ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Sinema sakata la LUGUMI: Mashine za utambuzi wa alama za vidole zaanza kufungwa kimya kimya

    Wakati sakata la kampuni ya LUGUMI Enterprises likiendelea kutikisa nchi, mashine za utambuzi wa alama za vidole, zimeanza kufungwa katika mikoa kadhaa ikiwamo ya Dodoma na Geita. Uchunguzi wa Mwananchi unaonyesha kwamba juzi mashine hizo zilifungwa katika vituo vya polisi vya wilaya za Mpwapwa...
  2. Kama Rais ni mtetezi wa wanyonge na mtumbuaji majipu maarufu, kwanini hajamtumbua Said Lugumi?

    Baada ya kuwasilishwa Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ndani ya Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, ilitakiwa kuwasilishwa Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ikitakiwa kuwasilishwa na Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani katika...
  3. Mama wa Lugumi afariki kwa mshituko wa "tuhuma" za mwanae

    Breaking News : Mama wa Said Lugumu afariki dunia akiwa njiani kuja Dar kwa matubabu zaidi ,alipata tatizo la moyo baada ya tuhuma za kutisha za ufisadi kwa mwanae . Mr Lugumi kwa sasa yuko njiani kuelekea Mwanza kuandaa maazishi . Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi , Amin! Akielezea...
  4. IGP Mangu: Lugumi ilitekeleza mkataba wake na Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi – Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu amekanusha madai ya wabunge na hata taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kampuni ya Lugumi kushindwa kufunga mashine kwenye vituo vya Polisi 108 kama mkataba wake ulivyomtaka. Akizungumza mwishoni mwa...
  5. Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

    mkalamo Ndugu waandishi wa habari , nimewaita hapa leo ili niweze kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kwa niaba ya Kampuni yetu ya LUGUMI ENTERPRISES LTD, kwa siku kadhaa kumekuwa na habari mbali mbali za kuchafua na kudhalilisha Kampuni yetu pamoja na Mimi Said Lugumi ambaye ni Mkurugenzi...
  6. U

    How withdrawal of billions turned spotlight on Lugumi

    Utakatishaji mwingine wa fedha huu, benki hizi tatu ni lazima BOT wawapige faini. =================================== In Summary The Financial Intelligence Unit (FIU) reportedly investigated the suspicious transactions after bankers detected an unusual movement of funds from several accounts...
  7. PCCB wafungua kesi dhidi ya Lugumi na Jeshi la Polisi, IGP na Katibu wa Wizara waitwa Bungeni Dodoma

    Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekana kuhusika kabisa na kampuni ya Lugumi ambayo kwa sasa inakabiliwa na kashfa nzito ya rushwa na uhujumu uchumi ambayo ilipewa tenda ya kufunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwenye vituo vyote vya polisi kwenye Wilaya zote nchini na kushindwa...
  8. M

    Kuna mengi nyuma ya pazia kuhusu mkataba wa LUGUMI Enterprises na Polisi

    Baada ya Meneja msaaidizi wa Infosys kutokea kwenye video iliyokuwa akikanusha kuhusika kwa kampuni hiyo na Lugumu Enterprises, mimi niliamua kuwatafuta ofisini watu wa Bio-Metrica LLC, ambao ofisi yao iko Florida nchini marekani. Katika website yao wameonyesha baadhi ya kazi kubwa walizo wahi...
  9. S

    Sakata la Lugumi: Waziri Kitwanga kusababisha kuibuka kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu?

    Naamini kuna wabunge wataibua hoja ya kumtaka waziri huyu ajiuzulu na akigoma hoja hiyo itaelekezwa kwa boss wake(waziri mkuu) maana wabunge hawana mamlaka ya moja kwa moja ya kumwajibisha waziri bali wana mamlaka ya kumwajibisha waziri mkuu kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae. Namshauri...
  10. Sakata la Lugumi: Gazeti la Nipashe latakiwa kuliomba Bunge radhi kwa upotoshaji

  11. Mkataba wa Lugumi: Wananchi tunaomba hizi Kamati za Bunge zichunguzwe

    Kutokana na kauli tata zilizotolewa na viongozi wa kamati mbili za bunge 1. Kamati ya mambo ya nje na ulinzi 3. Kamati ya P.A.C wananchi tunaomba hizi kamati zichunguzwe, mimi nikiwa mmoja wa wananchi hao nashindwa kuelewa mantiki ya kauli hizi mbili, je nini kinachofichwa? Kwa nini Lugumi...
  12. S

    Valentino Mlowola wa TAKUKURU aliwahi kuwa Boss Polisi, Atatendea haki faili la LUGUMI?

    Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo. Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko...
  13. Infosys IPS (T) LTD wakanusha kuhusika na LUGUMI katika kashfa ya ubadhirifu

    Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba kampuni hiyo inahusika na inashirikirikiana na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhirifu. Katika habari zilizosambaaa inasemekana kwamba kampuni ya Infosys ilipokea mabilioni ya shilingi kutoka...
  14. Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI

    Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani jaji Projest Rwegasira ametoa ya moyoni kuhusu mkataba iliyopewa Lugumi Enterprises Ltd kusambaza vifaa maalum vya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vyote vya jeshi la polisi nchini mwaka 2011. Ndugu Rwegasira amesema kuwa ameagizwa na mamlaka ya juu...
  15. Mzee mwanakijiji na Humphrey Polepole mbona mpo kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi?

    Wanajamvi Salaam; Kwa sasa habari kubwa kwenye vyombo vya habari vyote,ni kuhusu ufisadi wa kutisha unaohusisha jeshi la police na baadhi ya viongozi akiwemo waziri wa mambo ya ndani Charles kitwanga na kampuni yake ya INFOSY. Hawa jamaa niliowataja hapo juu,tangu wakati wa kampeni...
  16. S

    Mkataba wa Lugumi wapelekwa kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama!

    Hii ndio Tanzania. Hii habari imeandikwa na gazeti la mtanzania la leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge, Balozi Adadi Rajabu amethibitisha mkataba huo kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises kuwasilishwa mbele ya Kamati yake siku ya jana. =============== Njama nzito...
  17. S

    Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

    Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatikana malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake. Tumeaminishwa haangali sura,hana chama, anasimamia...
  18. Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi

    Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi wenye kiasi cha takribal Bil 37. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati za Bunge Aishi Hilali ili mkataba huo uweze kupitiwa tena Bunge. Chanzo: East Africa Radio.
  19. S

    Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,Ernest Mangu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani,Jaji Meja Jenerali Projest Rwegasira, wameripotiwa kutupiana mpira kuhusu kuhusu ni nini kimesababisha kutokuwasilishwa kwa mkataba huo kwa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali siku ya jana. Mangu anasema...
  20. Suala la LUGUMI ni mtihani mgumu kwa Rais Magufuli, akiiweza hii basi tena

    Wandugu. Wengi kwasasa tunaelewa kinachoendelea kati ya uongozi wa jeshi la polisi na kamati ya bunge (PAC) katikati akicheza Saidi Lugumi na timu yake ya vigogo. Hii Leo jeshi la polisi lilipaswa kua limewasilisha mkataba wao na Lugumi Enterprises ikiwa ni pamoja na payment trends in which 99...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…