uchumi

  1. World light

    JamiiForums Tanzania Shaka: Falsafa ya Uchumi kuongoza Uchumi yathibitishwa TANZANIA ndani ya siku 558 za Rais Samia

    SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya ya uhujumu uchumi yaahirishwa kwa mara ya 10 leo Oktoba 10, 2022

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa kwa mara ya 10, leo Oktoba 10, huku Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Kassim Nassir akiileza mahakama hiyo kuwa upelelezi wake utakamilika ndani ya siku 90. Sabaya na wenzake...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Uchumi na vijana wa sasa

    Kwa sasa watu wengi ambao walishakuwa katika hali nzuri ya kiuchumi wanawataka vijana waweze kujiajiri, kiukweli ni sahihi kulingana na hali ilivyo lakini tatizo kubwa linalowakabili vijana ni mitaji na ubunifu sahihi wa biashara katika mazingira husika.
  4. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Tanzania ili tuendelee tujiunge na Marekani

    CountCapone Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani 1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika 1885-1919 Deutsch-Ostafrika (Afrika Mashariki ya Ujerumani 1919-1960 British East Africa Protectorate...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika mapinduzi kidijitali na diplomasia ya uchumi

    Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua fursa za uwekezaji katika mawanda ya kidijiti. Mwishoni mwa Mwezi ujao (OKTOBA) wafanyabiashara na...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RIPOTI: Uchumi wa Afrika Mashariki utashuka kwa sababu za Kisiasa na Ukame

    Ripoti mpya kuhusu Mtazamo wa Uchumi wa Afrika Mashariki, iliyotolewa na Deloitte imesema Ukuaji wa Uchumi utashuka hadi 5.3% ikilinganishwa na 6.4% ya mwaka 2021 ambayo ni ongezeko la 3.1% kutoka mwaka 2020. Utafiti huo uliohusisha nchi za Kenya, Ethiopia, Tanzania, Uganda na Rwanda umetaja...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wapaa, wachumi wamsifu Rais Samia

    Uchumi wa Tanzania Bara umekua kwa 5.4% ikilinganishwa na makadirio ya 4.7% katika robo ya kwanza ya mwaka huu huku Zanzibar ukikua kwa 5.1% ikilinganishwa na makadirio ya 5.4%. Wachumi waipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu huku wakisema ukuaji huo ni dalili njema inayodhihirisha kuwa nchi...
  8. idoyo

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    .
  9. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania uko inclusive ukilinganisha na majirani zetu

    Nyerere mim simkubali kwenye mambo kadhaa Ila kwenye swala la ardhi nampongeza sana alicheza kama pele Tanzania hata maskin wa kutupwa unauwezo wa kumiliki ardhi hiki kitu huwezi kukikuta kenya Jiji kama Nairobi upper middle class kumiliki ardhi ni ishu sana lakin Hali ni tofauti sana Kwa Dar...
  10. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania TanTrade yajipanga zaidi maonyesho yajayo

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Twilumba Mlelwa Amesema kuwa, maonyesho ya 46 ya Jukwaa la kimataifa la biashara Dar es Salaam DITF yalikuwa na mafanikio makubwa sana ikiwa na ongezeko la washiriki na watembeleaji ambapo jumla ya kampuni 3200 za...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la kiwango cha riba nchini Marekani laathiri uchumi wa Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na janga la UVIKO-19, Marekani ilichapisha dola nyingi ili kuchochea uchumi. Lakini kuanzia mwaka huu, Marekani imegeuza sera ya kifedha na kuongeza viwango vya riba ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kitendo hicho kimekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mfumuko...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mabati ya uchumi wa kati yenye kiwango

    Habari wadau....Naomba uzoefu na ushauri kuhusu mabati ya Uchumi wa kati kwa kampuni za Alaf, Sunshare na Dragon
  13. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Afrika kila Rais akiingia madarakani anasema amekuta hali ya uchumi ni mbaya. Je, ni lini uchumi wetu utaimarika?

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu. Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yasiyokuwa na tija, yanapukutisha uchumi

    Mahusiano mengi yamekuwa ndio chanzo, cha kuwafanya wanaume wengi kuendelea kuwa masikini. Wanaume wanakuwa wanaingia gharama kubwa, ili kuweza kumridhisha mwanamke, iwe kumjengea nyumba, kumnunulia usafiri mkali, au kuhonga chochote kile, ili mradi aweze kukubalika kwa mwanamke. Mara...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Tuzungumzie Suala la Uchumi

    Marekani wana taasisi mbili ambazo naamini zingetusaidia sana kama tungeziiga. Ya kwanza ni ya National Economic Council ambayo kazi yake ni kumshauri rais wao kuhusu uchumi wa nchi yao na muelekeo wa uchumi wa dunia. Ofisi hii ni ya wachumi waliobobea. Ya pili ni Congressional Budget Office...
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Upinzani utaanzaje kujipanga kwa uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na hatimae uchaguzi mkuu wa uraisi wa 2025 ndani ya mazingira magumu?

    Lengo la mada hii ni kuona wale wapenda demokrasia na siasa za kweli wakijongea hapa na kushusha nondo na madini mbalimbali katika kufanya kitu chitwa "brain storming". Katika muktadha huo basi, tutaweza kuangalia sera za chama cha CCM ambacho ndicho chaongoza serikali ya Tanzania kwa sasa na...
  17. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Mila potofu hazina nafasi katika ukuaji wa uchumi

    Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umesema kuwa mila potofu hazina nafasi katika uchumi endelevu. Akiendesha program kwa wadau mbalimbali waliofika kuchangia jana Dar es Salaam mmoja wa wawezeshaji wa mada Jane Msigita amesema uchumi jumuishi wa kaya baadhi ya wanawake wanaweza kuwa hawajui kile...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Zimwi la Teknolojia linavyoitafuna Tanzania

    Imeandikwa na Ras Zimba Kwa mujibu wa tovuti ya egscholars.com kupitia andiko lililotolewa tar 16/3/2022 linaonyesha nchi kumi zilizoendelea barani Afrika hasa katika upande wa teknolojia kwa mwaka huu nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Afrika Kusini huku nafasi ya nne ikishikiliwa na Kenya na ya...
  19. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sekta ya Kilimo Tanzania katika uchumi kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi

    SEKTA YA KILiMO TANZANI KATIKA KUKUZA UCHUMI. Kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi, pia biashara ambayo ilihusisha mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa ambapo asilimia kubwa ya bidhaa hizo zilihusiana na kilimo mfano majembe na mapanga, ambayo...
  20. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukusanywaji wa tozo na mchango wake kwenye Uchumi wa Taifa

    Uhai wa serikali yoyote unategemea mapato inayoyakusanya ili kuendesha mipango yake katika nchi. Na nguzo kuu ya mapato hayo huwa ni wananchi waliyoipatia dhamana serikali hiyo hasa kwa njia ya kodi. Lakini nakumbuka kanuni za ukusanyaji wa mapato kwa njia ya kodi zilizotolewa na mwanafalisafa...
Back
Top Bottom