uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha: Kuna uchafuzi mkubwa wa mazingira unafanyika maeneo ya Friends Conner na Soko la Samunge

    Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko mbele ya kituo cha kurekebisha tabia za watoto(magereza ya watoto Arusha) wapo watu wanaofanyia...
  2. JamiiForums Tanzania Kagera: Yanayojiri Uchaguzi CHADEMA Bukoba kanda ya Victoria

    Update. Matokeo yalitangazwa usiku. Wenje alitangazwa mshindi. Hali ilivyokuwa tazama hapa https://www.youtube.com/live/mVv2HX9_cSM?si=epq5lcKJWCW9ZQPC ........... UPDATE: Saa 4:04PM Breaking News: John Pambalu na timu ya watu wengine kama saba hivi wametoka katika ukumbi wa mkutano na...
  3. JamiiForums Tanzania Points 10 za ujenzi: Uchaguzi wa rangi

    MAKALA YA 10 Karibuni katika Makala pendwa ambapo tunajadili mambo mbalimbali kuhusiana na ujenzi. Leo tuangazie kwenye kipengele cha Uchaguzi wa rangi(Colour) ya matilio ya kumalizia/finishing jengo Lako. 1.RANGI : ni ule ubainifu au ujuaji wa miale ya mwangaza inapoingia katika kitu fulani...
  4. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni chama kisicho heshimu hata uwepo wa viongozi wake wa ngazi za juu,ni chama ambacho kinawakatisha na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunatamani Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa kufanyika kwa njia ya mtanado (Smart Vote Card)

    Tanzania Tuitakayo-Dira: Tunatamani uchaguzi mkuu na serikali za mitaa kufanyika kwa njia mtandao (smart votecard) Nini kifanyike kufikia njia ya usajili wa wapiga kura kwa njia ya mtandao, nirahisi sana Kanuni za uchaguzi chini ya tume ya taifa ya uchaguzi tanzania zinamtaka mwananchi/mpiga...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Eric Garcetti: Ni jambo la kufurahisha kuona Demokrasia kubwa zaidi duniani ikifanya kupitia uchaguzi wa India

    Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI): Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo. Akiwa mwangalizi kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Biden kushinda tena uchaguzi wa Marekani

    November Biden na Trump wanaingia tena kwenye Uchaguzi wa Uraisi kama Wagombea kwenye vyama vyao. Uchaguzi wa 2020, Biden alimshinda Trump kwa kura nyingi tu. Trump alikuwa raisi wa muhula mmoja Safari hii wanakutana tena na Biden bado anaonekana kumshinda Trump. Takwimu zinaonesha hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Je, hili Jimbo nani aliibuka mshindi?

    Angalia hii video ukifika mwisho tushauriane on-line.
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  10. JamiiForums Tanzania Iran: Uchaguzi Mkuu wa kumpata Rais mpya kufanyika Juni 28, 2024

    Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne. =================== Iran on Monday declared that it would be holding an early presidential election on...
  11. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mkubali msikubali Uchaguzi wa 2024/25 hautakuwa huru na haki

    Kuna dalili zimeanza kujitokeza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wabunge, madiwani na Rais 2025 kutokuwa huru na haki. Hii ni kutokana na ushahidi wa chaguzi ndogo zilizofanyika hivi karibuni kulalamikiwa na ACT wazalendo na hata kususia uchaguzi uliofanyika mwezi huu Zanzibar. Hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi. Mathalani, kwenye nafasi ya mgombea wa CCM, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya CCM, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na...
  13. JamiiForums Tanzania Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

    Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 nini kifanyike ili uchaguzi uwe huru na wa haki

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha. (2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
  15. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

    Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa kanda CHADEMA, wajue waliofanikiwa kupenya

    Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani, yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo. Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa kuhusu rushwa inayotumika kutoka vyama hasimu nao, makamu mwenyekiti wao ameongoza vita ya kukataa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Mwaka 2024 na Katiba inachosema kipi ni sahihi?

    Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je, ni kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 bila Katiba mpya ni mwendelezo wa kuchafua uchaguzi kama 2019

    Wakuu habari za wakati. Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka vikwazo kwa wagombea wasiotokana na CC kwa nafasi zote. Wakurugenzi wa Halmashauri walishirikiana na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri wa Serikali: Uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho

    Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…