Point 4 za Dambisa Moyo (Mwandishi wa Kitabu cha Dead Aid) na Uchumi wa Rais Magufuli

Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,932
4,857
Habari za Mchana wakuu!
Mimi nimejijengea tabia ya kutokuwa debe tupu pale unapotaka kushauri, kukosoa au kusifia jambo lililo au linalo au litakalo fanywa na mtu, kikundi cha watu, taasisi binafsi, taasisi ya umma, serikali za mitaa au serikali kuu.
Mojawapo ya kitabu nilichosoma katika kujiondolea ujinga na udebe tupu ni kitabu cha "Dead Aid" cha Dambisa Moyo. Kina mambo mengi lakini kwa leo nimeona niwashirikishe wanaJF point 4 zinazoonekana kubeba mtazamo au maoni ya Dambisa Moyo katika kitabu hicho. Natamani tusome na kuelewa hizi pointi za kujaribu kuzioanisha na Uchumi inayojengwa na serikali yetu kwa sasa au hata basi Uchumi unaoonekana na aina ya mikakati ya kufikia huo uchumi. Pointi hizo kwa kiingereza ni;

1. African countries should follow Asian emerging economies in accessing International Bond Markets and taking advantages of falling yields paid by sovereign borrowers.

2. They should encourage the Chinese policy of large-scale direct investment in infrastructure. (China invested US$900 million in Africa in 2004, compared with just US$20 million in 1975.)

3. They should continue to press for genuine free trade in agricultural products, which means that the
US, the EU and Japan must scrap the various subsidies they pay to their farmers, enabling African countries to increase their earnings from primary product exports.

4. They should encourage financial intermediation. Specifically, they need to foster the spread of microfinance institutions of the sort that have flourished in Asia and Latin America. They should also
follow the Peruvian economist Hernando de Soto’s advice and grant the inhabitants of shanty towns secure legal title to their homes, so that these can be used as collateral. And they should make it cheaper for emigrants send remittances back home.

Mimi sio mchumi lakini naona JPM yupo kwenye raiti traki, japo kwa point #2 na kidogo sana #4.
 
Umeelewa vibaya. Uchumi Ni Mambo yafuatayo.
C= individual consumption
I= Both foreign and domestic investments.
G= Government spending both recurent and progressive
(X-M) = Net exports

Vyote happy juu jpm anaviharibu na hivyo haukui unadiminis at high decreasing rate.
Mfano ukiincrase mishara ya wafanyakazi unakuza (C) na ukiruhusu mikutano ya wanasiasa unakuza (I) Mana investors wanawekeza kwenye sehemu zenye demokrasia ili serikali ikiwanyanyasa wanapitia kwa wapinzani kutetea maslahi yao bungeni, Sasa hivi bunge limewekwa mfukoni hivyo hakuna mwekezaji mwehu atakayewekeza ambapo serikali onaongozwa kwa matamko tu, it's too risky to investors.
Mwisho kabisa soma uelewa usidownload material na kujustify upumbavu wako.
 
Yaani mishahara ya wafanyakazi na mikutano ya kisiasa ndio hukuza uchumi? Mimi sikuambii mpumbavu kama ulivyoniambia, lakini jaribu kurejea maoni au kauchambuzi kako.
Mishahara ya wafanyakazi ni; na inatakiwa kuwa ni matokeo ya kukuzwa kwa uchumi kupitia production na appropriate investiment.
 
Umeongea vyema sana mkuu.
 
We Ni zero brain. Nimetaja mfano mishahara pia ajira kwa watu inaongeza velocity of money using quantity theory of money. Huyu mtu tangu aingie madarakani kapiga chini kabisa watu kuajiriwa. Uchumi hauendi hivyo lazima ukuze consumption rate through individual income or rather disposable income ili kukuza C= a + bY. Kinachokua kwa Sasa Ni 'a' ambayo haina positive impact kwa health economy. Pili command economy imeshafeli nchi nyingi. State ikiongoza uchumi eventually unasease tu. Mf shirika la ndege na shirika la sim lilipaswa liendeshwe na private companies through ppp I'll kuongeza ufanusi kwani completion leads to efficiency hence profit maximization. Upo hapo!
 
