Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,406
24,991
Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi wenye kiasi cha takribal Bil 37.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati za Bunge Aishi Hilali ili mkataba huo uweze kupitiwa tena Bunge.

Chanzo: East Africa Radio.
 
Jana nimemsikia makamu mwenyekiti wa PAC, akiongeza siku sita baada ya zile tatu kupita pasi na jeshi la polisi kutii maagizo ya kamati ya bunge ya kuukabidhi mkataba tata waliouingia na LUGUMI ENTER...., je hizo siku zikipita na hawakupeleka huo mkataba nini kitafuatia , polisi atamkamata polisi......?
 
Kisheria atatumbuliwa mhusika kwa kudharau bunge ni issue hatari sana anaweza kosa hata hicho kibarua... kama wabunge wanamtumbua waziri mkuu au mawaziri itakuwa IGP?? Kamati ikishindwa itakuwa hoja ya bunge zima na watakuja na maazimio... . (Kama haitazimwa kimizengwe na ofisi kuu)..... hawana ubavu wa kuikataa ila nasikia imepelekwa kamati nyingine inayo husu mambo ya usalama ambayo Adadi ndo mkuu wake ( sina uhakika)....
 
Mkataba upo na ipo soft copy. sasa why ichukue siku tatu? ni kutuma email tuu na mkataba utapatika within seconds
Hapa wana assume kuna makandokando...labda wa kutuma yupo msibani au spitali au kaswafar....mmhh ndo mana siku 3
 
Palipo na riziki hapakosi ufitini mbona maswala ya haki za watoto wa mitaani wanaodhalilika hazishupaliwi au watoto walioko magereza haki zao hazitetewi ..au wanaudhulumu haki za watoto sio mafisadi....? kutwa nzima ni kuyashughulikia maswala yenye mahusiano na fedha tu. .tutafika huko tuendako....?
 
Jana nimemsikia makamu mwenyekiti wa PAC, akiongeza siku sita baada ya zile tatu kupita pasi na jeshi la polisi kutii maagizo ya kamati ya bunge ya kuukabidhi mkataba tata waliouingia na LUGUMI ENTER...., je hizo siku zikipita na hawakupeleka huo mkataba nini kitafuatia , polisi atamkamata polisi......?

Itabidi askari akamate polisi!
 
Rais ataingilia kati!Hapo ndipo watakapojua ubaya wa Magufuli.Polisi hawako juu ya sheria.
Jana nimemsikia makamu mwenyekiti wa PAC, akiongeza siku sita baada ya zile tatu kupita pasi na jeshi la polisi kutii maagizo ya kamati ya bunge ya kuukabidhi mkataba tata waliouingia na LUGUMI ENTER...., je hizo siku zikipita na hawakupeleka huo mkataba nini kitafuatia , polisi atamkamata polisi......?
Raisi
 
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati za Bunge Aishi Hilali ili mkataba huo uweze kupitiwa tena Bunge.

Yemesemwa lini, wakati mkataba upo bungeni ila sio na PAC bali kamati nyingine ya kuwakingia kifua?
 
Back
Top Bottom