barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Breaking News : Mama wa Said Lugumu afariki dunia akiwa njiani kuja Dar kwa matubabu zaidi ,alipata tatizo la moyo baada ya tuhuma za kutisha za ufisadi kwa mwanae . Mr Lugumi kwa sasa yuko njiani kuelekea Mwanza kuandaa maazishi . Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi , Amin!
Akielezea kwa msisitizo,mtangazaji wa Clouds Radio Ephraim Kibonde anasema Mama wa Said Lugumi alikuwa ktk mipango ya kuletwa Dsm kwa matibabu zaidi mara baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya,hali hii imesababishwa na maneno katika magazeti na vyombo mbalimbali vya habari juu ya "tuhuma" za Lugumi na mitambo ya Finger print
Chanzo:Clouds Radio