Ufahamu uchawi

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,518
14,383
Chakushangaza:
#CHAKUSHANGAZA
📣📣📣📣📣📣📣

🗣️Wengi ukiwauliza uchawi ni nini watakuwa na tafsiri tofauti tofauti lakini hauna maana moja ya kuuelezea,

🫵uchawi umebeba maana nzima ya kuumbwa binadamu na ulimwengu kwa ujumla na ndio lango kuu linalotumika kuwaunganisha binadamu,mungu,majini,na hata malaika iwe kwa uasi na hata kwa uzuri (toba)

🫵unaweza kujiuliza uchawi unahusikaje na kuumbwa kwa binadamu?

🫵vizuri, Kabla ya kuumbwa binadamu waliumbwa malaika na majini ambao walikaa ndani ya dunia hii miaka na miaka kabla ya kuja kuumbwa sisi binadamu

🫵Aliumbwa adamu na kutokana na upweke wake akatolewa eva/hawa kutokana na pande/ubavu wa adamu ili awe faraja na furaha kwa adamu, na hapo ndipo ilipotokea fitina kubwa ambayo ilimgharimu shetani kufukuzwa mbinguni baada ya kumuasi mungu pale alipoambiwa amsujudie adam.

🫵Mungu alimuumba binadamu kisha akasema kuwa amemuumba binadamu kwenye umbile bora akimaanisha ni kiumbe bora kuliko chochote alichowahi kukiumba,hii ndo kauli ambayo huenda ikawa sababu kuu ya kutokea kwa uchawi na maovu mengi duniani twende pole pole utanielewa hapo baadae,

🔥🔥🔥kuna aina kuu nne za uchawi🔥🔥🔥

1️⃣.UCHAWI WA MAJINI,
Huu ndio uchawi mkubwa na mzito kuliko uchawi wa aina yoyote kwani kafara zake huwa ni kubwa mno na ni level nyingine ya uchawi ambao kama ukifanyiwa ni mkubwa hasa wa baharini,sababu huko ndiko kwenye falme nzito za uchawi.

🫵uchawi huu huhusisha,mito,bahari na maziwa,

🫵uchawi wa aina hii mtu huupata kwa kwenda katika falme za hayo maeneo husika na kukubaliana na masharti ya hao viumbe wa sehemu hizo,na mchawi wa aina hii yeye huwa anasafiri/kwenda kuabudu maeneo ambayo ni jirani na maeneo hayo tajwa hapo.

🫵uchawi wa aina hii mtu huweza kudhuriwa kwa mchawi husika kuchanganya vitu vinavyopatikana ndani ya bahari,ziwa,au mito au mtu anayefanyiwa uchawi kupita katika maeneo hayo au kuwa mfanyaji kazi kwenye maeneo hayo.

2️⃣. Uchawi wa pili ni wa anga
Huu ni uchawi ambao mtu huweza kuathiriwa kwa kufungwa kupitia upepo,kimbunga,dhoruba,radi,n.k

🫵uchawi wa aina hii hunuwiwa kumfikia mhusika kwa njia hizo mfano mnaweza kuwa mmekaa tu sehemu ikaja radi lakini hyo radi badala ya kuwapiga watu ote ikampasua mmoja tu kati ya watu 20 wa eneo hilo.

3️⃣,Uchwi wa pili ni wa ardhini
huu ndo uchawi unaotumika zaidi katika jamii za wachawi wengi kwani huhusisha mizimu ya asili na kila kilichomo aridhini.

🫵uchawi wa aina hii unaweza kumpata mhusika endapo atachukuliwa kitu kimoja wapo kati ya kivuli,kitovu,nyayo nk

4️⃣uchawi wa moto
huu ni uchawi ambao mhusika akifanyiwa huungua au hata kama ikitokea ajali basi lazima ajali hyo ihusishe moto kuwaka au wahusika kuungua moto.

👉🏼Hapo kwa uchache ulishapata picha ndogo kuhusu uchawi sasa tuendelee,

🫵NINI KINAFANYA UCHAWI UTOKEE

🫵Hakika ukiona uchawi unavyofanywa unaweza kusema ni mazingaombwe au mambo ya kuigiza live,lakini kiuhalisia uchawi ufanyikapo hutumika nguvu kubwa nyuma ya pazia ili yatokee yanayotokea ambayo kwa macho yetu ya dhambi hatuwezi kuona (macho yetu ya dhambi) hili ntakuelezea vizuri mbeleni.

🫵Ili uchawi uweze kutendeka na kufanya kazi ni lazima atumike jini husika kwenye kulifanikisha hilo,ndo maana huwezi kutenganisha uchawi na majini abadani,

🫵kinachofanyika mchawi husika,hukutana na jini mhusika wa kichawi ambae huingia maagano ya milele na ndo maaagano haya hufanya baadhi ya wachawi kuacha uchawi sababu wanajua mwisho wake ni kifo na hata kama atakufa ndani ya chama chake cha kichawi basi ule uchawi huendelea kwenye uzao wake wote ndo maana wazee wetu zamani walikuwa hawaoani na uzao ambao una mambo ya kichawi au ushirikina.