Wachina tofauti na race nyingine za watu weupe i mean wazungu kwa sababu Wachina hata kama serikali yako inachinja raia wake huwa awaiingilii mambo yenu ya ndani wapo bize na kuiba mali na ndiyo maana hupendwa na serikali za Kiafrika haswa zenye kutofuata democracia wazungu kosa lao ni yale malezi ya tangu utotoni wametengenezwa kutomudu uvunjwaji wa haki za binadamu.
Habari za Mchana wakuu!
Mimi nimejijengea tabia ya kutokuwa debe tupu pale unapotaka kushauri, kukosoa au kusifia jambo lililo au linalo au litakalo fanywa na mtu, kikundi cha watu, taasisi binafsi, taasisi ya umma, serikali za mitaa au serikali kuu.
Mojawapo ya kitabu nilichosoma katika kujiondolea ujinga na udebe tupu ni kitabu cha "Dead Aid" cha Dambisa Moyo. Kina mambo mengi lakini kwa leo nimeona niwashirikishe wanaJF point 4 zinazoonekana kubeba mtazamo au maoni ya Dambisa Moyo katika kitabu hicho. Natamani tusome na kuelewa hizi pointi za kujaribu kuzioanisha na Uchumi inayojengwa na serikali yetu kwa sasa au hata basi Uchumi unaoonekana na aina ya mikakati ya kufikia huo uchumi. Pointi hizo kwa kiingereza ni;

1. African countries should follow Asian emerging economies in accessing International Bond Markets and taking advantages of falling yields paid by sovereign borrowers.

2. They should encourage the Chinese policy of large-scale direct investment in infrastructure. (China invested US$900 million in Africa in 2004, compared with just US$20 million in 1975.)

3. They should continue to press for genuine free trade in agricultural products, which means that the
US, the EU and Japan must scrap the various subsidies they pay to their farmers, enabling African countries to increase their earnings from primary product exports.

4. They should encourage financial intermediation. Specifically, they need to foster the spread of microfinance institutions of the sort that have flourished in Asia and Latin America. They should also
follow the Peruvian economist Hernando de Soto’s advice and grant the inhabitants of shanty towns secure legal title to their homes, so that these can be used as collateral. And they should make it cheaper for emigrants send remittances back home.

Mimi sio mchumi lakini naona JPM yupo kwenye raiti traki, japo kwa point #2 na kidogo sana #4.

Yaani mishahara ya wafanyakazi na mikutano ya kisiasa ndio hukuza uchumi? Mimi sikuambii mpumbavu kama ulivyoniambia, lakini jaribu kurejea maoni au kauchambuzi kako.
Mishahara ya wafanyakazi ni; na inatakiwa kuwa ni matokeo ya kukuzwa kwa uchumi kupitia production na appropriate investiment.

Kama mimi ningekuwa wewe na nina degree ya uchumi hakika ningeenda kudai ada yangu niliyoitupa.

Uchumi haujengwi na serikali tu bali uchumi hujengwa na watu (wenyeji na wageni) mfano sera zikiwa nzuri za uwekezaji wageni toka nchi mbalimbali watawekeza, Wafanyakazi wakilipwa mishahara mizuri watawekeza katika maeneo mbalimbali na serikali itapata kodi nzuri tu mwisho wa siku uchumi wa nchi utakuwa.
 
Tatizo la hoja yako ni moja mkubwa....

Kwamba, umekopi na kupest hivyo hivyo point za huyo mwandishi uliyemsoma na kuzitupia huko na kisha kutoa maoni yako ya juu juu tu bila hata kuweka sawa uchambuzi wako...

Mfano, unajua kabisa lugha yetu ya mawasiliano tunayoimudu vyema wote ni Kiswahili....

Lakini wewe umezibeba hizo ulizoziita pointi za kiuchumi vivyo hivyo kwa Kiingereza na kuzitupia humu....

Umejiwekea mipaka mwenyewe kupata maoni ya wachangiaji wengi....

Kwa sababu ni sawa na kuwa una nia njema ya kutoa msaada wa chakula kwa watu wasio na uwezo (wenye uhitaji).....

Lakini ukafanya hivyo kwa kutupa kiroba kichafu barabarani kilicho na mikate mizuri ndani yake ukitegemea watu waone na wale kama chakula....

Maana yangu ni hii;

Ungetumia pointi za Mtunzi wa kitabu hicho ulichosoma kuleta uchambuzi mahiri wa kitaalamu kwa kutumia lugha nyepesi na ya kueleweka huku ukihusianisha na hali ya uchumi wa nchi yetu....

Lakini kwa hapa kuna kila sababu mtu kuamini kuwa umeandikiwa tu sehemu na wewe kuja kutupia humu...

Hili linathibitishwa na uandishi wako na namna unavyotetea hoja zako kutoka kwa wanaojaribu kuku - challenge....

Very funny kuwa, umemaliza huu unaouita uchanbuzi wako kwa kuandika;

".....kwa sababu hizi, naamini Magufuli yuko kwenye rait traki labda namba 2 na 4...!!"

Kwa kumaliza tu hoja yako hivyo, ilitoa picha ya moja kwa moja wewe ni mtu wa mrengo gani....!!

In my opinion, nadhani, ungemaliza kwa kutomtaja Rais Magufuli na badala yake ungesema;

"......kwa sababu/point hizi Tanzania iko kwenye right track isipokuwa labda namba 2 na 4......"

Kidogo ingeleta sense na kufanya mjadala kuwa huru zaidi usiokuwa na mihemuko ya kisiasa....

Na kwa uzoefu wangu hapa Jukwaani ni kuwa, mtu yeyote anayeanzisha mjadala wa kujaribu kumsifu Rais Magufuli ama serikali yake hapa jukwaani, wengi si wavumilivu wa kupokea maoni kinzani.....

Mara nyingi, wakiwa challenged tu nje ya matarajio yao, uvumilivu huwashinda na mwisho huanza kurusha matusi na vijembe....

Sorry, kwa kutoka nje ya mada kidogo. Hata hivyo, I felt to write this...

Thank you and good night everyone!!
 
Yaani mishahara ya wafanyakazi na mikutano ya kisiasa ndio hukuza uchumi? Mimi sikuambii mpumbavu kama ulivyoniambia, lakini jaribu kurejea maoni au kauchambuzi kako.
Mishahara ya wafanyakazi ni; na inatakiwa kuwa ni matokeo ya kukuzwa kwa uchumi kupitia production na appropriate investiment.
Ulianza vizuri kwa kusema wewe siyo mchumi, kwa hiyo tulia mchumi akufundishe. Amekuwekea theory ya national income kama polynomial function. Wakati Y (National
Income) inakuwa tegemezi ya zile parameters zingine ambazo ni independent variables.
 
Mi
Yaani mishahara ya wafanyakazi na mikutano ya kisiasa ndio hukuza uchumi? Mimi sikuambii mpumbavu kama ulivyoniambia, lakini jaribu kurejea maoni au kauchambuzi kako.
Mishahara ya wafanyakazi ni; na inatakiwa kuwa ni matokeo ya kukuzwa kwa uchumi kupitia production na appropriate investiment.
Misrecodius Vulutus umeongea vizuri sana kwa lugha nyepesi lakini yenye ujumbe mzito. Wenye akili tumekuelewa.
 
Kama mimi ningekuwa wewe na nina degree ya uchumi hakika ningeenda kudai ada yangu niliyoitupa.

Uchumi haujengwi na serikali tu bali uchumi hujengwa na watu (wenyeji na wageni) mfano sera zikiwa nzuri za uwekezaji wageni toka nchi mbalimbali watawekeza, Wafanyakazi wakilipwa mishahara mizuri watawekeza katika maeneo mbalimbali na serikali itapata kodi nzuri tu mwisho wa siku uchumi wa nchi utakuwa.

uchumi haukuzwi na mishahara: we ndo upo off road: ukiongeza mishara unaua nchi upande wa money resources: You obvious dont want people to feel rich because izi ela za mwanzoni ztakua useless: tuseme mfano saaahv nkikupa shilingi 10 utaifanyia nn? lakini kumbuka serikali iliingia gharama kuchapisha hio shillingi 10: so anaepata hasara ni nchi na ni madhara ya kupandisha mishahara na kumwaga pesa nyingi kwa jamii, hela inatakiwa iwe na heshima yake: kuvunja uchumi ni sekunde chache lakni kuurudisha its almost impossible:
 
