Watanzania kuendelea kumtukuza Hayati Magufuli kama si uchawi basi tuseme nini?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,646
35,981
Habari za usiku wazee!

Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Je, huu sio uchawi?
Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na kukusanya pesa kwa kutumia bunduki lakini hajaifikia rekodi ya Samia. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Huu nao ni uchawi.

Ustawi wa jamii umetulia
Watumishi tumepandishwa madaraja na mwezi huu tunapokea mshahara mwingine.
Lakini cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.
Huu ni ujuha na uchawi.

Uhuru wa habari.
Sote ni mashahidi, wakati wa Magufuli hakuna TV ya hapa nchini iliyoweza kufanya mahojiano na mwanasiasa wa upinzani . Hakuna tv ya Kibongo iliyorusha hata dk 3 za mkutano wa Tundu Lissu. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Sasa hivi hata mitaani kuna pesa angalau kuliko kipindi cha Magufuli ila wananchi hao hao wamesahau ukata wa kipindi cha Magufuli, wanaanza kumtukuza Magufuli

Huu ni uchawi sio bure
 
Viongozi wa Kiislam wana nafuu sana.

Samahani kama religious people mtakeleka lakini huu ndio ukweli
 
Kwa kweli ni uchawi, na kubwa zaidi ni ujinga na zaidi ni upumbavu. Umesema yote mkuu, sina Cha kuongeza
 
Ni kichaa tu ndo anaweza akambeza huyu mwamba aliyelala umauti pale CHATO
 
Dah.... Kama Sir100 mwenyewe kakiri hadharani kuteseka na sauti yake....wewe ni Nani hasa Hadi usiteseke? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Habari za usiku wazee!

Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Je, huu sio uchawi?
Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na kukusanya pesa kwa kutumia bunduki lakini hajaifikia rekodi ya Samia. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Huu nao ni uchawi.

Ustawi wa jamii umetulia
Watumishi tumepandishwa madaraja na mwezi huu tunapokea mshahara mwingine.
Lakini cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.
Huu ni ujuha na uchawi.

Uhuru wa habari.
Sote ni mashahidi, wakati wa Magufuli hakuna TV ya hapa nchini iliyoweza kufanya mahojiano na mwanasiasa wa upinzani . Hakuna tv ya Kibongo iliyorusha hata dk 3 za mkutano wa Tundu Lissu. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Sasa hivi hata mitaani kuna pesa angalau kuliko kipindi cha Magufuli ila wananchi hao hao wamesahau ukata wa kipindi cha Magufuli, wanaanza kumtukuza Magufuli

Huu ni uchawi sio bure
Ubongo ni mdogo sana kung'amua dhamira ya MAGUFULI
 
Huu ni uchawi

aisee kweli magufuli alikuwa mbaya,petroli tulinunua 1600,leo 3000..daladala tulilipa 750,leo 1100/,,,tanesco kuingiza umeme 27000,leo 321000/,new salender bridge,busisi bridge,rufiji stigler goji,hakuna cha unanijua mimi nani?,ujambazi,panya road havikuwepo,nidhamu ya kazi serikalini,makusanyo ya serikali kulipia ni benki taasisi zote na yaingie kwenye akaunti moja tu,makusanyo ya mali za ccm yote yaingie akaunti moja tu,malipo kwa control namba tu,KWELI ALIKUWA MBAYA SANA.
 
Habari za usiku wazee!

Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Je, huu sio uchawi?
Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na kukusanya pesa kwa kutumia bunduki lakini hajaifikia rekodi ya Samia. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Huu nao ni uchawi.

Ustawi wa jamii umetulia
Watumishi tumepandishwa madaraja na mwezi huu tunapokea mshahara mwingine.
Lakini cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.
Huu ni ujuha na uchawi.

Uhuru wa habari.
Sote ni mashahidi, wakati wa Magufuli hakuna TV ya hapa nchini iliyoweza kufanya mahojiano na mwanasiasa wa upinzani . Hakuna tv ya Kibongo iliyorusha hata dk 3 za mkutano wa Tundu Lissu. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Sasa hivi hata mitaani kuna pesa angalau kuliko kipindi cha Magufuli ila wananchi hao hao wamesahau ukata wa kipindi cha Magufuli, wanaanza kumtukuza Magufuli

Huu ni uchawi sio bure
Unateseka ukiwa wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom