uchumi

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Deo Mwanyika: Wanywaji wa Bia wamepungua, hali yatishia kukua kwa Uchumi wa nchi

    Makusanyo ya mapato ya makampuni ya bia nchini yameshuka kwa karibu asilimia 20, hali inayoonekana kusababishwa na kupungua kwa wanywaji wa bia kufuatia ongezeko la ushuru wa bidhaa lililowekwa na serikali. Ongezeko hili la ushuru limewafanya wanywaji wengi kuhamia kwenye vinywaji mbadala...
  2. Logikos

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Serikali; Mwananchi ni Mwenye Nchi, Nguvu Kazi au Kitega Uchumi (Chanzo cha Mapato) ?

    Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai; https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Je Mwananchi ni Mwenye Nchi ? Sidhani, huyu jamaa...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia amesema wanataka anayepokea simu naye anakatwa salio ili kuimarisha Uchumi

  4. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Waliobuni, kujenga na kusimamia mradi wa mwendokasi jangwani wakamatwe haraka na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi!

    Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
  5. L

    JamiiForums Tanzania CIIE kuunga mkono Afrika kuungana zaidi na uchumi wa dunia

    Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa msamaha wa ushuru wa forodha bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi zilizo nyuma kimaendeleo, zikiwemo nchi 33 za...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

    Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na kukataliwa na jamii kwa ujumla.
  7. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

    Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF. Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia. Tanzania ya 10 bora kwa uchumi imara

    Chadema msipinge
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Raisi Samia ametoa kauli hii: "tunataka anaepokea simu na yeye awe na salio ili kuimalisha uchumi"?

    Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli. Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli? Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi? Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Israel inapata wapi pesa za kuendesha vita?

    Wakuu Salaam, Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houthi, Iran ,makundi mengine Syria, Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo. Wao wanaendesha vipi nchi? Sioni wako na resources za maana kama...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa: Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine kukuza Uchumi wa Kidijitali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika sekta ya TEHAMA. Waziri Silaa aliyasema hayo wakati akifungua kikao...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

    ..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila. ..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020. https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
  13. G

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa kwenye hali ya vita, rasilimali chache za ardhi na udogo wa nchi, Israel ni nchi ya pili kwa uchumi mashariki ya Kati

    Amini kuna miujiza hapa Duniani, kanchi kadogo kapo vitani lakini kanakimbiza nafasi ya pili huko Middle east N:B: Ule msaada wa dola bilioni 3 wanaopewa na Marekani kila mwaka haufikii asilimia 1 % https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Middle_Eastern_countries_by_GDP
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Usimamizi Thabiti wa Madini Mkakati Utakuza Uchumi wa Afrika - Waziri Mavunde

    - Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini - Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini - Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania 📍Kampala, Uganda Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA iite miundombinu na vitega uchumi vyake majina ya makamanda wake waliouwawa wakikipigania chama

    Vitega uchumi kama majengo yaitwe majina ya makamanda mfano Ali kibao complex Alfons mawazo complex Ben saa nane memorial hall Tundu lisu road nk
  16. Sina Ndugu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana maarifa kwenye nyanja tofauti (Kiuchumi, kiafya na maendeleo binafsi)

    Weka hapa Softcopy yeyote iwe Kitabu, Makala au Jarida lolote, Lakini lengo kuu la hiyo Document liwe ni kuleta maarifa katika eneo fulani . Yaweza kua Kiuchumi, Mabadiliko binafsi, Kiroho hata Historia yenye kufunza . Karibuni!!!
  17. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Uchumi waanza kudorora upya kama kipindi cha Jiwe

    Kwa msiojua, wazungu wameshaanza kutoa dozi, wanaminya mpunga, na hazina kumeshaanza kuchoka. Maofisi ya serikali yameanza kupokea pesa kiduchu kwasababu hakuna pesa, kipindi cha jiwe alileta jeuri wazungu wakabana pua yake, tukaishi maisha magumu na ya kujitesa sana. kwa mwenye akili...
  18. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Uzito wa Vicoba vyako uzingatie mzani wa uchumi wako

    💼 MHADHARA WA 11: Hakikisha uzito wa VICOBA/au MICHEZO YA KUPEANA HELA unayocheza usizidi Mzani wa MFUKO (UCHUMI) wako. Kwa mfano upo kwenye uanachama wa VIKUNDI VYA MICHEZO YA KUPEANA HELA au VICOBA zaidi ya kimoja, halafu kila ifikapo muda wa marejesho ya madeni uliyokopa au muda wa kuweka...
  19. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Kodi za mabango si rariki kwa soko la ajira na uchumi.

    Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho. Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1. Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi wakulima waliikosea nini nchi hii? Ni watu wanaoonekana hawana thamani hata kidogo!

    Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa. Hapa kitaa kuna jamaa yetu baada ya kutoka SUA Moja kwa Moja, alianza kujifunza kunyoa na baada ya kujua Leo hii ana...
Back
Top Bottom