Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

beluwa

Member
Jul 15, 2020
78
78
Wadau, if you didn't believe uchawi is real, I've been a victim.

What I've seen, and has been done to me by malicious people would anger any sane person.

The good thing is that I got to realize who actually intended to hurt and destroy me. The problem ni how to replicate kitu nilifanyiwa. I'm really looking forward to avenge stuff kama kufanyiwa mikono paralyzation, going sleepless for consecutive nights, untold thirst, physical pain, weird dreams, and other terrible shit, without a reason.

I've tried seeking for some traditional specialist, cuz nikama kuna majini hunifuata everywhere I go, incessantly talking to me (even as I type this, they are going nuts - it got to a point where I figured they rely on how you think, so that they can "talk"). I've heard that they remove those jinis from someone, if that's actually what was done to me. Or if it's that they are around me but not in me.

My purpose is for your help if anyone has ever heard an actual real traditional healer who deals with such stuff. I also wouldn't mind a mganga who would help me obtain vengeance. These people tried to literally kill me, so I'm hurting for teaching them a lesson, given that they want to destroy me without any reason.

I was even stupid enough before to think that my lack of belief in witchcraft would stop it from happening to me. No pastor has succeeded so far, I even stopped believing in God. Fraudulent traditional healers failed too. So this is like a last shot at this, trying to find one, or some help.

If you do give a hoot about justice, help a brother out.
 
Sioni hilo kama ni possible. Kwa mungu kulifeli.

Pia yayo hayo majini yalitoa kejeli kuwa sina mungu during that period. hii i suspected ilikua ni order ya aliyezituma kwani nilingamua majini husoma akili zako zote hata memories, including vitu hungewai kumbuka. ni kama alijua nimeegemea kwa Mungu akaziambia vitu vya kusema.

Pastor walishindwa
 
Omba sana huko unapotaka kwenda ndo utapotea zaidi. Fanya ibada tuliza kichwa kua positive huyo aliekuzingua achana nae endelea na maisha ukimtegemea Mungu
Wewe ndo umepotea mkuu!! Hayo mambo ya kumtegemea mungu yana wenyewe! Amekwambia hakuna mchungaji alie faulu pia imani yake kwa hayo maswala ya kimungu imepotea we unamwambia at aendelee kumuamini et atapona! Nimeona watu wengi wa mawazo yako wakiteseka kwa mda mrefu xana na wengine hufikia mpaka kifo kwa matatizo ambayo mengine huweza tatulika kwa akili tu za kibinadamu na njia nyingine nyingine! Kiukwel mungu wao huwa sijui hawaoni wakiteseka maana huwa wanateseka xana!

Axa mtu unakuta kapatwa na tatizo akiwa angali kijana tuseme kwenye umri wa miaka 25 kwa kumtegemea kwake mungu kama mkombozi wa matatizo yake unakuta anagotta 70 still bado ana lilelile tatizo linamsumbua kwa umri kama huu! Anakuwa ame expire maana hawezi fanya mambo kama vijana wafanyavyo hata endapi akipona katika umri huu hakutakuwa na maana yeyote maana bado ataendelea kuwa tegemezi. Sasa unakuja kujiuliza iv huyu mtu angelikwenda kutumia njia flani ya utatuzi wa tatizo tangu alipokumbwa na hili si angekuwa kesha pona wakati alipokuwa kijana?

Na mpaka sasa angekuwa kesha fanya mambo mengi sana katika ujana wake ikiwamo maendeleo ya kimaisha xaxa huku uzeeni mungu anaemwabudu alikusudia kitu gani kumponya wakati huu!? Wakati huo huo biblia inasema yeye ni wa kututakia mema siku zote. My point ni kwamba mwache kamanda aendelee fightia njia mbadala kutatua tatizo na naamini atafanikiwa tu.
 
sidhani healers wanahitaji imani, pia skuli si hoja kwani sie mimi wa kwanza kuingia huko, mimi katoka kenya if that helps. lakini huko watu ni wanafiki zaidi, wanayafanya haya mambo ila ukiulizia wanajifanya judgy na very holy
 
Ukipuliza bangi, uku una stress za ajila hii ndo lugha unayoandika, pole Mkuu.
jamaa, nilikoseshwa ajira na aliyeniroga ingawa sasa najichumia ya kujituma

walivonifanya ni kuniparalyze mikono for two weeks, kuogaa shida, kula shida, kuvaa shida, ilibidi nifanyiwe vitu vyote!! mikono pia ilikuwa inatoa joto. mengine yalikuwa MADHARAU kwani yalikua mambo repetitive, ni kama anaona raha kuyafanya

nimeona nyuzi kadhaa hapa na naona kweli wenye dua wengi
 
Wewe ndo umepotea mkuu!! Hayo mambo ya kumtegemea mungu yana wenyewe! Amekwambia hakuna mchungaji alie faulu pia imani yake kwa hayo maswala ya kimungu imepotea we unamwambia at aendelee kumuamini et atapona! Nimeona watu wengi wa mawazo yako wakiteseka kwa mda mrefu xana na wengine hufikia mpaka kifo kwa matatizo ambayo mengine huweza tatulika kwa akili tu za kibinadamu na njia nyingine nyingine! Kiukwel mungu wao huwa sijui hawaoni wakiteseka maana huwa wanateseka xana!

Axa mtu unakuta kapatwa na tatizo akiwa angali kijana tuseme kwenye umri wa miaka 25 kwa kumtegemea kwake mungu kama mkombozi wa matatizo yake unakuta anagotta 70 still bado ana lilelile tatizo linamsumbua kwa umri kama huu! Anakuwa ame expire maana hawezi fanya mambo kama vijana wafanyavyo hata endapi akipona katika umri huu hakutakuwa na maana yeyote maana bado ataendelea kuwa tegemezi. Sasa unakuja kujiuliza iv huyu mtu angelikwenda kutumia njia flani ya utatuzi wa tatizo tangu alipokumbwa na hili si angekuwa kesha pona wakati alipokuwa kijana?

Na mpaka sasa angekuwa kesha fanya mambo mengi sana katika ujana wake ikiwamo maendeleo ya kimaisha xaxa huku uzeeni mungu anaemwabudu alikusudia kitu gani kumponya wakati huu!? Wakati huo huo biblia inasema yeye ni wa kututakia mema siku zote. My point ni kwamba mwache kamanda aendelee fightia njia mbadala kutatua tatizo na naamini atafanikiwa tu.
Haya mambo nayaongelea kwa experience situation kama yake na mimi ilinikuta mwaka jana ........kwenda kwa wachungaji haisaidii kama wewe mwenyewe ndani Imani imekufa......hata mimi tulizunguka huko kwa wachungaji karibia wote walishindwa na hio ni kutokana na mimi mwenyewe sikua mtu wa imani kabisa.........kabla ya hilo tukio hata kwenda kanisani ilikua kwa shida........baadae nikapata muamko kutoka ndani yangu mwenyewe na wala sio kwenda kwa wachungaji.......mimi ni mkatoliki nikaanza rozali kila siku na novena baadhi ya siku na nilikua nasali kutoka moyoni kabisa nikiamini....baada ya muda mambo yakaanza kukaa sawa na pia inabidi uweze ku control mawazo yako sana usifikirie mavitu negative kwa sana mda mwingi jaribu kujiweka katika hali ya kua positive maana kama alivyosema namna unavyowaza ndo hayo majini pia unaweza ukayaongezea nguvu ama kuyapunguza......mimi nilitupiwa majini mwaka jana kwa ugomvi tu wa kwenye biashara na mpaka nikawa sawa sikumjua mganga yeyote
 
Back
Top Bottom