uchumi

  1. Matarajio ya Ukuaji wa Uchumi wa Tanzania 2020

    Hii ni kabla ya janga la Corona.
  2. Taharuki ya CORONA + Mvua ya AJABU Dar es Salaam + Uchumi mbaya MIFUKONI = Sadaka Kiduchu Makanisani na Wachungaji wengi Kununa

    Sijawahi kuona Pasaka ambayo Wachungaji na Makasisi wengi ' Wamenuna ' na wana ' Hasira ' hata Nyusoni mwao kama hii ya leo. Kuna Kanisa Moja Wilayani Kinondoni Siku zote Saa 2 Asubuhi huwa ' limeshafurika ' Waumini na Sadaka yake kwa Siku hufikia Shilingi Milioni hata Tatu hadi Nne ila cha...
  3. J

    Kudhibiti wahujumu uchumi: Mzee Kimiti amfananisha Rais Magufuli na mpambanaji shujaa Edward Moringe Sokoine

    Mzee Paul Kimiti ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali nchini ikiwemo ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kuanzia enzi za mwalimu Nyerere amemmwagia sifa za kutosha Rais Magufuli. Mzee Kimiti anasema katika kupambana na wahujumu wa uchumi wa taifa letu Dr Magufuli anafanana sana na aliyekuwa...
  4. Pamoja na uchumi wa Afrika kuwa mdogo ila janga la Corona litapelekea uchumi huo kudidimia zaidi. Ajira milioni 20 kupotea

    AU report estimates 20 million job loses in Africa due to coronavirus A recent African Union (AU) study reveals that about 20 million jobs are at risk on the continent as a result of the impact of the coronavirus pandemic. Most African economies are projected to shrink this year due to the...
  5. Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Wapendwa, ni muda sasa nawaza wapi panafaa kwa biashara na mzunguko wake wa pesa ni mkubwa kulinganisha na mahala pengine. Toa mji wa mamwinyi TANGA
  6. A

    Kwanini wenzetu wameweza kujenga uchumi wa nchi zao nchi za Afrika zimefeli wapi?

    hivi ni kwanini mpaka leo bajeti zetu zinategemea misaada ya nje? kwanini mpaka leo tumeshindwa angalau kucopy kwa wenzetu wao wamefanyeje kujenga uchumi wao? mbali na kwamba sisi hatuna technolojia kama wao lakini kwanini tumeshindwa japo kuweka mifumo sahihi ya ukusanyaji kodi ili kwamba kila...
  7. Baada ya janga la Corona kutikisa uchumi, taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula kusubiri mataifa yakakope

    Taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula,aliyenacho ataongezewa, jamaa wametikisa uchumi wa dunia na sasa wako tayari kukopesha ili kusaidia hali ya mambo iliyokorogeka. Kutokana na demand kubwa ya kukopa, riba itakuwa juu, na wakopeshaji watachagua wa kukopesha... Kipaumbele watapewa mataifa...
  8. TRA yabambikia makampuni kesi za Uhujumu uchumi, kupitia risiti zenye makosa miaka 10 na zaidi iliyopita

    Wakati dunia nzima iko locked down ikihaha kupambana na Corona virus TRA wao wanahaha kukusanya kodi wavunje rekodi, nimeshuhudia kampuni zikiandikiwa barua kua mwaka 2010, 2014, 2015 zilipeleka return zenye risiti ambazo mashine zake VAT haitambuliki, hapa nilijiuliza maswali ya msingi; 1. Je...
  9. Umefanya Lockdown na uchumi wako wa kuunga unga unakosa hela ya kuwalipa Madaktari na manesi wanazikimbia Hospitali! Ni majanga zaidi ya CORONA

    Upeo wa viongozi wa Afrika ni mdogo sana wamejitenga na Madaktari wamejitenga na naturalists, unaambiwa asilimia karibia 100 ya wanaokufa na ugonjwa huu ni wazee kuanzia miaka 70+ kwa huku Afrika ni wachache mnoo almost negligible. Unaambia mazingira ya kijiografia kiuchumi hayaruhusu viongozi...
  10. Tetesi: Jipangeni kisaikolojia corona ilitabiriwa muda mrefu | itafanya uharibifu mkubwa sana kwenye uchumi wa dunia

    UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma. Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa Ngoja nione ni wangapi wataisoma🤔 Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe...
  11. K

    Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

    Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete. Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo...
  12. Kirusi cha Corona ni Kirusi kwa Uchumi pia

    Kirusi cha Corona, sio tu ni kirusi kinachoathiri watu kiafya pekee, bali kiuchumi pia. Na kuna uwezekano mkubwa wa uchumi kubadilika kwa kipindi hiki. Had sasa kirusi hiki kimeshaathiri burudani, usafiri na utalii kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ni shughuli hizo zimepata zuio la wazi. Mambo mengine...
  13. J

    Wazanzibari wahakikishiwa uwepo wa akiba ya kutosha ya chakula, Waziri Hamad aitaka BOT na WB kusaidia uchumi

    Waziri Amina wa SMZ amesema Zanzibar ina akiba ya kutosha ya chakula ukiwemo mchele na sukari na kwamba hata sasa kuna meli yenye tani 600 za mchele bandarini na ameelekeza mchele huo utolewe haraka. Hivyo amewataka wananchi kutokuwa na hofu ya upungufu wa chakula katika kipindi hiki cha...
  14. Rwanda yachukua hatua kuokoa uchumi

  15. S

    Tanzania ina mambo ya ajabu sana; Uhamiaji inanyima watu wanaotusaidia uchumi work permits, wanapofunga ofisi na kuaga Serikali inawaomba wasiondoke!

    Niliwahi kusema humu JF kwamba Tanzania ina mambo ya ajabu sana kuhusiana na utoaji wa work na residence permits hata kwa watu ambao ni wawekezaji, japo kila siku tunapiga kelele eti kuvutia wawekezaji. Wawekezaji wanapokuja wanapata shida sana kupewa work au residence permits. Kuna wawekezaji...
  16. B

    Rais Magufuli amkaanga vikali Waziri Kamwelwe, atishia kumuweka ndani kwa Uhujumu Uchumi

    March 16, 2020 Kilosa, Morogoro Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli akiwa wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro akifanya ukaguzi wa daraja muhimu kwa taifa la Kiyegeya lililobomoka Machi 2, 2020 kufuatia mvua nyingi alionesha kutoridhishwa na utendaji wa safu za wateule wake hasa Waziri wa...
  17. Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi

    Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika Mashariki. Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa...
  18. Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  19. Tufanye yafuatayo ili kuvuna matunda ya Uchumi wa Kidijitali

    Inafahamika wazi namna gani teknolojia imesaidia nchi nyingi kuendelea kiuchumi. Hii inadhihirika wazi pia kwa nchi za Afrika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matumizi ya simu za mkononi na mtandao wa intaneti vimesaidia kukuza fursa nyingi za biashara na mamilioni ya watu. Sasa...
  20. J

    DPP: Zaidi ya watuhumiwa 300 wa Uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru

    Mkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru. DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…