Wataalum wa uchumi kimewashinda nini kuikomboa thamani ya fedha yetu?

Lager

JF-Expert Member
Mar 4, 2019
389
1,071
Sitaki kuamini kuwa tunaenda kwa mwendo huu, mwendo wa fedha yetu kukosa thamani na kuzidi kudidimia chini.

Ni ajabu wana uchumi kashindwa kuikomboa fedha yetu, wazee wetu wanatuambia hapo kabla fedha ilikuwa imara lakini hivi sasa inakuwa mdebwedo.

Dola moja ni sawa na Tshs elfu 2000 na kitu, hivi hapo ndipo inapostahili kuwa fedha yetu na rate inaonekana kupanda, wachumi mnafanya nini ama kimekosekana nini?

Au kuna watu wana yao wanapiga dili, hii fedha yetu mbona siielewi?

Tatizo nini juu ya uchumi wetu?
 
Back
Top Bottom