Picha: Zitto akiongoza harakati za kupigania uchaguzi huru na wa haki huko nchini Marekani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,993
144,329
"Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."

1580648622088.png

Hapo Toronto asisahau kufika ofisi za Barick wampatie mkataba walioingia na magufuri, bado watanzania tunaimani kubwa kwamba ndani ya mkataba huo uwezo wa serikali yetu kuliimamia kampuni hiyo umewekwa wazi, na pia, neno faida za kiuchumi limetafsiriwa sawasawa na ninamna gani serikali iliachichia karibia noa milioni 65 burebure
 
Kaenda marekani mbona yeye hajazuiwa..?
Agizo si la kila mtanzania au ni la kibaguzi..?
 
"Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."

View attachment 1344360

Huyu anajua watu wamepania kumtoa ndio maana anahangaika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Genge la wakora hilo lisikupe homa,hata maalim seif aliizunguka dunia akarudi ,sasa kahamia ACT kujalibisha kete ya mwisho
"Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."

View attachment 1344360

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni connection na uislamu, hili ndugu yangu naomba tusiliingize. Hakuna connection, andika tena na Neema ya Mungu ikutangulie

Kwa kuwa tu wewe hauoni haimaanishi kwamba kila mtu haoni!
 
Back
Top Bottom