Mkuu niliamua kutulia kwa sababu nimewaelewa wachangia mada wengi wamechukizwa na mimi kusema kwamba ujenzi wa miundo mbinu ni right track kwa serikali ya JPM. Hamna kingine. Wengine wanasema nimefanya makosa kumnukuu mwandishi, wapi na wapi? si nimemtaja? Ningemnukuu bila kumtaja ndio ingekuwa kosa. Watu wanakataa eti kwamba ujenzi wa miundo mbinu imara ni kukuza uchumi. Wanataka uchumi kukuzwa kwa kuongeza mishahara! Tuna shida. Mishahara ni matokeo ya kukuzwa kwa uchumi. Na hata serikali ya JMK iliweza kuongeza mishahara na maslahi mengine kwa sababu kulikuweko na uchumi uliokuzwa kwa awamu iliyomtangulia.
 
Habari za Mchana wakuu!
Mimi nimejijengea tabia ya kutokuwa debe tupu pale unapotaka kushauri, kukosoa au kusifia jambo lililo au linalo au litakalo fanywa na mtu, kikundi cha watu, taasisi binafsi, taasisi ya umma, serikali za mitaa au serikali kuu.
Mojawapo ya kitabu nilichosoma katika kujiondolea ujinga na udebe tupu ni kitabu cha "Dead Aid" cha Dambisa Moyo. Kina mambo mengi lakini kwa leo nimeona niwashirikishe wanaJF point 4 zinazoonekana kubeba mtazamo au maoni ya Dambisa Moyo katika kitabu hicho. Natamani tusome na kuelewa hizi pointi za kujaribu kuzioanisha na Uchumi inayojengwa na serikali yetu kwa sasa au hata basi Uchumi unaoonekana na aina ya mikakati ya kufikia huo uchumi. Pointi hizo kwa kiingereza ni;

1. African countries should follow Asian emerging economies in accessing International Bond Markets and taking advantages of falling yields paid by sovereign borrowers.

2. They should encourage the Chinese policy of large-scale direct investment in infrastructure. (China invested US$900 million in Africa in 2004, compared with just US$20 million in 1975.)

3. They should continue to press for genuine free trade in agricultural products, which means that the
US, the EU and Japan must scrap the various subsidies they pay to their farmers, enabling African countries to increase their earnings from primary product exports.

4. They should encourage financial intermediation. Specifically, they need to foster the spread of microfinance institutions of the sort that have flourished in Asia and Latin America. They should also
follow the Peruvian economist Hernando de Soto’s advice and grant the inhabitants of shanty towns secure legal title to their homes, so that these can be used as collateral. And they should make it cheaper for emigrants send remittances back home.

Mimi sio mchumi lakini naona JPM yupo kwenye raiti traki, japo kwa point #2 na kidogo sana #4.
Hayo yamfaa aliyebobea kwenye uchumi,jasusi wa uchumi,aliyekulia kwenye biashara.Kiongozi wa nchi yafaa uwe tajiri,jasusi wa uchumi,umetoka kwenye familia ya kibiashara thus Kenyatta anafanya vyema.Uongozi ni pesa utaki usitake unapozungumzia uongozi unamaanisha kuwainua watu kiuchumi lzm uwe na mindset za kiuchumi wapi utapata pesa either kwa kuwajengea watu wako uwezo wa kuzalisha wachochee watake zaidi ana duka moja,daladala moja,hotel moja,nyumba moja nk wachochee watamani kupata zaidi na zaidi daladala,duka,hotel,nyumba mbili,tatu na zaidi.Kadri unapowatengenezea mazingira watu wako kupata zaidi ndivo wanapoongeza ajira nchini,ndivo wanavolipa kodi zaidi.Pili ni kuvutia mazingira bora ya uwekezaji toka nje nchi zote duniani zilizoelendela zimejengwa na wageni waliowekeza kura ajira zikaongezeka kodi zikaongezeka si China,India, UK,USA, nk.Ukipunguza tatizo la ajira utaongeza makusanyo ya kodi watu wakishiba utaondoa chuki,watakuwa wazalendo hawatokusumbua sababu wanashiba,ukiwasomesha watu namba ni kupunguza idadi ya walipa kodi ajira zitakufa,watu watakuchukia na kukuombea mabaya yakupate,utaondoa uzalendo watu wako radhi kukuhujumu hata kwa kushirikiana na nguvu za nje au kusapoti njia mbadala.Bila kuinua Sekta binafsi kwa kuzuia mzunguko wa pesa,kuzifungia ndani uchumi hautokua sababu hakutokua na mzunguko wa pesa, kifuatacho utajenga miundombinu hakuna wa kuitumia,hakuna nchi yeyeto iliyoendelea kwa shughuli za uchumi kumilikiwa na serikali bali ni sekta binafsi au joint venture.
 
Yaani mishahara ya wafanyakazi na mikutano ya kisiasa ndio hukuza uchumi? Mimi sikuambii mpumbavu kama ulivyoniambia, lakini jaribu kurejea maoni au kauchambuzi kako.
Mishahara ya wafanyakazi ni; na inatakiwa kuwa ni matokeo ya kukuzwa kwa uchumi kupitia production na appropriate investiment.
Mishahara ni chanzo cha kukuza uchumi pia ukiwapa mishahara mizuri utachochea spending watumishi watanunua,watajenga,watasafiri,watasaidia jamaa zao,watawekeza at the end zitarudi tena serikalini kupitia kodi ndo tafsiri ya hela zote ni mali ya serikali maana ukizitoa zitarudi tena serikalini.
 
uchumi haukuzwi na mishahara: we ndo upo off road: ukiongeza mishara unaua nchi upande wa money resources: You obvious dont want people to feel rich because izi ela za mwanzoni ztakua useless: tuseme mfano saaahv nkikupa shilingi 10 utaifanyia nn? lakini kumbuka serikali iliingia gharama kuchapisha hio shillingi 10: so anaepata hasara ni nchi na ni madhara ya kupandisha mishahara na kumwaga pesa nyingi kwa jamii, hela inatakiwa iwe na heshima yake: kuvunja uchumi ni sekunde chache lakni kuurudisha its almost impossible:

Mishahara ni moja ya factors za kukuza uchumi pia maana itarudi tena hazina pale wafanyakazi watakapotumia fedha walizolipwa kununua chakula,ujenzi,usafiri,huduma nk,kupitia mishahara mkulima,mfanyabiashara,mwenye duka,mmiliki wa daladala, kituo cha mafuta,mwenye genge,tanesco,kampuni za simu,nk kiufupi mishahara usaidia mzunguko wa shughuli za kiuchumi.
 
Mkuu niliamua kutulia kwa sababu nimewaelewa wachangia mada wengi wamechukizwa na mimi kusema kwamba ujenzi wa miundo mbinu ni right track kwa serikali ya JPM. Hamna kingine. Wengine wanasema nimefanya makosa kumnukuu mwandishi, wapi na wapi? si nimemtaja? Ningemnukuu bila kumtaja ndio ingekuwa kosa. Watu wanakataa eti kwamba ujenzi wa miundo mbinu imara ni kukuza uchumi. Wanataka uchumi kukuzwa kwa kuongeza mishahara! Tuna shida. Mishahara ni matokeo ya kukuzwa kwa uchumi. Na hata serikali ya JMK iliweza kuongeza mishahara na maslahi mengine kwa sababu kulikuweko na uchumi uliokuzwa kwa awamu iliyomtangulia.
Mkuu tatizo lako halipo kwenye kingine zaidi ya ufahamu wako na hamu ulionayo ya kuwaaminisha watu kuwa yaliyo nje ya mawazo yako sio sahihi. Ubishi mkubwa hapa ni mishahara...na umekiri kuwa hujui UCHUMI still, hutaki kujifunza.

Ukiwanyang'anya mashamba watu 60,000 na ukayatumia kuzalisha miwa ufungue kiwanda cha sukari, ni kweli utakuwa umefanikiwa kuzalisha sukari kwa wingi, lakini at the same time utakuwa umeua PURCHASING POWER ya zaidi ya watu 40,000 na umeshusha demand ya sukari kwa asilimia kadhaa. Wewe umeichukulia mishahara kama zawadi ambayo wafanyakazi wanapewa na serikali kwa hisani lakini kwenye uchumi ni determinant factor.

Ujenzi wa miundombinu nao huchochea uchumi ikiwa umefanyika kwa uwiano sahihi na sectors zingine. Ukipeleka barabara shambani huku uwezo wa mkulima umeushusha sana, utabaki na barabara lakini mazao hakuna. Wanaokupinga wanazungumzia uwiano na si kwamba wamesema havina maana.
 
Kama mimi ningekuwa wewe na nina degree ya uchumi hakika ningeenda kudai ada yangu niliyoitupa.

Uchumi haujengwi na serikali tu bali uchumi hujengwa na watu (wenyeji na wageni) mfano sera zikiwa nzuri za uwekezaji wageni toka nchi mbalimbali watawekeza, Wafanyakazi wakilipwa mishahara mizuri watawekeza katika maeneo mbalimbali na serikali itapata kodi nzuri tu mwisho wa siku uchumi wa nchi utakuwa.
Hata ukiwaelimisha hawatakuelewa,ni mwendo wa kusifia kila afanyacho/atamkacho kiongozi wa Malaika aishiye duniani tens hapa hapa Tanzania.
Tusipodai Katiba,Huyu Baba hatatuacha salama.Kama within 4 years katusambaratishia nchi kiasi hiki,imagine what will happen after 5 or 10 years? Let's take drastic measures to stop this from happening.
 
Mishahara ni moja ya factors za kukuza uchumi pia maana itarudi tena hazina pale wafanyakazi watakapotumia fedha walizolipwa kununua chakula,ujenzi,usafiri,huduma nk,kupitia mishahara mkulima,mfanyabiashara,mwenye duka,mmiliki wa daladala, kituo cha mafuta,mwenye genge,tanesco,kampuni za simu,nk kiufupi mishahara usaidia mzunguko wa shughuli za kiuchumi.

sorry nlitaka kusema Mshahara sio main part ya kukuza uchumi ama the only part: but hua inaplay part pia but haimaanishi watu wasipongezewa mshahara uchumi unakufa;
 
Mkuu niliamua kutulia kwa sababu nimewaelewa wachangia mada wengi wamechukizwa na mimi kusema kwamba ujenzi wa miundo mbinu ni right track kwa serikali ya JPM. Hamna kingine. Wengine wanasema nimefanya makosa kumnukuu mwandishi, wapi na wapi? si nimemtaja? Ningemnukuu bila kumtaja ndio ingekuwa kosa. Watu wanakataa eti kwamba ujenzi wa miundo mbinu imara ni kukuza uchumi. Wanataka uchumi kukuzwa kwa kuongeza mishahara! Tuna shida. Mishahara ni matokeo ya kukuzwa kwa uchumi. Na hata serikali ya JMK iliweza kuongeza mishahara na maslahi mengine kwa sababu kulikuweko na uchumi uliokuzwa kwa awamu iliyomtangulia.

Sasa mkuu nchi za afrika watu wanataka waone results papo hapo: which is wrong, uchumi ni investment za mda mrefu lakini mtu hawezi elewa izi investment: so huezi bishana na watu ambao hawataki kujua ukweli, wengi unaobishana nao uku ni waaajiriwa ambao wanachojua ni mishara tu, kwahio we play your part and dont give a damn!
 
uchumi haukuzwi na mishahara: we ndo upo off road: ukiongeza mishara unaua nchi upande wa money resources: You obvious dont want people to feel rich because izi ela za mwanzoni ztakua useless: tuseme mfano saaahv nkikupa shilingi 10 utaifanyia nn? lakini kumbuka serikali iliingia gharama kuchapisha hio shillingi 10: so anaepata hasara ni nchi na ni madhara ya kupandisha mishahara na kumwaga pesa nyingi kwa jamii, hela inatakiwa iwe na heshima yake: kuvunja uchumi ni sekunde chache lakni kuurudisha its almost impossible:
Kama ulichosema ni kweli,turudishe fedha zote tulizonazo kwenye mzunguko BoT halafu tuanze upya.Mtumishi afanye kazi halafu alipwe kisicholingana na ukubwa wa kazi na muda aliotumia?Huo ndiyo uchumi mnaotaka kuujenga?Siyo sawa na utumwa?
Mbona Rais,Wabunge,Mawaziri,Ma RC & DC wanapokea mishahara minono?Vipi kuhusu wanaofanya kazi TRA,TAKUKURU,BoT,TANESCO,TANAPA,JWTZ na pia wanalipwa kama Waalimu,Wauguzi,Maofisa Ugani walipwe sawa ili kutokumwaga fedha?
 
Back
Top Bottom