Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Hatimaye Mwenyekiti wa ZEC amethibitisha kuteuliwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar.
=====
ZEC YAMPITISHA MAALIM SEIF KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imempitisha Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif kuwa mgombea wa Urais baada...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa tarehe ya mwisho iliyopagwa kwajili ya kampuni ByateDace ya China kuuza programu nukushi ya Tiktok nchini humo haitaongezwa.
Trump ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kabla hajaondoka kwenda Michigan kuendelea na kampeni yake na...
ILEJE NA SONGWE TUMESHASHINDA KWA TECHNICALITIES, SASA TUNAENDA MOMBA........
Na Elius Ndabila
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, macho na masikio ya watanzania wote ni kuelekea OCTOBER 28 ni nani atashinda?
Lakini wakati Watanzania wanajiandaa kujua ni nani wataibuka kidedea kwenye uchaguzi...
UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI
Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
MTAZAMO TU
Kwa jinsi mambo yanavyoenda hadi muda huu inaonekana wazi CCM wamefeli plan zote A.B.C na extra plan D+E
Ukiangalia mikakati ovu ilopangwa kimantik inaonekana yote haipiti njia ilokusudiwa hii wasahili husema *KIFO CHA NYANI*
Tuangalie jinsi mipango ilivyosukwa miaka mtano nyuma...
1. ILANI YA CHAMA CHA NATIONAL CONVENTION FOR CONSTRUCTION AND REFORM (NCCR-Mageuzi) ITAKAYOTUMIKA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
UTANGULIZI:
Mabadiliko ndiyo kitu pekee kinachodumu, na hayaepukiki. Kasi ya mabadiliko ya leo yanatokana na teknolojia. Hivyo basi, kazi kubwa ya mwanadamu ni...
Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.
Kazi unayo Mwanaccm uliyetaka kubebwa.
===
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana siku ya Tarehe 10 September 2020 ilitoa ilitoa majibu ya rufaa zilizokatwa na Wagombea mbalimbali ambao waliondolewa awali.
Katika Jimbo la Muheza...
Kwa yanayoendelea sasa kuhusu kesi za uchaguzi na malalamiko mengine yanayohusiana na uchaguzi hasa kuhusu wagombea kuenguliwa,ni matokeo ya kuwa na sheria mbovu ya uchaguzi inayotoa mwanya wa wagombea kupita bila kupingwa huku Tume ya Uchaguzi ikiwa ndio alpha na omega katika kuamua nani...
Mwalimu Mwakasege leo ameendesha maombi rasmi ya kuibariki siku ya uchaguzi ( 28/10/2020) na kuwataka watanzania wote waibariki siku hiyo ili pasiwepo hila na udanganyifu wowote.
Mwakasege amesisitiza kuwa maombi hayo ya baraka yahusishe siku 15 za mchakato yaani siku 7 kabla ya uchaguzi, siku...
Huyu mzee amejitahidi kutoa somo kwa CCM juu ya kuwatumia wanafunzi kuongeza vichwa kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi mkuu.
Sasa kama wale wenye ma-PhD wanashindwa kuelewa hiyo sheria anayonukuu, kweli watatuletea maendelea wakati zaidi ya miaka 50 tunasuasua?
Jiulizeni kwanini Zambia Afrikan Neshino Konglesi kiliangushwa na wapinzani si malaika MCP. Malawi Konglesi Pati kiliangushwa na wapinzani na si malaika. KANU chama cha Jomo Kenyata pia kiliangushwa na wapinzani.
Tuanzie Malawi, Bakili Muluzi wa Unaitedi Democratik Fronti alimtoa Kamuzu Banda...
Wataulinda utawala wao kwa nguvu za dola.
Je, hawajiamini ushindani wa hoja?
Je, wamefanya makosa mengi?
Je, wamenyang'anya na kudhulumu sana?
Je, wanaogopa kupandishwa vizimbani?
Je, wanataka kupima nguvu za wananchi walio wengi ambao wapo wazi kuikataa CCM kwenye sanduku la kura?
Je...
Wapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
Ni dhahiri shahiri kwamba kutokana na mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 zinazoendelea Upinzani unakwenda kuendeleza kushindwa vibaya kwa mara nyingine. Sababu za kushindwa vibaya uchaguzi huu katika ngazi zote (Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani) ni nyingi ila mimi nitagusia chache...
Pia, soma Uchaguzi 2020 - Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
Na Bwanku M Bwanku
Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya wananchi kunadi sera na mipango yao ili wachaguliwe Oktoba 28
Kuelekea uchaguzi huu yako mambo ya...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) IWEKE HADHARANI MAJINA YA WAGOMBEA WETU WALIOKATA RUFAA
Chama cha ACT-Wazalendo kinaitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iweke hadharani orodha ya majina ya wagombea wetu wote wa Ubunge na udiwani ambao walikata rufaa kwake.
Hitaji hilo linatokana na taarifa ya...
Wapwa,
Tujadili, matumizi ya teknohama yanazidi kukua kila siku, teknohama imekuwa nyenzo kubwa ya uhuru wa mawasiliano na habari. Najaribu kufikiria vipi kama Tanzania kwa kujali umuhimu wa teknolojia, tukaamua kutumia camera kwenye vituo vya kupigia kura, je itasaidia kuongeza...
Kuna sababu zaidi ya 99% kua mgombea wa CCM amepewa ushindi na katiba ya JMT kwa sababu za msingi zifuatazo, labda wananchi waamue wenyewe kutokujali katiba hii.
SABABU ZENYEWE
1. Mwenyekiti wa CCM na mngombea wa Urais ndiye anayewateua mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na makamishna...
CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA
(CHAUMMA)
ILANI YA UCHAGUZI
(MANIFESTO)
JULY 2020
IMETOLEWA NA HAMASHAURI KUU YA TAIFA
CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA
MTAA WA KIJITONYAMA, KINONDONI DAR ES SALAAM
JULY .2020
YALIYOMO
1.0 Utangulizi 1
2.0 HALI YA NCHI 2020. 3
3.0 Ajenda zetu katika uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.