BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 422
- 1,049
Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi dhidi ya mtu mwingine ni kosa.
Aliyefanya hivyo anatenda kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo gerezani inachoweza kufika miaka saba na kuendelea.
Aliyefanya hivyo anatenda kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo gerezani inachoweza kufika miaka saba na kuendelea.