Ndugu zangu nimeona nami nianzishe huu uzi ili tusaidiane kuwaza na kusafiri pamoja.
Hoja yangu inaanzia kwenye hili jambo la Bandari na huu uwekezaji wenye utata.
Mosi: nadhani kama kuna watu wa kubeba lawama ni wale waliyopewa dhamana ya kuongoza serikali kwa kushindwa kusimama kwenye nafasi...
MTANZANIA MWENZENU YAMENIKUTA...
Kuna likampuni la marekani lilinidanganya niwekeze. Halafu faida inayopatikana litanitumia asilimia kumi ya faida. Kweli faida limenirushia
lakini kwa njia ya sarafu za digital. (Cryptocurrency).
Nimepata $2,332. Nifanyeje ili niweze kuibadili iwe...
MKATABA WA BANDARI NA DP WORLD: ATHARI ZA KIMKATABA KWA UCHUMI WA TANZANIA NA UWAJIBIKAJI WA SERIKALI KWA WANANCHI WAKE - JE, NI FAIDA AU HASARA?
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
A. Muktadha wa mkataba wa Bandari na DP World
Mkataba wa Bandari na DP World ni makubaliano yaliyofikiwa kati ya...
Waziri Mkuu Musalia Mudavadi anasema kwa sasa nchi haiwezi kutatua hali ngumu ya kiuchumi iliyopo katika kipindi kifupi ambacho serikali ya Kenya Kwanza ilikuwa imepanga wakati inachukua madaraka.
Akizungumza Ijumaa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa ujasiriamali uliofanyika katika kanisa la ACK...
Kila mtu katika ardhi ana uwezo wake wa kutoa msaada. Msaada unatofautiana kulingana na mtu hadi mtu na uwezo wa kutoa msaada huo. Kuna mafanikio makubwa sana yaliyojificha katika kutoa msaada. Unaweza kujiuliza kwa nini walio wengi hutoa msaada? Kwa nini imeandikwa katika maandiko matakatifu...
Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma.
Moja ya mkoa huo ni Shinyanga.
Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%.
Kinachoshangaza ni...
Eliud Jones Kijalo aliyekuwa Mhasibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Utalii ambaye amefunguliwa mashtaka hayo pamoja na mengine ya Kughushi, Matumizi Mabaya ya Mamlaka, Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha ulioisababishia hasara ya Tsh. Bilioni 4.03.
Mahakama imeelezwa kuwa kati ya Julai Mosi, 2016 na Julai...
Katibu Mkuu Wizara ya UItamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi hatua inayosaidia kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ambayo ndio msingi wa...
Ni muhimu kwa Tanzania kuendelea kufanya marekebisho ya sera na sheria zake za usimamizi wa rasilimali ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika matumizi ya rasilimali za umma. Katika usimamizi mzuri wa rasilimali serikali unatakiwa kufanya yafuatayo.
Serikali inapaswa kuweka mifumo...
Rais #BolaTinubu amechukua uamuzi huo dhidi ya Abdulrasheed Bawa ili kuruhusu uchunguzi kuhusu kashfa za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi zinazomkabili zifanyiwe kazi na mamlaka zilizoteuliwa.
Ingawa ni kawaida kwa #Nigeria kumuondoa kwa muda Kiongozi wa Tume hiyo kila utawala mpya...
Hivi karibuni, “kuondoa hatari” kumechukua nafasi ya “kutenganisha” kama neno jipya linalotumiwa zaidi na wanasiasa wa Marekani kuhusu China. Mkutano wa kilele wa Kundi la Nchi 7 (G7) uliofanyika mwezi uliopita ulitoa taarifa ikisema kuwa, nchi hizo 7 zinazoongozwa na Marekani zitajitahidi...
Kuleta utawala bora katika nyanja ya uchumi wa Tanzania ni muhimu kwa maendeleo endelevu na ustawi wa nchi. Utawala bora unahusisha uwajibikaji, uwazi, ushiriki wa wananchi, utawala wa sheria, na kupambana na ufisadi. Hapa chini ni orodha ya hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa ili kufanikisha...
Katika mkutano wake na vyombo vya habari uliofanyika leo, Dkt. Slaa ameongea kiuzalendo na kuonyesha ubaya wa miataba tuliokuwa nao, lakini cha ajabu vyombo vya habari nchini kinyume na maadili ya umma vimepotosha kwa makusudi kauli na mantiki na dhima ya alichokizungumza.
Ili kuwachanganya...
bandari
bandari ya dar es salaam
ccm
chadema
dp world
dr silaa
dr silaa na bandari
siasa
uchumi
upotoshaji siasa
upotoshaji vyombo vya habari
vyombo vya habari
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kukuza maendeleo ya nchi yoyote. Katika Tanzania, kama nchi nyingine, sekta muhimu kama biashara, viwanda na usafirishaji,na sekta ya kilimo na madini zinahitaji utawala bora na uwajibikaji ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu. Kwa...
Benki Kuu ya Russia imekiri hali ya uchumi wa nchi hiyo kuwa mbaya.
===
Russia's central bank sounded alarms on the economy Friday as the falling ruble and a record labor shortage add inflationary pressures.
Policymakers kept the benchmark interest rate steady at 7.5%, where it has been since...
Fursa za uwekezaji
Teknolojia ya mbao na bidhaa zisizo za mbao zinatupa fursa nyingi za uwekezaji kama Taifa. Mianzi nchini kwetu ni kitu cha kawaida lakini ni malighafi inayotumika kuongeza minyororo wa thamani wa bidhaa za mbao na kukuza uchumi kwenye mataifa yaliyoendelea kama china...
Uchumi wa nchi yetu utegemee zaidi kilimo kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania basi sekta hii ipewe bajeti nzuri kwa ajili ya wakulima (mikopo) na kupunguza garama za pembejeo mfano mbolea za viwandani, viuwa tilifu, mashine za shambani pamoja na kupunguza garama za uwekaji mazao kwenye...
Hili jambo nilishuhudia nchi moja Ulaya na matukio hayo baadhi ya nchi Afrika yamekuwapo. Wananchi wamekuchagua (au wamewekewa) mwakilishi wao kuwasemea Bungeni, lakini badala ya kutimiza wajibu wako kwa waliokutuma unaenda kutumika kupitisha vitu ambavyo unajua kwa uwazi kabisa watu hawataki...
Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi.
Nyerere kwa uelewa wake akataifisha vitega uchumi hivi na kuvifanya mali ya Serikali.
Uchumi wa Tanzania ukayumba sana, viwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.