uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa AZAKI katika mchakato wa uchaguzi, THRDC yatoa tamko

    May 18, 2020 Onesmo Ole Ngurumwa mratibu wa asasi za kiraia. Mwaka 2015 Asasi za kiraia zilishiriki kwa ukamilifu kabisa kutoa elimu ya uraia kupitia TWAWEZA, REDET UDSM, TEMCO , vyombo vya habari AJM , LHRC , Taasisi za Dini , Polisi n.k Mwaka 2020 uchaguzi unakaribia kuna changamoto kubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nawahurumia sana waziri wa afya Ummy Mwalimu na waziri wa Sukari Innocent Bashungwa kwa sababu huu ni mwaka wa uchaguzi!

    Unaweza usielewe sasa lakini huko mbele ya safari utaelewa tu, hawa mawaziri wawili wamekalia kuti kavu. Katikati ya Corona sukari imeadimika madukani watu wanalazimika kusongamana bila kupenda wakiitafuta sukari. Sisi tulioishi wakati wa vita vya Kagera tunaamini Corona ni vita na hali ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cecil Mwambe ameidhihirishia dunia udhaifu mkubwa wa Tume ya Uchaguzi

    Tume ya Uchaguzi ( NEC) ndio husimamia na kuendesha chaguzi za Rais, wabunge na madiwani. Vyama vya siasa ni wadhamini tu wa wagombea ambao kwa mujibu wa katiba ni lazima wawe wanachama wa vyama vya siasa. Bunge kama muhimili ni chombo cha Wananchi ambacho hupokea majina ya wabunge ama wa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Harakati za uchaguzi mkuu 2020 majimboni, Ukerewe, Mwanza

    Habari wana bodi, Baada ya makala kadhaa za harakati za viongozi na vigogo katika awamu hii ya 5 jimboni Iramba leo macho yangu nayaelekeza Jimboni Ukerewe, hili n jimbo toka mkoa wa Mwanza, ni miongoni mwa visiwa vinavyounda mkoa wa Mwanza. Ukerewe pamekuwa na mageuzi makubwa kisiasa kwa kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi, Je Chadema itweza kuishi bila ruzuku?

    Najiuliza hili suali sababu projections za wataalamu was siasa wanaona kama Chadema imeshakufa. Na kwenye uchaguzi ujao huenda isipate hata 5% ya kura zote za uchaguzi ili wapate ruzuku hata kidogo. Maana kila siku wanazidi kuumbuka na kukosa imani kwa wananchi. Hasa hii drama ya kutudanganya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe kila ukikaribia uchaguzi mkuu anaanza vituko? 2010 alimlazimisha Dkt. Slaa agombee urais 2015 akamleta Lowassa na sasa....!

    Ni jambo la kushangaza lakini siyo la kulidharau. Uchaguzi mkuu 2010 Mbowe alimlazimisha Dr Slaa agombee ubunge huku akijua wazi Slaa ana uhakika wa 99% kushinda ubunge wa karatu na 1% kushinda urais. Mwaka 2015 Wakati Dr Slaa ameshajiimarisha kwenye kinyang'anyiro cha urais kupitia UKAWA...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara hawakuficha sukari Ramadhani ya mwaka jana waje wafiche mwaka huu wa uchaguzi?

    Binafsi siamini kama mwezi huu wa Ramadan ndio sababu ya sukari kuhadimika madukani au kufichwa kama inavyodaiwa. Zimepita Ramadan nyingi tu hatujaona sukari ikiadimika kwanini iwe mwaka huu. Ilifika wakati Bara ilizuia sukari kutoka Zanzibar kwa sababu bara ilikuwa na Supply kubwa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mradi wa REA umeipatia CCM kura 50% kabla hata ya uchaguzi

    Kitendo cha serikali ya rais John Pombe Magufuli kuongeza pesa nyingi na kuwepo na usimamizi mzuri wa mradi wa REA tayari chama cha mapinduzi kimeshajizolea kura kwa 50% za urais hata kabla ya uchaguzi. Hii ni kwa sababu mpaka sasa ni 72% ya vijiji hapa Tanzania vimeshawekewa umeme. Nyumba za...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea uchaguzi mkuu: Rais Magufuli kulifunga Bunge Juni 30, Shughuli za Bunge kumalizika Mei 30

    Rais John Magufuli BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Kwa mujibu wa ratiba ya awali, Bunge la Jamhuri ya Muungano, lilipangwa kumaliza muda wake, tarehe 30 Juni 2020. Kwa mujibu wa taarifa hiyo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi imepita vizuri sana! Manyanyaso kwa wafanyakazi yataongezeka zaidi baada ya Uchaguzi!

