uchumi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza katika viwanda ni kumuenzi Baba wa taifa-Samia

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa kutegemea uzalishaji unaotokana na bidhaa za viwandani. Samia ametoa ushauri huo katika uzinduzi wa wiki...
  2. musa_ali

    JamiiForums Tanzania Ninaandika na kuuza Proposal za Biashara, Miradi na Idea mbalimbali.

    Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo. Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc. Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni...
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kwa hesabu za haraka, Stiegler's Gorge itaifanya Tanzania kuipiku Afrika Kusini kiuchumi ndani ya miaka 10

    Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's Gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni...
Back
Top Bottom