uchumi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Rais Samia anafanya kazi kubwa ya kurekebisha Uchumi ndio sababu tunaipitia hii hali ngumu ya maisha lakini kwa muda mfupi

    Mzee Sumaye amesema hata yeye na mzee Mkapa waliipokea nchi ikiwa katika bali ngumu sana ya kiuchumi mwaka 1995 kama ambavyo Rais Samia ameipokea. Sumaye amesema walipoanza kurekebisha Uchumi maisha yakawa magumu zaidi kiasi cha Rais Mkapa kuitwa Ukapa lakini baada ya Muda mfupi maisha...
  2. Mnyanyembe wa Mboka

    JamiiForums Tanzania TRA, E-filing System inarudisha nyuma kasi ya uchumi wa Biashara

    Straight to the point, mfumo wa taarifa za marejesho (e-filing System) unarudisha nyuma kasi ya maendeleo ya uchumi na kuikosesha serekali mapato kwa wakati. Mfumo huo umezidiwa nguvu na umekua kero kubwa inayorudisha nyuma maendeleo ya uchumi wa biashara hasa kwa wafanyabiashara wadogo...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Uingereza waanza kujilaumu na kushuku kuwa BREXIT ndio mwanzo wa mdororo wa uchumi wake

    Waziri wa Fedha Uingereza, Chancellor Jeremy Hunt, ameanza kukubali kile waingereza wengi walikuwa wakishuku lakini moyoni wakikikataa, kuwa kujiondoa Umoja wa Ulaya unawapiga kiuchumi kwa sana. Waziri wa Fedha Uingereza sasa amekaririwa akikubali kuwa kati ya nchi zenye uchumi imara Ulaya...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa pisi nyingi kuliko mwenye gari

    Hapa nazungumzia wenye uchumi wa kawaida, tuachane na mapedeshee ambao hata wakikosa kuni za kuotea moto wanaweza kuchoma vibunda vya pesa, ligi nyingine hizo, kwao neno mizinga ni matunzo. Yes mapenzi ya sasa ni pesa lakini lazima tujue hiyo pesa inatumikaje katika mapenzi kwa sababu kukosea...
  5. Jelamashele

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali wakomunist wetu wajipambanue tuu. Kuwa hawana Mungu anayeabudiwa na dini

    Hivi wakomunist uchwara wanafahamu Karl Marx hakutaka Mungu. Na alichoanza kupambana nacho ni dini. Ndio maana akasema dini ni KILEVI CHA UBONGO. Ukomunist ni mifumo haitaji Mungu. Kwa hiyo mkomunist hawezi kutuambia kuwa ana dini au anaamini Mungu. Kuna dhana ya kuwa serikali haina dini ila...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais ndiye anajua kwa usahihi miradi itaisha lini na kiwango cha uchumi wa taifa letu

    Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia.
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Sababu ya pekee Tanzania kufika uchumi wa Kati hii hapa

    Sina maneno mengi, kiufupi hatupaswi kulemba mwandiko Wala kuoneana aibu. Tuache ushikaji Katika KAZI. Tusimamie rasilalimali zetu na mikopo tunayopewa ipasavyo. Enzi zile nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe, pamoja na janga la corona Lakini tulitoboa. Kwa sasa ni tofauti nyeusi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Profesa Muhongo kusema hatupo tena uchumi wa kati na Waziri Mwigulu kupinga huku Rais akikubali ni ishara kiimani na kisiasa

    Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading) Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya...
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

    Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?! Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati. NB: Teknolojia.
  10. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kusafiri kwa lengo la kuimarisha uchumi wa Tanzania ni moja ya Kazi ngumu anayofanya Rais Samia

    Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kitila ampinga Muhongo kuhusu Tanzania kushuka Uchumi wa Kati

    Mbunge wa Ubungo (CCM), Profesa Kitila Mkumbo ameitaka Serikali kutolea ufafanuzi kuhusu Tanzania iko katika daraja gani la uchumi duniani ili kuondoa sintofahamu iliyopo. Akichangia jana kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo pamoja na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei nchini Marekani waathiri vibaya uchumi wa Afrika

    Ili kutatua changamoto ya mfumuko wa bei nchini Marekani, Benki Kuu ya nchi hiyo inayofahamika kama “Federal Reserve” imeongeza viwango vya riba mara sita tangu mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo madhara yake kwa nje yameathiri vibaya uchumi wa nchi zinazoendelea hasa za Afrika, na gharama za maisha...
  13. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchumi wa Tozo sasa wananchi UKEREWE waanza kutozwa kodi ya mifugo tena

    Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli mitaani. Taarifa niliyorushiwa, kuna zoezi la kodi ya mifugo inaendelea wilayani Ukerewe. Mbuzi na...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyotumia CCM kujiimarisha ingetumika nusu yake tu kuimarisha uchumi wa nchi tungekuwa mbali sana kiuchumi kama taifa

    Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu. Hata hivyo makusudi makubwa ya chama chochote duniani ni kwa ajili ya kushinda uchaguzi ili kuunda serikali na kushika dola. Lengo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania World Bank Vice President for E& S Africa anatumia vigezo gani kusema Tanzania imefanya "miracles" uchumi wake ni imara despite Ukraine

    Nimeona akisema kuwa Tanzania imefanya vizuri katika uchumi wake, eti tanzania imeshinda mfumko wa bei. Nimepigwa na butwaa. Mwigulu alikuwa anachekela as if ameuweza uchumi wa Tanzania kuwa first class wakati anawaibia watu , wizi kabisa wa fedha za watu kwa tozo! Ujambazi wa Tozo, eti ameweza...
  16. tofyo

    JamiiForums Tanzania Demokrasia vs Uchumi

    Kunatofauti kubwa Kati ya Demokrasia na Uchumi, na nivitu ambavyo haviendi Pamoja, lakini vilevile Ikiwa kimoja kitainuka lazima kingine kianguke. Demokrasia katika ulingo wa kisiasa kwa upana wake haishii kwenye kuchagua na kuchaguliwa, Bali inaenda Mpaka kwenye uwajibikaji wake, Yakwamba...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Geita kuwa kitovu cha uchumi Afrika Mashariki

    Geita. Serikali imelenga kuufanya mkoa wa Geita kuwa kitovu cha uchumi ndani ya Taifa na ukanda wa Afrika Mashariki na kuwataka wananchi kutumia fursa hiyo hasa kwenye uwekezaji wa mwambao wa Ziwa Victoria ili kufanya mkoa huo kuwa lango la biashara. Akizungumza na wananchi wa mkoa huo kwenye...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

    Tunaomba taarifa TANESCO , nini kinaendelea =========================== Inaumiza sana
  19. Kisalilo

    JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wakijiweza kidogo tu kiuchumi wakalingana na wanaume wanakuwa na dharau?

    Habari za saivi ndugu zangu. Dhumuni la kuleta hii mada hapa ni ili kupata msaada wa kimawazo kuhusu binti mmoja tuliodumu kwenye mahusiano kwa miaka minne. Kipindi tunaanza tulikuwa tukipendana, tulikuwa mkoa mmoja naye mkoa mwingine ila kila akitaka fanya jambo lazima anishirikishe. Akawa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti IMF: Uchumi wa dunia utashuka hadi 3.2% mwaka 2022 na 2.7% 2023

    Uchumi wa dunia unaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa, zikichangiwa na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, mzozo wa gharama za maisha unaosababishwa na shinikizo la kuendelea na linalozidi kupanuka la mfumuko wa bei, na kushuka kwa kasi nchini China. Utabiri uliofanywa na Shirika la Fedha la...
Back
Top Bottom