    Hapo zamani na pengine hata sasa jamii nyingi za Kiafrika watoto walikuwa wakizuiwa kula nyama ya ubongo - wanaopaswa kula ni watu wazima tu - yaani katika familia ni baba tu. Kwa kweli mpaka sasa naona ndivyo ilivyo sehemu nyingi - uhakika kabisa baadhi ya wazee kijijini kwangu Idukilo baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Asante DED kutufumbua macho: Alichofanya DED wa Ubungo Beatrice Rest Dominic ndicho kitakachofanyika wakati wa uchaguzi Mkuu

    Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane kwenye uchaguzi au tuongeze muda viongozi waliopo

    Makatibu Tawala wapya walioteuliwa ni kama ifuatavyo; 1.Arusha - Richard Kwitega 2.Geita - Selestine Muhochi Gesimba 3.Kagera - Armatus C. Msole 4.Kilimanjaro - Eng. Aisha Amour 5.Pwani - Zuberi Mhina Samataba 6.Shinyanga - Albert Gabriel Msovela...
  14. JamiiForums Tanzania COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480. Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Burundi: Kampeni za uchaguzi zaanza rasmi nchini

    Kampeni za uchaguzi wa urais utakaofanyika Mei 20 zimeanza leo, Aprili 28 nchini Burundi. Mgombea urais kupitia chama tawala CNND-FDD, Evariste Ndayishimiyena na Agathon Rwasa wa chama cha upinzani, CNL wamezindua kampeni zao Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (CEN), Pierre Claver Kazihise, amewaonya...
  16. JamiiForums Tanzania Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

    Wakuu, Huu ni Waraka namba moja wa chama. Bado ntaweka hapa namba mbili. Na nitakuwa na-update kila kinachojiri. Sisi tunahukumiwa kwa lipi? - Ndugu James Mbatia “Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu” Methali hii inajidhihirisha, kumezuka shutuma kubwa dhidi yetu ya kile wanachokiita...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 TLS kuvamiwa na AG: Uchaguzi wa Rais wao wazua sintofahamu

    Katika hali isiyo ya kawaida , tangu mwaka 1928 TLS ilipoanzishwa, by the ikiitwa Tanganyika na mpaka leo inaitwa Tanganyika Law Society[huwezi kuita Tanzania law society kwakuwa kuna Zanzibar Law Socity] walikuwa na chaguzi za marais na ilikuwa ni kubembelezwa kuongoza chama. Mwaka 2012 CCM...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Tokea Tanzania ianzishe mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa rahisi kwa CCM na itashinda kwa 100% ngazi ya urais

    Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi. Ukaja uchaguzi wa mwaka 2000 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mimi Ni Mtanzania ila Trump akishindwa uchaguzi wa November, nitafurahi na kushangilia kuliko hata Wamarekani wenyewe

    Kwa kweli Huyu Trump tokea aingie madarakani amekuwa tishio kwenye mradi unafadhiliwa na Marekani katika Taasisi ninayofanyia kazi kwa Sasa, na Mara kadhaa ametishia kusitisha mradi huo ingawa tumekuwa tukiponea chupuchupu Tena kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Mimi Ni miongoni mwa watu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Upinzani utakavyoongezeka nguvu katika Uchaguzi ujao

    Mimi ni MCCM damu damu - na hata Idukilo wananijua. Tena wananijua sana - kuanzia wafanyakazi na hata wasio wafanyakazi. Nimejulikana sana kutokana kufanya biashara ya mazao na kukopesha watu wenye shida mbalimbali kwa riba nafuu. Kadri siku zinavyoenda naona dalili hata mimi mwenyewe naweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…