🫵Agano la kwanza kabisa kuingia kwenye uchawi ni kukana kabisa dini yako na kuabudu majini automatically,na jambo la kwanza ambalo hufanyika ni kukanyaga iwe Quran au biblia kwenye kinyesi(mavi),then kafara nyingine zitafuata kulingana na cheo au grade mchawi anayotaka afikie nitakuja kufundisha mbeleni

🫵Hivyo basi mtu anaweza kuwa shekhe/mchungaji mkubwa kwenye dini yake lakini upande wa pembeni akawa ni mchawi mkubwa ila nyuma ya pazia akawa alishaasi kwa mungu,na hapa ndipo pabaya zaidi ambako wengine hupewa mpaka nguvu za kufanya miujiza katika dini zao na kupata wafuasi wengi mno na kuaminika kumbe upande wa pili kuna nguvu hutumika hili ntalielezea baadae.

🫵Hivyo basi nadhani ushafahamu kuwa mchawi hawezi kufanya lolote pasipo uwepo wa jini ndo maana mchawi anaweza kwenda sehemu yoyote duniani ndani ya sekunde na akafika, hapo mchawi huyo huongezewa nguvu na kuweza kubebwa na jini huyo na kufikishwa sehemu yoyote kwa maagano yao waliyoyaingia.

🫵Na hapa jini anayafanya haya yote kwa kuhakikisha kuwa anamkomoa mungu kwa kumpotosha huyu binadamu aliyesema yeye ni bora kuliko kiumbe chochote,na pia nadhani baadae utapata picha kuwa binadamu ananguvu kuliko

By
Mchawi wa wachawi
Source MTANDAONI

✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
 
James Randi aliweka Dollar milion 1 kwa atayeweza kuthibitisha uchawi upo

Unajua shindano lilidumu kwa muda gani?

Ni miaka zaidi ya 50 akitafutwa huyo ambaye ana sifa hizo ulizoelezea wewe lakini hakuna aliyeweza.

Huyo James Randi aliyeweka hilo shindano kumbuka naye anaitwa mchawi kwasababu amekuwa akifanya performance za magic kwenye matamasha.

Lakini yeye anakuambia hakuna uchawi zile ni trick tu ambazo yeyote anaweza kufanya akifundishwa na kuna muda huwa ana reveal siri za performance zake.

Sasa wewe kuja na bandiko lako kutuambia maswala ya uchawi kwa tafsiri ya supernatural huo ni UZUSHI.
 
Sio andiko langu nimelinukuu sehemu na kulileta hapa

hata mungu ayupo sindio ni uzushi tu 😅😆
 
Chakushangaza:
#CHAKUSHANGAZA
📣📣📣📣📣📣📣

🗣️Wengi ukiwauliza uchawi ni nini watakuwa na tafsiri tofauti tofauti lakini hauna maana moja ya kuuelezea,

🫵uchawi umebeba maana nzima ya kuumbwa binadamu na ulimwengu kwa ujumla na ndio lango kuu linalotumika kuwaunganisha binadamu,mungu,majini,na hata malaika iwe kwa uasi na hata kwa uzuri (toba)

🫵unaweza kujiuliza uchawi unahusikaje na kuumbwa kwa binadamu?

🫵vizuri, Kabla ya kuumbwa binadamu waliumbwa malaika na majini ambao walikaa ndani ya dunia hii miaka na miaka kabla ya kuja kuumbwa sisi binadamu

🫵Aliumbwa adamu na kutokana na upweke wake akatolewa eva/hawa kutokana na pande/ubavu wa adamu ili awe faraja na furaha kwa adamu, na hapo ndipo ilipotokea fitina kubwa ambayo ilimgharimu shetani kufukuzwa mbinguni baada ya kumuasi mungu pale alipoambiwa amsujudie adam.

🫵Mungu alimuumba binadamu kisha akasema kuwa amemuumba binadamu kwenye umbile bora akimaanisha ni kiumbe bora kuliko chochote alichowahi kukiumba,hii ndo kauli ambayo huenda ikawa sababu kuu ya kutokea kwa uchawi na maovu mengi duniani twende pole pole utanielewa hapo baadae,

🔥🔥🔥kuna aina kuu nne za uchawi🔥🔥🔥

1️⃣.UCHAWI WA MAJINI,
Huu ndio uchawi mkubwa na mzito kuliko uchawi wa aina yoyote kwani kafara zake huwa ni kubwa mno na ni level nyingine ya uchawi ambao kama ukifanyiwa ni mkubwa hasa wa baharini,sababu huko ndiko kwenye falme nzito za uchawi.

