uchumi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Treni za kizamani zina umuhimu sana bado kwenye uchumi

    Nilienda likizo TZ kutoka hapa Dallas, Texas ninapoishi na kufanya kazi. Watu wengi walikuwa wananiambia tuna reli kama huko kwenu inakuja. Kitu ambacho hawajui Reli nyingi hapa sio za abiria ni za kiuchumi na zinabeba mizigo na mafuta kutoka sehemu mbalimbali kuja Texas kwa usafishaji wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania LHRC: Ripoti ya utafiti wa Sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai na Uhujumu Uchumi

    06 September 2021 Morogoro, Tanzania LHRC YAWASILISHA RIPOTI YA UTAFITI WA SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI, YALIA WASHIRIKI kutoka taasisi za Serikali, viongozi, wahadhiri vyuo vikuu UDSM na UDOM, Asasi za Kiraia, walimu wa vyuo vikuu pamoja na waandishi wa habari...
  3. JamiiForums Tanzania Tusimuachie Rais Samia jukumu la kuinua uchumi wa nchi, tushirikiane..

    Wadau wa Biashara na Uchumi, Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili kiongozi wa nchi pekee. Sisi tumeamua kuangalia upande wa sekta yetu ya usafirishaji. Tumeona namna...
  4. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kisheria watolewa kufuatia kujiondoa kwa Jaji Elinaza Luvanda kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi wa Freeman Mbowe na wenzake..

    Kufuatia kujitoa kwa Jaji Elinaza Luvanda anayesikiliza shauri linalowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake watatu katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi iliyoko mahakamu kuu DSM, baada ya mshitakiwa namba 3 Freeman Mbowe kuonesha "kutokuwa na imani" naye, wengi...
  5. JamiiForums Tanzania The royal tour kupaisha utalii na uchumi wetu wa Tanzania

    THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour kuonyesha vivutio vyetu vya utalii,utamaduni wetu pamoja na vivutio vya Uchumi katika Taifa letu...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba usiwaadhibu wananchi wa kawaida kwa tozo lukuki, tueleze hali ya uchumi wa nchi ikoje?

    Kwa kifupi serikali ya sasa imerudisha mambo yote yasofaa ambayo mwenzao hayati Magufuli aliyaongelea kuwa ndiyo yalorudisha nyuma nchi hii. Kwa utafiti mdogo ambao mtu yeyote aweza kuufanya hadi sasa ni kwamba; 1. Wafanyabiashara wote wakubwa na walipa kodi wakubwa wote wamesamehewa kulipa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri: Kupunguza miaka ambayo Wanafunzi hutumia katika masomo ili kukuza Uchumi

    Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia katika masomo. Kwa mwanafunzi kufikia chuo kikuu mwaka wa tatu itakuwa imemchukua zaidi ya miaka 15...
  8. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
  9. JamiiForums Tanzania Uhaba wa madereva wa Malori unatishia uchumi wa Uingereza

    Source BBC14, July 2021 Uingereza inakabiliwa na uhaba wa madereva wa malori, upungufu uliopo ambao unahitaji kuzibwa haraka ni maderava 100,000. Athari zilizotokea mpaka sasa ni Nandos kufunga baadhi ya migahawa yake wa kukosa malighafi. Mc Donald kuacha kuuza milk shake kwa kukosa supply...
  10. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Gereza ni Shule ya Uchumi

    GEREZA NI SHULE YA UCHUMI Gereza ni sehemu au makazi ambapo wakosefu wa sheria za nchi Fulani wamekua wakiishi kwa ulinzi na uangalizi mkali. Inafahamika kua gereza ni sehemu ya kuadhibu watu ambao wamekiuka maadili yaliyowekwa na jamii ya watu Fulani au nchi Fulani. Katika Maisha ya kawaida...
  11. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

    Aliye Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo kuendelea na kesi ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita. Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi inayo mkabili na wenzake Sita.
  12. JamiiForums Tanzania Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

    Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310. Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ethiopia yalaumiwa kwa hali mbaya ya Tigray

    Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama kuchukulia hatua dhidi ya Waziri Mkuu kumeongeza tatizo Wamesema Mfumo wa Huduma za Afya umeharibiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi Agosti 2021

    Wakuu tushtuane kale ka meseji kakiingia au mkiona msongamano usio wa kawaida kwenye ATM. Wasiohusika kaeni pembeni
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

    Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70. Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

    Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashauriwe vyema uchumi unakufa

    Huwezi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kuongeza kodi (tozo). Unapoweka kodi kubwa unaua uchumi. Uchumi unapokufa huwezi kupata hiyo kodi. Shughuli za kiuchumi zinaposhuka kuna watu hawataweza kuajiriwa katika maisha yao yote. Watu watamaliza vyuo lakini hawatapata fursa ya kuajiriwa katika...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Lusubilo Mwakabibi pamoja na kushitakiwa kwa uhujumu uchumi lakini ameachiwa kwa dhamana?

    Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania, kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana. Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za...
  19. JamiiForums Tanzania Yaani hizo Tozo zinazochukuliwa haziwezi kuchochea ukuaji wa uchumi

    Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government.
  20. JamiiForums Tanzania Je Tanzania bado iko uchumi wa kati wa chini au imeshapanda zaidi kiuchumi?

    Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata. Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…