uchumi

  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu + Teknolojia = Uchumi

    Kwanza, salaam kwako msomaji wa andiko hili, lakini pili sifa nyingi na utukufu kwake Allah mwenye enzi hakika ni kwa neema yake pekee mimi na wewe tu wazima wa afya njema. Kwa kuanza niseme kidogo ni kwanini nimechagua kichwa cha andiko iwe ni Elimu ongeza Teknolojia ni sawa na Uchumi ama kwa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Tulikuwa na uchumi wa Malima-Malimanomics. Sasa tun a uchumi wa Mwigulu -Tozonomics

    Kwa wale ambao hawajawahi kusikia uchumi wa Profesa Kighoma Ali Malima alipokuwa waziri wa fedha, mpango wake wa uchumi uliitwa Malimanomics. Inavyoonekana sasa tuna aina mpya ya uchumi unlioletwa na Mwigulu Nchemba Tozonomics. Kwa ujumla wanasiasa hawa wawili wanafanana kwa kulewa sifa za...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  4. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi wa Gesi Asilia Umnufaishe kila Mwananchi

    Gesi Asilia ni nini? Kwa mujibu wa tovuti ya “renovablesverdes”, Gesi asilia ni mafuta ambayo, kama makaa ya mawe au mafuta ya petroli, huundwa na hidrokaboni, mchanganyiko wa molekuli zinazoundwa na atomi za kaboni na hidrojeni. Utafiti wa kisasa wa kijiolojia umewezesha kugundua na kutumia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini Tanzania ina rasilimali nyingi lakini uchumi wake sio imara?

    Tanzania ni moja ya nchi zilizopo mashariki mwa bara la Africa. Na ndani yake huishi Watanzania na asilimia ndogo ya watu kutoka nchi zingine duniani. Tanzania sasa angalau haipo katika nchi maskini duniani, sasa ni nchi ya uchumi wa kati. Nchi hii imebarikiwa sana, ina rasilimali nyingi ambazo...
  6. John120

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mwigulu Nchemba ana PhD ya Uchumi?

    Ni kwa maoni yangu binafsi siamini kama rais wa mawe ana Phd ya uchumi,na hii imedhihirika wazi kabisa jinsi anavyoendesha wizara hii na yeye akiwa ndio mwenye dhamana. Amekuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiri kuhusu kuongeza njia za kukusanya mapato , Ni waziri mzigo ambaye analididimiza taifa...
  7. Alley67

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tabia zetu hutufanya tuwe tulivyo kiuchumi

    Saikolojia inasema ukifanya kitu kila siku kwa siku 21 kitu hicho hugeuka na kuwa tabia, hivi Ulishawahi kujiuliza kwanin nafanya kitu au biashara kama anavyofanya mwingine lakini sifanikiwi, au mbona mimi lakini sio fulani kiufupi binadamu tumeumbwa kujifananisha na kujilinganisha na wengine...
  8. Ghalib01

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi

    Mimi nitauzungumzia UCHUMI kimaana nina Uhusiano nao, pia katika hili kuna SAYANSI na ELIMU ndani yake. Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kuuzungumzia UCHUMI lakini kabla ya kwenda kwenye UCHUMI kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa DUNIA ama MWANZO wa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hali ya Uchumi imefanya niteue majaji 22 badala ya 40

    Rais Samia amesema ilibidi ateue majaji 42 lakini kutokana na hali ya uchumi amelazimika kuteua majaji 22 wa kuanzia. Amesema hali itakapokaa vizuri atateua zaidi kwa kadiri ya uhitaji. Ameyasema hayo katika hafla ya kuapisha majaji iliyofanyika Ikulu leo, Agosti 29, 2022.
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Urusi haujatetereka kama mataifa ya Magharibi na baadhi ya wadau walivyotabiri

    When President Vladimir Putin's forces invaded Ukraine in late February, many Wall Street analysts rushed to predict Russia's economic downfall. Six months later, they've been forced to revise those forecasts. Those dire warnings looked set to become reality in the weeks after war broke out...
  11. Bahati mahimbo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maskati, tuimarishe uchumi wetu kwa kilimo cha kisasa

