Valentino Mlowola wa TAKUKURU aliwahi kuwa Boss Polisi, Atatendea haki faili la LUGUMI?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
20160415_045809.jpg

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.

Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?

Anyway,wacha tu siku ziende!
 
Wamelipeleka TAKUKURU kwa kuwa TAKUKURU haijawahi kushinda kesi mahakamani, wameamua kumsafisha kwa kutumia MUHANDO STYLE.. kuliko ajifiche aende mahakamani halafu ataachiwa huru.
 
mbona tunaambiwa ametoroka???? so watampataje wakati yule mwarabu aliyetoroka hadi kova akatangaza donge nini hadi saizi hawajampata.
 
20160415_045809.jpg

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.

Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?

Anyway,wacha tu siku ziende!
 
Luna kitu nimekisikia Nikabaki nacheka .
Swala La BRELA kusema hawana Taaarifa Kamili Juu ya Kampuni ya Lugumi name hivyo waulizwe TAKUKURU ..

Nikajiuliza BRELA kazi yao ni nn ..kama hawajua Shareholders wa Lugumi ? na wao ndio wenye Mamlaka hayo ya kusajili name kutuza kumbukumbu za Kampuni .

Hilo ni Jipu tu lingine liloiva .
 
Lugumi Alikuwa Na Tender Police Tu Ama Majeshi Yote
Maana Kuna Mtu Anasema Alokuwa Na Tender
Polisi
Magereza
Uhamiaji
Zimamoto
JW
WenyeUfafanuzi Tafadhali
 
Back
Top Bottom