🫵uchawi huu huhusisha,mito,bahari na maziwa,

🫵uchawi wa aina hii mtu huupata kwa kwenda katika falme za hayo maeneo husika na kukubaliana na masharti ya hao viumbe wa sehemu hizo,na mchawi wa aina hii yeye huwa anasafiri/kwenda kuabudu maeneo ambayo ni jirani na maeneo hayo tajwa hapo.

🫵uchawi wa aina hii mtu huweza kudhuriwa kwa mchawi husika kuchanganya vitu vinavyopatikana ndani ya bahari,ziwa,au mito au mtu anayefanyiwa uchawi kupita katika maeneo hayo au kuwa mfanyaji kazi kwenye maeneo hayo.

2️⃣. Uchawi wa pili ni wa anga
Huu ni uchawi ambao mtu huweza kuathiriwa kwa kufungwa kupitia upepo,kimbunga,dhoruba,radi,n.k

🫵uchawi wa aina hii hunuwiwa kumfikia mhusika kwa njia hizo mfano mnaweza kuwa mmekaa tu sehemu ikaja radi lakini hyo radi badala ya kuwapiga watu ote ikampasua mmoja tu kati ya watu 20 wa eneo hilo.

3️⃣,Uchwi wa pili ni wa ardhini
huu ndo uchawi unaotumika zaidi katika jamii za wachawi wengi kwani huhusisha mizimu ya asili na kila kilichomo aridhini.

🫵uchawi wa aina hii unaweza kumpata mhusika endapo atachukuliwa kitu kimoja wapo kati ya kivuli,kitovu,nyayo nk

4️⃣uchawi wa moto
huu ni uchawi ambao mhusika akifanyiwa huungua au hata kama ikitokea ajali basi lazima ajali hyo ihusishe moto kuwaka au wahusika kuungua moto.

👉🏼Hapo kwa uchache ulishapata picha ndogo kuhusu uchawi sasa tuendelee,

🫵NINI KINAFANYA UCHAWI UTOKEE

🫵Hakika ukiona uchawi unavyofanywa unaweza kusema ni mazingaombwe au mambo ya kuigiza live,lakini kiuhalisia uchawi ufanyikapo hutumika nguvu kubwa nyuma ya pazia ili yatokee yanayotokea ambayo kwa macho yetu ya dhambi hatuwezi kuona (macho yetu ya dhambi) hili ntakuelezea vizuri mbeleni.

🫵Ili uchawi uweze kutendeka na kufanya kazi ni lazima atumike jini husika kwenye kulifanikisha hilo,ndo maana huwezi kutenganisha uchawi na majini abadani,

🫵kinachofanyika mchawi husika,hukutana na jini mhusika wa kichawi ambae huingia maagano ya milele na ndo maaagano haya hufanya baadhi ya wachawi kuacha uchawi sababu wanajua mwisho wake ni kifo na hata kama atakufa ndani ya chama chake cha kichawi basi ule uchawi huendelea kwenye uzao wake wote ndo maana wazee wetu zamani walikuwa hawaoani na uzao ambao una mambo ya kichawi au ushirikina.

🫵Agano la kwanza kabisa kuingia kwenye uchawi ni kukana kabisa dini yako na kuabudu majini automatically,na jambo la kwanza ambalo hufanyika ni kukanyaga iwe Quran au biblia kwenye kinyesi(mavi),then kafara nyingine zitafuata kulingana na cheo au grade mchawi anayotaka afikie nitakuja kufundisha mbeleni

🫵Hivyo basi mtu anaweza kuwa shekhe/mchungaji mkubwa kwenye dini yake lakini upande wa pembeni akawa ni mchawi mkubwa ila nyuma ya pazia akawa alishaasi kwa mungu,na hapa ndipo pabaya zaidi ambako wengine hupewa mpaka nguvu za kufanya miujiza katika dini zao na kupata wafuasi wengi mno na kuaminika kumbe upande wa pili kuna nguvu hutumika hili ntalielezea baadae.

🫵Hivyo basi nadhani ushafahamu kuwa mchawi hawezi kufanya lolote pasipo uwepo wa jini ndo maana mchawi anaweza kwenda sehemu yoyote duniani ndani ya sekunde na akafika, hapo mchawi huyo huongezewa nguvu na kuweza kubebwa na jini huyo na kufikishwa sehemu yoyote kwa maagano yao waliyoyaingia.

🫵Na hapa jini anayafanya haya yote kwa kuhakikisha kuwa anamkomoa mungu kwa kumpotosha huyu binadamu aliyesema yeye ni bora kuliko kiumbe chochote,na pia nadhani baadae utapata picha kuwa binadamu ananguvu kuliko

By
Mchawi wa wachawi
Source MTANDAONI

✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Cc. LIKUD
 
Back
Top Bottom