Kauli ya kuusema uchumi wa China unaporomoka, ni kauli zinazofilisika

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,036
VCG111453582011.jpg

Siku hizi, vyombo vya habari vya Magharibi vimejitokeza pamoja kuusema vibaya uchumi wa China, na kwamba hata rais Joe Biden wa Marekani alikuja mwenyewe, akisema kuwa China inakabiliwa na matatizo ya kiuchumi na hata akadokeza kuwa uchumi wa China utaporomoka. Lakini ukweli ni kwamba: uchumi wa China ulikua kwa 6.3% katika robo ya pili ya mwaka huu, ambayo ilishuhudia kiwango cha juu zaidi kwa robo katika miaka miwili iliyopita, wakati kiwango hicho kwa Marekani kilikuwa ni 2.4%. Lakini, katika ripoti ya Reuters, ukuaji wa 6.3% ulitajwa kuwa"ukuaji dhaifu", wakati ukuaji wa 2.4% umekuwa "ahueni ya nguvu". Swali la hesabu kama hilo ambalo hata wanafunzi wa shule za msingi wanaweza kulifanya kwa usahihi, lilipata jibu la kipuuzi kwenye mdomo wa kiongozi na ya vyombo vya habari vya nchi za Magharibi.

Hali halisi ni kuwa siku zote kuna kauli za kuusema vibaya uchumi wa China, ambazo zote zimethibitishwa kuwa makosa. Sio kwamba nchi za Magharibi hazielewi mambo ya uchumi, lakini zina nia mbaya. Kila zinapodhalilisha uchumi wa China, ina maana kuwa zinatekeleza mkakati mpya kuhusu China. Safari hii, kudhalilisha uchumi wa China kwa upande mmoja, kunalenga kugeuza ufuatiliaji wa Jumuiya ya Kimataifa juu ya shida zao za kiuchumi; kwa upande mwingine, zinajaribu kupotosha dunia nzima ili kutikisa imani kwa uchumi wa China, na kuielezea China kama "chanzo cha hatari" kwa uchumi wa dunia, kukuza mali na minyororo ya uzalishaji wa kiviwanda zimehamishwa kutoka China, ili kuratibu mkakati wa kisiasa wa nchi za magharibi kuikandamiza China. Hata hivyo, ingawa nchi hizo zilisema hapana midomoni, matendo yake yalikuwa tofauti. Takwimu zinaonyesha kuwa katika nusu ya kwanza ya 2023, uwekezaji nchini China kutoka Ufaransa, Uingereza, Japan na Ujerumani uliongezeka kwa 173.3%, 135.3%, 53% na 14.2% mtawalia. Ni wazi kwamba China inaendelea kuwa nchi muhimu inayovutia uwekezaji duniani.

Mtazamo wa kweli wa nchi za Magharibi kuhusu uchumi wa China pia unaweza kufichuliwa kutokana na matamshi yasiyolingana yaliyotolewa na Waziri wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo wakati wa ziara yake nchini China. Tarehe 29 Agosti, Raimondo alisema kwenye treni ya mwendo kasi ya kwenda Shanghai kutoka Beijing kwamba, "China inazidi kuwa nchi isiyofaa kuwekezwa kutokana na hatari zinazoongezeka." Lakini alipokutana na Wafanyabiashara wa Marekani mjini Shanghai asubuhi ya siku iliyofuata, aliyaambia makampuni ya Marekani kuwa anatumai watawekeza China. Je, hii inaweza kuthibitisha kwa kiasi fulani kwamba soko la China bado linavutia sana Marekani?

Ni wazi kuwa Marekani inapenda sana kuongeza ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara na China, lakini inatatizwa na "tamaa yake ya kudhibiti" na inatumai kwamba ushirikiano utafanywa kulingana na nia ya Marekani, yaani, China inaweza tu kudumisha hadhi yake kama “kiwanda cha dunia” na soko la dunia, lakini haiwezi kugusa teknolojia kuu ya hali ya juu, ambayo ndiyo China inajitahidi kuifanyia kazi na imepata maendeleo. Mwaka huu, China iliipita Japan kwa mara ya kwanza na kuwa nchi inayoongoza duniani kwa uuzaji wa magari, hasa gari linalotumia umeme limefanya vizuri. Jarida la Wall Street Journal limeripoti kwamba katika miaka ya hivi karibuni, sekta za magari ya umeme na betri za China zimekuwa zikivutia wawekezaji na vipaji vingi, na kuzidi kuwa chachu ya ukuaji wa uchumi; na Huawei, kampuni ya teknolojia ya China inayochukuliwa kuwa "mwiba” na Marekani, hivi karibuni ilizindua simu mpya ya mkononi, jambao ambalo limesababisha vyombo vya habari vya Marekani kutamka kwamba "vikwazo vya Marekani vimeshindwa kuzuia maendeleo muhimu ya kiteknolojia ya China, lakini badala yake vimechochea uvumbuzi wa China."

Katika miaka mitatu iliyopita, iwe ni janga la COVID-19 au mgogoro kati ya Russia na Ukraine, yote imefichua kwamba katika enzi hii ya utandawazi, "yeyote anayeleta habari mbaya hatimaye itakuwa habari mbaya kwa kila mtu." Kwa sasa, nchi za Magharibi zinashuhudia mfumuko mkubwa wa bei ambao haujashuhudiwa katika miongo kadhaa, na ukuaji wa uchumi wa polepole pia ni ukweli halisi. Kwa wakati huu, ikiwa uchumi wa China kweli "utaporomoka" kama nchi za Magharibi zinavyosema, nchi hizo zinaweza tu kuangukia katika janga kubwa zaidi la kiuchumi. Kuusema vibaya uchumi wa China hakuwezi kubadilisha ukweli kwamba uchumi wa China bado ni msukumo mkuu wa ukuaji wa uchumi wa dunia, wala hauwezi kutatua matatizo yao wenyewe nchi za Magharibi. Kwa ufupi, "kauli ya kuporomoka kwa uchumi wa China" ambayo imeibuka tena siku hizi bado ni mchezo mbaya uliochezwa na nchi za magharibi kwa miongo kadhaa iliyopita na hatimaye kuthibitishwa kuwa ni upuuzi. Bila shaka, safari hii utashindikana tena.
 
View attachment 2753096

Uchumi wa china umeyumba acha uchawa mavi wewe. Leo hii Yuan moja ni ngapi. Nilienda china mwez wa 5 nimerud juz sio ile china ninayoijua viwanda vingi havijaanza kuoperet na wazungu wengi wamehamishia viwanda Veatnam coz wanahofia kunaweza kutokea vita muda wowote kat ya mchina na mmarekan hapo Taiwan. Na China ile sera yake ya kufunga nchi baada ya COVID imemuumiza vibaya mno leo hii ukitaka Visa ya China wamelegeza mashart coz wanahtaji dollar kupita maelezo.
 
Mungu ajaalie siku moja Tanganyika yangu iwe na uchumi mkubwa km wa China
 
Uchumi wa china umeyumba acha uchawa mavi wewe. Leo hii Yuan moja ni ngapi. Nilienda china mwez wa 5 nimerud juz sio ile china ninayoijua viwanda vingi havijaanza kuoperet na wazungu wengi wamehamishia viwanda Veatnam coz wanahofia kunaweza kutokea vita muda wowote kat ya mchina na mmarekan hapo Taiwan. Na China ile sera yake ya kufunga nchi baada ya COVID imemuumiza vibaya mno leo hii ukitaka Visa ya China wamelegeza mashart coz wanahtaji dollar kupita maelezo.
🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom