Tetesi: Nafasi zote zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi za kusimamia Uchaguzi kushikwa na makada wa CCM!

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,480
30,152
Zimetolewa hadharani kwa kila mtanzania mwenye sifa, aombe nafasi hizo za muda za kusimamia uchaguzi hapo October 28 mwaka huu, lakini taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa nafasi hizo muhimu, ambazo ni za watanzania wote, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, hivi sasa hawa CCM, wamepanga kuwaweka makada wao wa CCM.

Mpango wa siri ulioandaliwa ni kuwa wajumbe wa CCM wa matawi mbalimvali nchini, wamepenyezewa taarifa za wao ndiyo wawalete hao makada wa CCM, ili wapitishwe.

Kwa maana nyingine ni kuwa ingawa hizo nafasi zimetangazwa "publically" lakini hakuna atakayeomba hata mmoja, ambaye hafahamiki itikadi yake, atakayepewa nafasi hizo, Bali hizo nafasi zimetengwa maalum kwa makada wa CCM pekee, ambao ndiyo watakaoonekana kiwa wame-qualify na kupewa nafasi hizo

Inaonekana dhahiri kuwa kwa mpango huo "mchafu" uliopangwa na hao NEC, ni kuwa wana mpango wa kuuvuruga uchaguzi huu
 
Watakuwa makafara ya ushindi wa CCM,Tundu lissu ameshasema mwaka huu hakuna utani,unasimamia uchaguzi harafu unafanya madudu ujue wananchi hawatavumilia hila ,watagawana nyama kisha unachemshwa watu wanakula na kunywa supu.
Hakika aliyeanza kula nyama ya mtu, hutaweza kuiacha!

Yaani hawa maccm, kwa namna walivyozoea kufanya kila aina ya uharamia, hawataacha kuendeleza kufanya uhalifu huo.
 
MUMEANZA KUTAPATAPAA NA MIPROPAGANDA YENU, UMEONA HILO TANGAZO LINAZUNGUMZIA WANACCM?? HII NI KWA WATANZANIA WOTE WENYE SIFA WATAPATA, TANGAZO NI LA NEC SIO CCM JAMANIII.
 
Nimekwambia kuwa nimepata habari from "realiable source" inaniambia kuwa lile tangazo la NEC, ni "bortion" tu, wakati mpango umesukwa ndani ya NEC, ya kuwaleta wakereketwa wa CCM pekee, kushika nafasi hizo za kusimamia chaguzi hizo!
 
Zimetolewa hadharani kwa kila mtanzania mwenye sifa, aombe nafasi hizo za muda za kusimamia uchaguzi hapo October 28 mwaka huu, lakini taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa nafasi hizo muhimu, ambazo ni za watanzania wote, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, hivi sasa hawa CCM, wamepanga kuwaweka makada wao wa CCM...
yaani wewe ni boya sana,yaani hao NEC waangaike na utopolo wenu huo,tulieni dawa iwaingie mmeanza kutapatapa na visingizio vya kipumbavu
 
Zimetolewa hadharani kwa kila mtanzania mwenye sifa, aombe nafasi hizo za muda za kusimamia uchaguzi hapo October 28 mwaka huu, lakini taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa nafasi hizo muhimu, ambazo ni za watanzania wote, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, hivi sasa hawa CCM, wamepanga kuwaweka makada wao wa CCM...
Sifa za kuomba nafasi hizo ziko wazi hakuna sifa ya kuw kada wa chama chochote Cha kisiasa lakini pia ujue mpaka muda huu kampeni naambo mengine ya uchaguzi yanakwenda vizuri kwa kazi nzuri iliyofanywa na inayoondelea kufanywa na Tume kwa hyo usigombanishe Tume na wananchi sisi wananchi tunaona watu wameomba bila kutakiwa hizo sifa za ukada unazosema. Unapotoa tuhuma halafu ukashindwa kuthibitisha Sasa na wewe ukiambiwa uthibitishe hili utaliweza? Tuache uchonganishi tufanye siasa za kistaarabu
 
Nimekwambia kuwa nimepata habari from "realiable source" inaniambia kuwa lile tangazo la NEC, ni "bortion" tu, wakati mpango umesukwa ndani ya NEC, ya kuwaleta wakereketwa wa CCM pekee, kushika nafasi hizo za kusimamia chaguzi hizo!
Sasa Kama ni bortion mbona watu wanaomba wanakubaliwa na michakato ya maombi yanaendelea? Acheni hizi siasa za hovyo
 
Sifa za kuomba nafasi hizo ziko wazi hakuna sifa ya kuw kada wa chama chochote Cha kisiasa lakini pia ujue mpaka muda huu kampeni naambo mengine ya uchaguzi yanakwenda vizuri kwa kazi nzuri iliyofanywa na inayoondelea kufanywa na Tume kwa hyo usigombanishe Tume na wananchi sisi wananchi tunaona watu wameomba bila kutakiwa hizo sifa za ukada unazosema. Unapotoa tuhuma halafu ukashindwa kuthibitisha Sasa na wewe ukiambiwa uthibitishe hili utaliweza? Tuache uchonganishi tufanye siasa za kistaarabu
Mbona unatoa povu hivyo?

Inaelekea dawa ishaanza kukuingia 😁 :p
 
Nimekwambia kuwa nimepata habari from "realiable source" inaniambia kuwa lile tangazo la NEC, ni "bortion" tu, wakati mpango umesukwa ndani ya NEC, ya kuwaleta wakereketwa wa CCM pekee, kushika nafasi hizo za kusimamia chaguzi hizo!
reliable source wap bhana .wewe unaleta uzushi.mim nimefanya sana hizo na sio kada mbona
 
Zimetolewa hadharani kwa kila mtanzania mwenye sifa, aombe nafasi hizo za muda za kusimamia uchaguzi hapo October 28 mwaka huu, lakini taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa nafasi hizo muhimu, ambazo ni za watanzania wote, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, hivi sasa hawa CCM, wamepanga kuwaweka makada wao wa CCM...
Hivi vituko wananchi walishavichokaga, leteni sera safi mbadala
 
Watakuwa makafara ya ushindi wa CCM,Tundu lissu ameshasema mwaka huu hakuna utani,unasimamia uchaguzi harafu unafanya madudu ujue wananchi hawatavumilia hila ,watagawana nyama kisha unachemshwa watu wanakula na kunywa supu.
Mpaka sasa mshashindwa na mnalitambua hilo, uthibitisho ni hizo kauli na vituko vingine
 
Mystery UVCCM hawataki kusikia habari za uongozi wa majimbo na kuwa viongozi wote watapigiwa kura. Wao wamezoea teuzi kwa malipo ya shikamoo mzee.
 
Back
Top Bottom