ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mikoa ya Tanga, Arusha, Mwanza, Pwani na Geita ina viashiria vya Ugaidi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani. Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania EU yaidhinisha Tsh. Bil.35 kukabili ugaidi mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

    Mkuu wa diplomasia wa EU Josep Borrell amethibitisha uungaji mkono huo ili kuimarisha ulinzi na kukabiliana na ugaidi baada ya mashambulizi kadhaa ya umwagaji damu yanayohusishwa na wanajihadi kwenye mipaka ya nchi hiyo na Tanzania. Amesema EU iliidhinisha nyongeza ya Ths. Bilioni 35.5 za...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani ashtakiwa chini ya Sheria ya Ugaidi

    Polisi nchini humo wamemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, chini ya sheria za kupambana na ugaidi kwa madai ya kutoa vitisho dhidi ya Maafisa wa Serikali. Mashtaka hayo ni siku moja baada ya Mwanasiasa huyo kushutumu Jeshi la Polisi kwa kumtesa Mwanachama...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Iran yakana huhusika kwenye shambulio la Salman Rushdie. Yasema Rushdie na wafuasi wake ndiyo walaani na kukemea tukio hili

    Zikiwa zimepita siku mbili tangu Salman Rushdie ashambuliwe kwa kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kulazwa chumba cha wagonjwa mahututi huko Marekani, msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran Nasser Kanaani amefutilia mbali madai yanayoendelea kushika kasi kuwa serikali ya nchi...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Sierra Leone, Rais asema Maandamano ya Jana dhidi ya Serikali ni Ugaidi

    Rais Julius Maada Bio ametaja maandamano dhidi ya Serikali yaliyotokea Jana, Agosti 11 nchini humo kuwa ni vitendo vya kigaidi vinavyochochewa na Raia wanaoishi nje ya Nchi Takriban watu 130 wametiwa mbaroni katika maandamano hayo ya kumshinikiza Rais huyo kujiuzulu , kutokana na kupanda kwa...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, DPP atalazimika kuiondoa Kesi ya akina Halima Mdee kama alivyofanya kwenye Kesi ya ugaidi ya Mbowe?

    Kwa namna ya hili sakata la Hawa wanaojiita wabunge wa viti maalum, kupitia chama kilichowavua uanachama wao cha Chadema na namna Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, anavyojaribu kuendelea kuwakumbatia hao akina Halima Mdee, naziona dalili zote za kutokea kile kilichotokea kwenye ile Kesi ya...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Askari amshushisa dereva matusi na kipigo, Ni vipi tunaweza kujitetea na uonevu bila hofu ya kuuliwa, kubambikiwa kesi za madawa, ugaidi, n.k

    Cheo kinapopewa kwa mtu ambae sio muadilifu huwa ni janga kwa wananchi. Baadhi (sio wote) ya ma askari hutumia cheo hiki kunyanyasa raia, mfano anaweza kukupora mali yako, anaweza kukataa kukurudishia ulichomkopa, anaweza kukupiga, n.k. Ukijaribu kujitetea kwa askar ambae sio muadilifu kitendo...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden asema Mauaji ya watu 10 ni ugaidi wa ndani

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametamka kuwa tukio la kuuawa kwa watu Weusi 10 kwa risasi lililotokea Buffalo, New York ni Ugaidi wa ndani uliosababishwa na dhana ya ubaguzi wa rangi. Biden na mkewe, Jill Biden walikutana na ndugu wa marehemu na wengine watatu waliojeuruhiwa baada ya kutembelea...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kama Jamhuri ilimuonea huruma Mbowe na ugaidi basi Mdee na wenzake wataachwa

    Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi. Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kutuma wanajeshi Msumbiji, maana kero za ugaidi lazima zishughulkiwe kote

    Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa, bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Misri yamuachilia huru mwanaharakati wa kisiasa aliyehukumuiwa kwa makosa ya ugaidi

    Mamlaka ya Misri imemwachilia mwanaharakati mashuhuri wa kisiasa anayetumikia kifungo cha miaka minne kwa tuhuma za ugaidi ambazo watetezi wa haki wameziona hazina msingi. Kuachiliwa kwa Hossam Monis kulikuja baada ya kuachiliwa kwa wafungwa kadhaa wa hadhi ya juu, siku chache kabla ya mwisho wa...
  12. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania kuisaidia Msumbiji dhidi ya Magaidi

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya kigaidi. Aliyasema hayo jana alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika, hususan nchini...
  13. evangelical

    JamiiForums Tanzania Nashauri litengenezwe jarida la yote yaliyozungumzwa Mahakamani Kwenye Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na Wenzake

    Habarini, Nashauri Viongozi wa Chadema kwamba. Kwa kuwa waliruhusiwa kurekodi yote yaliyokuwa yanazungumzwa kwenye kesi hiyo. (Nimedokezwa na jamaa zangu wa State Attorney kwamba hii ndio iliyowafanya wakimbie kesi kwani uongo wao mwingi uliwekwa hadharani). Nashauri Uongozi wa Chadema au mtu...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Baada ya upande wa Mashtaka kufunga ushahidi wao na kuialika Mahakama kutoa hukumu ndogo na kisha mahakama kuwakuta watuhumiwa na kesi ya kujibu mnamo Februari 18 2022. Leo 04, Machi 2022 ni siku ya watuhumiwa kuanza kujitetea kutokana na tuhuma wanazotuhumiwa nazo. Awali Mahakama iliwakuta na...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi sana kwa 'Kiherehere' cha Tanzania Kukubali kuwa Kituo cha Mapambano ya Ugaidi Afrika

    Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi. Je...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Kituo cha Kupambana na Ugaidi cha SADC chazinduliwa

    SADC imezindua kituo cha Kupambana na Ugaidi jijini Dar es Salaam ili kuweza kukabiliana na ugaidi unaotamalaki barani Afrika. Waziri wa ulinzi mama Tax amesema kituo hicho ni muhimu sana kufuatia tishio la ugaidi linaloikumba kanda yetu hasa kule Msumbiji. ===== SADC yazindua kituo cha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

    1. Watuhumiwa watatu kwenye hii walikamatwa mwaka 2020 na kuhojiwa Kisha kufunguliwa mashtaka yasiyo ya Ugaidi. 2. Watuhumiwa watatu baada ya kutoa maelezo Yao mwaka 2020 walipokamatwa awakuwahi kurejea uraiani walipelekwa mahakamani Kisha mahabusu,hivyo awajawahi kupata dhamana Wala kuhojiwa...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Swila aomba ahirisho kuwa hajisikii vizuri; kuendelea na ushahidi 10/02/2022

    Habari Wakuu, Leo 09/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

    Habari Wakuu, Leo 31/ 01/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi...
  20. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
Back
Top Bottom