhidi ya ugaidi

  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Rais akahutubie juu ya Hali ya Ugaidi na kundi la kigaidi Tanzania linaloongozwa na Mbowe na walinzi wake lilivyo hatari kwa usalama wa dunia

    Hali ya Ugaidi duniani NI Ajenda muhimu kwenye mkutano wa Baraza la ulinzi la umoja wa mataifa. Naomba Raisi wetu atakapohutubia Baraza Hilo aelezee pia juu ya kundi hatari zaidi la kigaidi Tanzania ambalo bado halijapatiwa jina lenye watu wanne ili dunia ilijue na ikabiliane nao. Kundi Hilo...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA anatuhumiwa kwa ugaidi, usajili wa CHADEMA usitishwe mpaka pale Mahakama itakapotoa uamuzi

    Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi. Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe. Pia, kama ambavyo mtumishi wa...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

    Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi. Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018. Familia ya Rusesabagina...
  16. BAK

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

    Wakili msomi Peter Kibatala V/S Mtoto wa IGP Mahita. KIBATALA: Inspekta Mahita nimekufuatilia wewe ndiye ulikuwa arresting Officer? MAHITA: Sahihi. KIBATALA: Kazi ya Kingai ilikuwa nini? MAHITA: Alikua Mkuu wa Msafara. KIBATALA: Mkuu wa msafara ni role gani kwenye arresting? MAHITA: Kimya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

    Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo? Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wawakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU), Umoja wa Mataifa(UN) na Mabalozi mbalimbali waendelea kufuatilia kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye...
  19. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Kwanini naiogopa vita dhidi ya Ugaidi?

    Mwandishi huyu kajitahidi kumkosoa Sirro. Bahati mbaya sina ruhusu ya kukopi makala kuileta hapa. ---- Kwa mujibu wa takwimu za mwenendo wa matukio ya kigaidi ulimwenguni, vitendo hivi kwa kiasi kikubwa hutokea katika nchi zenye Waislamu wengi. Hii maana yake ni kwamba waathirika wakubwa wa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbowe kuwa na tuhuma za ugaidi isiwe sababu ya kutaka Watanzania tuamini anaonewa. Tuache mahakama iamue.

    Kila mwanaChadema anataka kuwaaminisha watanzania kuwa Mbowe amebambikizwa shitaka la ugaidi. Mbowe anaonewa maana sasa amewekwa kwenye sero ya wafungwa wa kunyongwa. Sawa, mnaweza kuwa sawa lakini suala lipo mahakamani. Ibara ya 13 ya JMT ipo wazi kabisa kuwa hakuna mtu atakuwa na hatia mpaka...
Back
Top Bottom