Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,681
- 149,880
Naamini kuna wabunge wataibua hoja ya kumtaka waziri huyu ajiuzulu na akigoma hoja hiyo itaelekezwa kwa boss wake(waziri mkuu) maana wabunge hawana mamlaka ya moja kwa moja ya kumwajibisha waziri bali wana mamlaka ya kumwajibisha waziri mkuu kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae.
Namshauri waziri huyu asome alama za nyakati na afanye uamuzi sahihi badala ya kusubiri shinikizo la Bunge kwani kutajwa tu ni sababu tosha ya yeye kutakiwa kujiuzulu.
Bunge linaanza wiki ijayo hivyo tusubiri kuona nini kitatokea maana mpaka sasa kuna wabunge ambao teyari wameshajeruhiwa na wengine wako mbioni sasa sidhani kama nao watakuwa na salia mtume katika hili.