uchumi

  1. Nahonyo

    JamiiForums Tanzania Barabara hii ya kimataifa na lango la uchumi, serikali iiangalie .

    Barabara ya Mandela hasa kuanzia ubungo hadi bandalini, haikidhi haja kutokana ubebaji wake malori mengi. Barabara hii ya kimataifa, inayopitisha malori mengi, yakiwemo yanatokea nchi za jirani, ikimbukwe ni lango kuu la uchumi wa Tanzania, ila inaonyesha serikali hailioni hili. Barabara ina...
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Dubai atangaza kanuni kumi za kuendesha uchumi kwa miaka kumi ijayo

    Mfalme wa Dubai,Sheikh Mohammed ametangaza kanuni kumi atakazozitumia kuongoza uchumi katika kipindi cha miaka kumi ijayo. 1. Nchi itakuwa na uchumi wa soko huria UAE itakaribisha biashara ya kimataifa bila vikwazo, unasema waraka huo. Itaunda uhusiano wa kiuchumi na ulimwengu, ikitoa...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Uchumi wa kati ulitoka hapa kwa huyu!

    kwangu mimi raisi huyu yuko underrated na hapewi sifa zake anazostaili ingawaje ndiye raisi mwenye mchango mkubwa sana kwa tanzania ya leo, kwanza uchumi wa kati ulianzia kwake. fikiria kampuni kubwa leo hii tanzania kama nmb, crdb, tanzania breweries, tanzania cigarretes hata tra zote ni kwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mwigulu Nchemba, Mbarawa, Mkurugezi wa TRC na wote waliohusika wakamatwe na kushtakiwa kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

    Mpina akiwa anachangia hoja amesema kamati imekiri suala la kutumia mzabuni mmoja lilikataliwa na PPRA ambaye ndio msimamizi mkuu wa manunuzi nchini, lilikataliwa na bodi ya manunuzi, na walikataa sababu sheria za nchi za manunuzi ilikuwa inatekelezwa wakayti huo haziruhusu mambo hayo, lakini...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwa ukosefu wa Umeme hasa Mkoani Mbeya tunaomba viongozi mjitafakari. Hii ni zaidi ya uhujumu uchumi

    Tunataka Serikali ijitafakari kwa hali inavyoendelea kuhusu upatikanaji wa Umeme. Mbeya kila siku hakuna umeme ni usumbufu tuu. Hii inakera sana, heri muache kusafiri lakini shughulikieni suala la Umeme. Miezi sita mliyosema yatakuwa yaleyale Miaka 62 bado umeme unasumbua sana, itawezekana Kwa...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Transformer la umeme mtaa wa Livingstone na Lindi lageuka kitega uchumi kwa wafanyakazi wa TANESCO

    Hilo transformer kila siku TANESCO wanapigiwa simu, wakija wanataka pesa kulitengeneza fuse yake, wanaitegesha tegesha kihuni huni tu ili ifanye kazi kidogo, ikifika kesho yake inazima tena, ukiwapigia simu wanakuja ila wewe uliyewapigia inabidi uwape pesa watengeneze, wanachokonoa chokonoa fuse...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Paundwe Wizara ya Uchumi wa Bluu (Ministry of Blue Economy)

    Tuna Bahari ya Hindi toka Tanga hadi Mtwara na Maziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa ni kwann mpaka Sasa hatuna wizara/Waziri wa Blue Economy? Ili tuwekeze na kufaidi rasilimali kwenye vyanzo tajwa? Zanzibar tayari wanafaidika na Uchumi wa bluu.
  8. Caps Lock

    JamiiForums Tanzania Vipi Watanzania tutaweza kuboresha uchumi wetu?

    (Maoni yangu binafsi) Maboresho ya uchumi ni wimbo wa kila awamu ya kiuongozi, aidha kila awamu huja na vipaumbele vyake. Mfano, katika kuboresha elimu, awamu ya 5 chini ya JPM ilikuja na mkakati wa kutoa elimu bure na hivyo kutoa ruzuku mashuleni zinazokaribia shilingi bilioni 18 kila mwezi...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. ndumbaro Aagiza BASATA na Bodi ya Filamu Kusimamia Sekta ya Sanaa Kukuza Uchumi wa Nchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kunufaisha wasanii. Dkt. Ndumbaro ametoa maagizo hayo Oktoba 17, 2023...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

    Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati. Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ustawi wa soko katika siku za mapumziko wathibitisha ufufukaji wa Uchumi wa China

    Katika siku nane za mapumziko ya Siku ya Taifa la China, watu wameshuhudia ustawi wa soko, kwani mamilioni ya watu wamefanya utalii, na wateja walijaa kwenye maduka na mikahawa. Kuongezeka kwa shauku ya watumiaji kwa mara nyingine tena inaonyesha uthabiti mkubwa na uhai wa uchumi wa China, hivyo...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu. Israel bado haijaanza kulipiza kisasi. ========= PHOTO: GETTY IMAGES Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake na malengo yake yaangushwe

    Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake, majengo na malengo yake ya muda mrefu yaangushwe. Kwa sababu ya kuingilia vita na watu waliokubali magaidi wawe sehemu yao. Week iliyoisha saudia Arabia, Israeli na Palestine walikuwa kwenye makubaliano ya amani.. Lakini kwa...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Japan tunayoambiwa ina uchumi mkubwa na maendeleo inagandamiza abiria kwenye treni kama viazi ulaya?

    Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video? https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Usitilie maanani maneno ya Mwanamke yoyote isipokuwa yanayohusiana na Uchumi tu

    Nilichojifunza. Mwanamke ni mtu mzuri sana. Na ndo wanaokamilisha mwanaume. Mwanamke na Ua na mambo mengine mazuri. Ila Usifanyie kazi maneno ya Mwanamke bila kufanya uchunguzi wako wa kina. Hata akiongea huku analia, hata aongee huku amegalagala chini. Ukitaka uishi na watu vizuri, iwe...
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Maandalizi muhimu kabla ya uchaguzi ili kuepuka kusema umeibiwa kura Chama chako kinaposhindwa

    Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili. Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Ujerumani umedorora baada ya kukosa Gesi ya bei nafuu kutoka Russia

    Germany went from envy of the world to the worst-performing major developed economy. What happened? ESSEN, Germany (AP) — For most of this century, Germany racked up one economic success after another, dominating global markets for high-end products like luxury cars and industrial machinery...
  19. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

    Bwana Yesu asifiwe watu Mungu. Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine. Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu...
  20. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Amani, Uhuru, na Ustawi wa Kiuchumi ndiyo mambo pekee yatakayoiepusha Afrika na Mapinduzi ya Kijeshi

    Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha. Misingi ya jamii inayofanya kazi vizuri na kuwajumuisha watu wote katika nchi nyingi za Afrika mara nyingi haipewi...
Back
Top Bottom