Mpaluka Mdude Nyagali abadilishiwa mashtaka ya Uhujumu uchumi, asomewa ya Kusafirisha Dawa za Kulevya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,295
Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali shtaka la uhujumu uchumi lililokuwa likimkabili na kumfungulia shtaka la jinai la kusafirisha dawa za kulevya.

MDUDE WA CHADEMA ABADILISHIWA MASHITAKA  Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa ( 424 X 640 ).jpg

Hii ndiyo taarifa mpya kutoka mahakamani huko Mbeya .

Sasa amebambikwa mashitaka mapya ya usafirishaji wa madawa ya kulevya .

Tuendelee kumuombea .

Pi soma

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi - JamiiForums

1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri Mkutano wa CHADEMA na Wanahabari, Mdude Nyagali awadai Polisi fidia ya Mil 500 - JamiiForums

2). Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika - JamiiForums

3). Mdude Nyagali kufungua kesi mahakamani kwa hati ya dharura kuhusu pesa za wahanga tetemeko Kagera - JamiiForums

4). John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) - JamiiForums

5). Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4 - JamiiForums

6). Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii - JamiiForums
 
Inawezekana wafuasi wa Chadema huwa hawakosei, wanatii Sheria zote za nchi na Ni wacha Mungu wote.

Mbunge wa Kishapu Suleiman Nchambi alipokamatwa kwa tuhuma za ujangili mlishangilia mkaanza kusema CCM wote majizi na majangili, huyo mdude yeye hakosei?

Siku zote akitiwa mbaroni mwanachadema mnaanza kusema anabambikizwa kesi au makosa, mwana CCM akikamatwa mnaunga mkono.

Tusiwe watetezi wa kusafisha tuhuma bila ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanaccm aliyekamatwa alikuwa mkosoaji wa mungu wa nchini?
 
Inawezekana wafuasi wa Chadema huwa hawakosei, wanatii Sheria zote za nchi na Ni wacha Mungu wote.

Mbunge wa Kishapu Suleiman Nchambi alipokamatwa kwa tuhuma za ujangili mlishangilia mkaanza kusema CCM wote majizi na majangili, huyo mdude yeye hakosei?

Siku zote akitiwa mbaroni mwanachadema mnaanza kusema anabambikizwa kesi au makosa, mwana CCM akikamatwa mnaunga mkono.

Tusiwe watetezi wa kusafisha tuhuma bila ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mujumu uchumi Nchambi yuko nje kwa dhamana , mhujumu uchumi kisena yuko ndani !
 
Inawezekana wafuasi wa Chadema huwa hawakosei, wanatii Sheria zote za nchi na Ni wacha Mungu wote.

Mbunge wa Kishapu Suleiman Nchambi alipokamatwa kwa tuhuma za ujangili mlishangilia mkaanza kusema CCM wote majizi na majangili, huyo mdude yeye hakosei?

Siku zote akitiwa mbaroni mwanachadema mnaanza kusema anabambikizwa kesi au makosa, mwana CCM akikamatwa mnaunga mkono.

Tusiwe watetezi wa kusafisha tuhuma bila ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika upuuzi mtupu..hiv huwez kutumia common sense kujua sarakas za hizo kesi au ww ni dubwasha la lumumba unafurahia wenzenu kubambikiwa makesi
 
Hahahahah... Nyie ndio wajinga mlikuwa mna like matusi yake ona sasa hivi yupo pekeake! Yani unasema hamuwezi huku wapo nae?

Mdude awamuwezi ccm nakuambia Hakimu ampatie dhamana kwanza sitaki kulalamika leo
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom