uchumi

  1. matunduizi

    Umuhimu wa kujiwekea kiwango cha chini cha umasikini binafsi usiovumilika

    Hatupaswi kuishi jumlajumla. Ni vizuri ukajitathmini na ujiwekee kiwango chako cha pesa na mali ambacho chini ya hapo utafanya lolote usishuke. Madhara ya kuishi bila kujiwekea kiwango chako cha chini cha umasikini au kuishiwa utajikuta umeingia kwenye levo ya umasikini ambao haitawezekana...
  2. C

    Ukraine ni watu na nusu, nguvu hiyo waitumie kiboresha uchumi wao pia

    Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain. Kila nikiwa katika kazi zangu za kila siku nikikumbuka vibaka wa kariakoo wanavyochomwa moto wa petroli na kusahau kuwa kumbe...
  3. SankaraBoukaka

    Prediction: In The Near Future All Tanzanian Billionaires Will Be Vendors of Junky Chinese Bevarages and Snacks

    Tanzanian billionaires, like those in many developing countries, often invest in industries like beverages due to several key factors: 1. Established Market Demand: The beverage industry, especially for affordable and mass-market products, has a consistent and growing demand. The consumer base...
  4. mdukuzi

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

    Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani?? Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel. Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
  5. M

    Mfumo wa Kibiashara wa Kiislam unavyosaidia kukuwa uchumi wa nchi duniani na mifano ya nchi hizo

    Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii: 1. Kukuza Ustawi wa Kijamii Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
  6. Idugunde

    Sio kwamba Mbowe hajatambua kuwa alishafeli. Ni ile janja ya kuigeuza CHADEMA kitega uchumi ndio inamfanya akomae.

    Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha? Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai. Unakuwa na kundi dogo kama la akina...
  7. Jidu La Mabambasi

    Hapa kuiangalia sheria ya kodi na kanuni zake, Rais Samia umepiga bull

    Kama mtu umefanya biashara nchi hii utagundua kwamba aliyetunga sheria zingine za kodi hajawahi hata kuuza karanga. Sheria za kodi na kanuni zake zimelalamikiwa kwa miaka nenda rudi, huku TRA wakisema hawahusiki na sheria hizo na wanawakandika wafanyabisahra kama zilivyoandikwa, liwalo naliwe...
  8. oko majimaji

    Hizi ndio nchi 10 za Afrika zenye thamani ndogo zaidi sana ya hela yake dhidi ya Us dollar

    Ukiangalia sarafu dhaifu za Afrika, inadhihirika kuwa udhaifu wa nchi hizi unachangiwa na sababu nyingi zenye utata. Iwe ni kutokana na kutokuwa na uthabiti kisiasa, changamoto za kiuchumi, utegemezi wa misaada. Shuka nazo hizo. 10. Angolan Kwanza (AOA) Exchange rate: 1 AOA = 0.0012 USD 9...
  9. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini Millard Ayo na Mkurugenzi wa TANAPA wasishtakiwe kwa uhujumu uchumi?

    Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu. Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na...
  10. B

    TANESCO hiki mnachofanya tuite wizi, ukwapuaji, unyang'anyi, au uhujumu uchumi

    TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli mkiujua. Sasa hivi kuna uhuni unaofanywa wakati wa kununua umeme kuliko hapo awali. Sasa hivi karibu...
  11. L

    IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
  12. I

    Utegemezi wa Russia kwa sarafu ya Yuan kuokoa uchumi wake waanza kutokomea

    Yuan ya Uchina imesaidia kufadhili mashine ya biashara na vita ya Urusi - lakini siku hizo zinaweza kuwa zinaelekea ukingoni. Vikwazo vya Nchi za Magharibi vimeifungia Urusi nje ya mfumo mkuu wa kifedha wa kimataifa unaotawala dola maarufu kama (SWIFT) lakini nchi hiyo imeweza kustahimili...
  13. B

    Serikali itoboe barabara ya Ifakara Mahenge hadi Liwale Lindi ili kufungua uchumi

    Wasalamu, Ukitaka kwenda mikoa ya kusini kutokea Ifakara option ni mbili lazima uje Dar au upite Makambako Songea ambapo itakuchukua siku mbili. Tofauti na kama ikipatikana barabara ya kupita mbuga ya Selous utatumia masaa sita kufika Lindi na mikoa ya Kusini. Ipo njia ya miguu wanatumia siku...
  14. Webabu

    Tanzania kupitia TRA ianze kufuata uchumi halali kuondosha malalamiko ya wafanyabiashara na kukuza uchumi

    Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali. Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
  15. The ice breaker

    Unajilipa bei gani kwenye biashara yako?

    Wakuu habari Kwa wale mnaofanya biashara zenu wenyewe ambao hamtegemei mshahara kutoka kwenye ajira za Serikali au private company.. Haya naomba mtuambie hapa, wewe na hiyo biashara yako unajilipa mshahara bei gani Kwa mwezi? Na unafanya biashara gani? Tuambie Gross salary na net net salary...
  16. matunduizi

    Wazazi wa kiafrika wanaakili tofauti kabisa na wazazi wa kiyahudi kwenye suala la uchumi wa mtoto.

    Kitabu cha kiyahudi Tanakh au Miqra kinatoa siri kubwa kwa familia zao kuhusu Uchumi. Baba huwa anapoingia kutafuta huwa anatafuta kwa sio tu kwa ajili yake bali kwa ajili ya wajukuu na vitukuu. Anaandaa mifumo kuhakikisha anaacha utajiri mkubwa kwa ajili ya watoto na wajukuu. Mithali 13:22...
  17. BLACK MOVEMENT

    Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  18. masopakyindi

    Hawa wanyaturu watatumaliza, uchumi mpaka sasa hakieleweki!

    Wafanyabiashara wanaandamana kwa kufunga maduka nchi nzima. Kodi hazieleweki. Madeni ya nchi yanazidi kupanda. Viongozi matumizi yako juu sana, ma VX hadi kwa watoto wao. Nyie wanyaturu vipi lakini?
  19. F

    SoC04 Tuhamasishe unywaji maziwa ili tukuze uchumi

    Nchi ya Tanzania imebarikiwa vivutio vya asili ikiwemo mbuga, mito na kadhalika. sekta ya mifugo ni mojawapo ya sekta ambazo huwa zinachangia kwa kiwango kikubwa sana katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. kwa mujibu wa shirika la kimataifa la kilimo na chakula duniani(FAO) Tanzania ni ya tatu...
  20. M

    SoC04 Tanzania ya Biashara

    Tanzania tumekuwa tukipata wakati mgumu namna ya kuimarisha uchumi wa taifa ambo ndio dira ya Taifa kwa jamii nzima Katika kukua kwa uchumi na kuachana na umasikini; Naitwa Raphael Edson mkazi wa mafinga iringa Tanzania tumekuwa tukifanya maendeleo ya macho na si mwendo kwa muda mrefu kwasababu...
Back
Top Bottom