    Maskati ni Kata inayopatikana upande wa Kaskazini Mashariki Mwa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Wakazi wa Kata hii kwa kiasi kikubwa huishi kwa kutegemea shughuli za Kilimo hasahasa kilimo Cha Mahindi na Maharage. Mazao mengine kama vile Ndizi, Mihogo, Kahawa, viazi, Njegere,nk. ingawa...
  12. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tufanye kazi, nyakati zinabadilika, uchumi wako unategemea utendaji kazi wako

    Salaam kwenu wapenda maendeleo. Najua Kuna wakati tunawachosha kwa makala nyingi za mfululizo , tusichoke kushiriki Hanna kwasababu kupitia platform hii, Kuna watu wanabadili mitazamo. Kuna wengine tunaandika siyo tu kwaajili ya shindano la story of change, No, wengine tunaitumia platform hii...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi huko Somaliland uchumi wao ukoje

    Nilikuwa huko mjini Twitter nikakutana na hizi picha kutoka kwa ndugu zetu wa pembe ya Afrika. Nimestaajabishwa na hayo mapesa. Je shida ni sarafu kukosa nguvu au shida ni gani wadau?.
  14. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi wa Tanzania 2022

    Uchumi unaweza kuelezwa kwa namna mbalimbali. Uchumi ni jumla au mjumuisho wa shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji katika nyanja zote za maisha ya jamii au taifa husika. Uchumi ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo pamoja na kutolewa kwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baada ya kulilia simu

    Bado naukumbuka usiku ule vizuri, nilikuwa nimekaa nikifunikwa na giza nene wakati mshumaa mwembamba ukimulika mwanga mdogo. Muda huo nilijaribu kumaliza chakula kilichopo kwenye sahani yangu nikiomba kimoyomoyo umeme urudi. Akili yangu ikachangamka na nikawatazama baba na mama waliopo mbele...
  16. 1

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko makubwa katika Sayansi na Teknologia yanayofanyika katika nchi zenye uchumi imara yana maana gani kwetu? Ni ipi dira yetu?

    Nchi zenye uchumi mkubwa duniani kama Marekani na China zinapiga hatua kubwa katika Nyanja mbalimbali za teknologia wakati sisi Tanzania(Africa kwa ujumla ) tukiwa bado tuko nyuma. Mifano mizuri tumekuwa tukiona mapinduzi yanayozidi kufanywa katika utengenezaji wa magari, kampuni moja ya hukou...
  17. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi kilimo kilivyobadili maisha yangu

    Guzman ni miongoni mwa vijana wachache wenye umri wa miaka 30 ambaye amefanikiwa sana kimaisha, haikuwa rahisi kwake kijana huyu aliyeanza mapambano ya kimaisha akiwa na umri wa miaka 23 kufanikiwa kama ilivyo rahisi kuandika simulizi hii, ilikuwa ni safari ngumu sana kwa kijana huyu msomi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wataja uchumi kuwa ni tatizo kubwa zaidi linalosumbua kaya zao

    Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa TWAWEZA wakati wa uzinduzi wa utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, Agosti 25, 2022. Matatizo makubwa matatu yaliyotajwa kuwasumbua zaidi wananchi kwenye kaya zao yote ni matatizo ya kiuchumi. Kati ya hayo, tatizo kubwa zaidi ni kupanda kwa bei za bidhaa na...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Dhana ya ukuaji wa uchumi

    Utangulizi. Kwa maisha ya kawaida tunapozungumzia Uchumi ni shighuli zote za binadamu zinazolenga kutekeleza mahitaji ya binadamu ya Kila siku. Dictionary ya Economist's imefafanua Uchumi kama " Utafiti wa uzalishaji,usambazaji, na matumizi ya utajiri katika jamii ya wanadamu. Hivyo basi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakumbukwa kwa kujenga uchumi unaowagusa Watanzania

    Ndugu zangu, wanasema uchumi mzuri ni ule unao gusa maisha ya watu wengi. Ukimfuatilia vizuri Mh. Rais wetu utagundua kuwa anajenga uchumi wenye kumgusa kila Mtanzania. Kwanza Mh. Rais ametambua kuwa kilimo ndio sekta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti. Hivyo juhudi zozote...
Back
Top Bottom