uchumi

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wananchi wa Ruangwa Msiache kuichangia Namungo FC inaosaidia kukuza uchumi wa Lindi

    Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta utalii wa michezo unaosaidia kukuza uchumi katika wilaya hiyo na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wachache (minority) humiliki uchumi mkubwa duniani

    Hii dunia imethibitika kabisa kuwa Ina rasilimali za kutosha kuwawezesha watu wote duniani kula, kusoma, kutibiwa, kutalii, kujenga/kupanga na kufurahia maisha. Bahati mbaya sana, ubinafsi, ubabe na uchoyo ama wa kisiasa au kuitawala umehodhisha rasilimali zote kwa vikundi au watu binafsi...
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani cha nguvu wanazo Wayahudi/Waisrael katika siasa na uchumi wa Marekani ?

    Naomba kujibiwa swali hili bila mihemko. Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ? Treatment anayopata Israel ni ya kiwango cha juu sana ambayo hakuna taifa hapa duniani ina hiyo favour kwa marekani...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Trump tena na wachina anasema sasa hivi wanafanya mapinduzi ya kiuchumi lazima washinde

    Ni muendelezo wa Trump na kuwakalia kooni wachina toka awamu yake ya kwanza mpaka sasa kawaweka mdomoni kweli. Trump anasema anachofanya sasa ni mapinduzi ya kiuchumi na hakika lazima washinde japo anakili maumivu watayapitia ila wanashinda. China has been hit much harder than the USA, not even...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT): Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya 6.1% na 6.5% mtawalia

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha katika robo ya pili ya mwaka 2025, kwa asilimia 6.1 na 6.5 mtawalia, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kubaki tulivu kwa asilimia 3.2. Akizungumza jijini Dar es...
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Uchumi bwege.

    Uchumi bwege ni aina ya uchumi ambayo imeshika hatamu kwenye dating pool katika kizazi tulichopo. Uchumi huu umewapumbaza wanawake na kufikiri hawawajibiki na bill zao. Uwanja wa mahusiano umepinduka na mzizi wa tatizo ni "uchumi bwege". Uchumi huu umewafanya wanaume mabwege wawe waangaikaji...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maswala gani matatu utaanza nayo ili kuufufua uchumi wa nchi hii endapo utapata nafasi ya juu katika uongozi?

  8. T

    JamiiForums Tanzania Anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera

    Na Mimi kama mwana Kagera nitoe mawazo yangu juu ya anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera. Nimeona majadiriano ya kila aina ya sababu ya anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera. Ni kwa bahati mbaya kwa majadiriano hayo, wengi huchukulia picha ya mji wa Bukoba tu kuwa kiwakilishi cha mkoa wa Kagera...
  9. S

    JamiiForums Tanzania BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics. Jibu la BOT...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Lissu: Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.

    Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga kinara wa uchumi Mkoa wa Tanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Sare za wanafunzi kama njia ya kupambana na cartel ya mitumba kuelekea mapinduzi ya uzalishaji wa vitenge vya ndani

    Utangulizi Kwa miongo mingi, Tanzania imekuwa soko kubwa la nguo za mitumba, kiasi kwamba viwanda vya ndani vya nguo vimeshindwa kustawi. Ingawa biashara hii imewanufaisha baadhi ya wananchi kwa nguo nafuu, imekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya viwanda vya nguo nchini. Tatizo hili...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yaweka lengo la asilimia 5 la ukuaji wa uchumi, wakati Marekani inajaribu kuvuruga utaratibu wa uchumi dunia

    Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Walioshauri viongozi wetu kununua umeme Ethiopia km maelfu badala ya Nyerere wakamatwe wahojiwe km wahujumu uchumi ,Victoria inakuwaje chanzo mbadala

    Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly Nchi inapambana walau tuongeze export ya...
  15. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki ni Fursa ya Kuimarisha Uchumi Wako

    Ufugaji wa samaki ni taaluma inayokua kwa kasi, lakini wengi hawana ujuzi wa kutosha. Kwa hivyo, watu wengi huanzisha miradi bila mwongozo sahihi, na hatimaye hupata hasara kubwa. Ikiwa utapata mwongozo wa kitaalamu na utekelezaji sahihi, ufugaji wa samaki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wanawake wataongeza Dola Trilioni 28 kwenye mzunguko wa Uchumi wa dunia ikiwa tu tutaamua kuwashirikisha kikamilifu

    Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa. Kafulila anasema ikiwa Taifa na Dunia tutaamua kuwashirikisha vema wanawake katika Ujenzi wa Uchumi wa Dunia au wa Taifa...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati Simba na YANGA zisifanywe kama vitega uchumi vya chama cha Mpira na BODI yake ya li..mbona mechi na pamba amkuhairisha huo n ujingaaaa!!!

    Shida iliopo n upigaji WIZI Na utapeli Nakuheshimu kama tff na BODI YENU Ila siwaogopi Ogopa DHAMBI ya kuwaogopa watu Kuwaogops wanadamu n kuleta LAANA maishani mwako HAya mambo yafike wakati yafike fiffa na caf tupate uhalisia WA matumizi ya kanuni na sheria za tff Haiwezekani wewe UNAWEKA...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo: Nilipata kusafiri nchi tofauti, wana hali mbaya sisi tuna nafuu uchumi unakua

    Wakuu Serikali imemaliza tatizo la maji katika Kijiji cha Buswelu, Kata ya Nyanzande, Jimbo la Buchosa, kwa kujenga kisima kirefu kinachotumia nishati ya jua kusambaza maji kwa wananchi. Ahadi ya kutatua changamoto hiyo ilikuwa miongoni mwa ahadi za Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, kwa...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkutano wa kujadiliana kwa pamoja fursa mpya kutokana na uchumi wa China wa CGTN Kiswahili wafanyika Nairobi

    Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) umefanyika tarehe 6 mjini Nairobi, Kenya. Katika mkutano huo, wataalamu wa masuala...
  20. instagram

    JamiiForums Tanzania Tariffs za Tanzania zitaumiza uchumi wetu dhidi ya Marekani, Japan na Ulaya

    Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%. Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui...
Back
Top Bottom