Swala hili lina upana wake maana linawagusa sana viongozi wa awamu ya tano pia ndio pesa iliyofanyia kampeni..ebu niambie ni uchaguzi upi ambao umewahi kupita baada tangia Kikwete aingie madarakani ambao haukuambatana na ufisadi mkubwa? Hizo pesa ndizo zilizosaidia CCM kwa kusaidiana na vyombo vya dola kulazimisha ushindi...
Ofisi inafanya hivyo baada ya kamati zake kukurupuka na kutaka mambo pengine siyo cag aliyoyabaini.LUGUMI ana nguvu sana eeh? Toka awamu wa nne ya JK, mpaka hii awamu ya tano ya Magu? Kweli CCM ni ile ile...
Bunge ni mara ngapi mmekwaruzana na media houses. !? Nguvu hii mnaitolea wapi?
Namashaka na zile 6Bilioni za masalio ya bunge, inawezekana zilitoka kwa LUGUMI.
It can't be possible Bunge kushupalia kumsafisha LUGUMU.
Swala hili ni gumu sana mkuu OKW BOBAN SUNZU Ngoja tusubiri na tuone mwisho wakeLugumi kakumbatiwa na ngazi za juu
Dah siasa tamu sana,hivi hujiulizi kwa nini wanasiasa wenye kelele upinza hawashupalii hili suala?...siku hizi wanasiasa huwalipa pesa waandishi kueneza propaganda ili wajiridhishe kabla ya wao kuingiza miguu...mambo mengi ni uongo,ngoja tusubiri.Swala hili lina upana wake maana linawagusa sana viongozi wa awamu ya tano pia ndio pesa iliyofanyia kampeni..ebu niambie ni uchaguzi upi ambao umewahi kupita baada tangia Kikwete aingie madarakani ambao haukuambatana na ufisadi mkubwa? Hizo pesa ndizo zilizosaidia CCM kwa kusaidiana na vyombo vya dola kulazimisha ushindi...
Kama unataka kujua nini kimefanyika fatilia kwa karibu uone jinsi askari walivyopewa vipesa kabla ya uchaguzi na baada hasa wale wenye vyeo kama ma RPC na wengineo wameneemeka sana kwa mgao
Money talk my friend....penye udhia penyeza rupiaLUGUMI ana nguvu sana eeh? Toka awamu wa nne ya JK, mpaka hii awamu ya tano ya Magu? Kweli CCM ni ile ile...
Bunge ni mara ngapi mmekwaruzana na media houses. !? Nguvu hii mnaitolea wapi?
Namashaka na zile 6Bilioni za masalio ya bunge, inawezekana zilitoka kwa LUGUMI.
It can't be possible Bunge kushupalia kumsafisha LUGUMU.
Mkuu wizi wa Lugumi ni kweli wamepiga pesa isipokuwa kilichotokea ni ile kamati ya Bunge kupewa Rushwa kupitia Kwa kibajaji ili waje na matokeo ya kushangaza na huenda Watanzania watazidharau kamati zote za Bunge kabsa, JIPU la Lugumi ni kubwa kuna List kubwa wametafuna pesa za Lugumi Hivi Sasa wapo busy kuhakikisha kuwa Lugumi anakuwa msiri mkubwa asiwataje wale alizowagawia pesa, kinachofanyika Sasa ni kuwaziba midomo waandishi na vyombo vya habari.Dah siasa tamu sana,hivi hujiulizi kwa nini wanasiasa wenye kelele upinza hawashupalii hili suala?...siku hizi wanasiasa huwalipa pesa waandishi kueneza propaganda ili wajiridhishe kabla ya wao kuingiza miguu...mambo mengi ni uongo,ngoja tusubiri.
Rrushwa inatembea kila kona Sasa ili kuhakikisha kuwa Lugumi analindwa Kama Mwakyembe alivyolindwa kwenye mabehewa mabovu.Money talk my friend....penye udhia penyeza rupia