uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 - sera (tutawainua kiuchumi na kifikra)

    MAPENDEKEZO KUHUSU SERA NA KAULI MBIU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA - 2024 MKOA WA DAR ES SALAAM ( WILAYA YA KINONDONI ) Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA PENDEKEZO LA KAULI MBIU "TUTAWAINUA WANACHI KIUCHUMI NA KIFIKRA" Mapendekezo yatakuja zaidi kwa maana ya matamshi. MANTIKI YA...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025, Wananchi mkatae kuwa misukule ya wabunge wasiofanya wajibu wao mpaka wakikaribia uchaguzi

    Tufike wakati tuseme imetosha sasa. Jana kwenye kikao cha Bunge nimewanukuu wa Bunge watatu wakililia barabara na wengine kusema, Mheshimiwa Waziri, wananchi tumewafanya kama misukule, hao ndio wanaturudisha bungeni sasa. Tushafanya nyimbo kila ukikaribia uchaguzi tunawakimbilia. Tukipata...
  3. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana, Kama uchaguzi sio tume, basi wapinzani wapewe nafasi ya kuunda tume ya uchaguzi

    Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko. Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi. Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

    Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
  5. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tusitegemee wingi wa watu kwenye mikutano Uchaguzi Mkuu ujao

    Kutokana na hali ya ukuaji wa matumizi makubwa ya mitandao habari zimekuwa zinafika kwa wakati. Hali hii mpaka tufike Uchaguzi Mkuu sidhani kama nyomi zile tulizoziona chaguzi zilizopita zitaweza kuamua nani anakubalika au nani hakubaliki. Hii nimetoa kama angalizo kwa wale jamaa wakijani...
  6. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Tume ya Taifa ya Uchaguzi haina maisha marefu, itavunjwa kabla ya 2030

    Hili ni bandiko la utabiri, Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030. Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi mengine ya muhimu tofauti na kupiga kura, lakini NIDA ndio habari ya mjini yaani ni kama maji lazima...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbukizi: Viongozi Tabora CHADEMA walizichapa kisa uchaguzi

    Tukio hili lilitokea November 17, 2023, lakini limeibuliwa jana 4/5/2024 kama tukio jipya. Je, walioibua tukio hili na kusema ni ya karibuni walikuwa na nia gani? ===== Katibu wa baraza la vijana wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA BAVICHA Mkoa wa Tabora amezuiliwa kufanya mkutano...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bw. Felex G. Kashindye anayetuhumiwa kugawa pesa kwenye uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Kusini ni nani?

    Ukiwa Tunduma unapata taarifa kwamba tuhuma zilizotolewa na Lisu kuhusu vita ya rushwa kwenye uchaguzi zimetokana na kusambaa kwa taarifa za mfanyabiashara anayejiita Felex Kashindye anayedaiwa kuzunguka kuwatafuta wajumbe na kuwaahidi mgawo. Lengo kubwa na mtu huyu na chanzo cha fedha...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa na uchaguzi wa CHADEMA

    Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja alikusudia nini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutokana na Vita vya Gaza: Uchaguzi utakuwa mgumu kwa wapinzani 2025, CHADEMA ijpange

    Tumezoea mataifa makubwa kama MAREKANI inapokaribia uchaguzi wakati wa Uchaguzi kuingilia kati na kutoa statement mbali mbali na kwa kiasi inasaidia watawala kupunguza kasi dhidi ya upinzani. lakini kutokana na ukandamizaji wanafunzi huko amerika na Polisi kutumia nguvu nyingi kinyume ca...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kugawanyika kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha. Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mmojawapo wa waasisi wa chama hicho, Mwalimu Julius Nyerere alisema " CCM imegeuka kuwa kama kokoro, inabeba kila...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema na CCM msituhamishie kwenye Muungano Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi

    Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran. Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye bandari sasa dira inaonyesha mnatupekecha kwenye Muungano. Uchaguzi umebakia miezi tu ,hatuoni fununu...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Zitto: Uchaguzi wa 2024 unaweza kusimamiwa na Chombo ambacho hakipo Kisheria

    Mwanasiasa wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi imefuta Sheria zote za uchaguzi wa zamani na hivyo TAMISEMI imefutwa rasmi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Amesema “Sheria ya Uchaguzi bado haijatungwa, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa uchaguzi wa 2024...
  17. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandalizi ya kushinda uchaguzi

    MAANDALIZI YA KUSHINDA UCHAGUZI. Na Comrade Ally Maftah Uchaguzi ni mchakato unaohitaji maandalizi ya muda mrefu yenye umakini mkubwa, maandalizi hayo yanahusisha kujenga jumuia inayokupa nguvu kifikra na kiuchumi, vifuatavyo ni vitu muhimu vya kuzingatia katika kujenga ushawishi 1. Jenga...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani: Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia wakati wa Uchaguzi Mkuu 2024 na 2025

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema katika uchaguzi ujao ukiwemo wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia ili kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa Huru na Haki huku Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura akisema wako tayari...
  19. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Hoja Sita za Kutaka Mabadiliko ya Mifumo ya Uchaguzi, Haki na Kulinda Rasilimali za Nchi

    Uchambuzi wa ACT Wazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25. Utangulizi. Tarehe 29 April 2024 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bunge liliijadili na kuidhinisha kiasi cha Shilingi Bilioni...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Yaliyotokea Uchaguzi wa 2019 na 2020 yakitokea tena Uchaguzi wa 2025 itakuwa ni mwanzo wa Vurugu

    Kongamano la Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections), linafanyika kwenye Ukumbi wa New Dodoma Hoteli, leo Aprili 30, 2024 Baadhi ya Washiriki na ambao...
Back
Top Bottom