Inaonekana huko Pangani kuna uchawi mkali sana

Kabla uje JF hakikisha unapata kiamsha kinywa mkuu....natumai akili yako iko sawa lakini.
 
Nachojua waganga wapo kila sehemu ila wametofautiana dawa/nguvu
Huwezi ukaenda kwa mganga yeyote tu ukamwambia akupe dawa ya utajiri,
wapo waganga wakali/ wakawaida na wakawaida sana.
 
Uko sahihi kabisa,kwa mtu yeyote ambae hamini hii mambo aende akaishi Pangani, lakini unaweza pia usiyaone kama hujayatafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom