uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Jumapili, 25/10/2020, Kanisani kwetu tuliombwa kuimba wimbo wa Taifa kwa ajili ya uchaguzi wa kesho 28/10/2020

    Kabla ya kumaliza Misa Takatifu, Jumapili iliyopita ya tarehe 25/10/2020, baba padri alituomba tuimbe wimbo wa taifa kwa ajili ya uchaguzi wa 28/10/2020. Mimi niliingiwa na kigugumizi kwa sababu siamini kama uchaguzi utakuwa huru, haki na wazi. Niliamua kuusikiliza ule wimbo kwa makini na...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Tume ya Haki za binadamu kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

    Watanzania wote waliotimiza vigezo kwa mujibu wa sheria, wanatarajia kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani. Hatua hii muhimu imefikiwa baada ya kukamilika kwa mchakato wa miezi kadhaa uliohusisha hatua za uhuishaji wa madaftari ya kudumu...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Msikie 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach akituma salamu mahsusi kwa Dkt. Magufuli kuhusu Uchaguzi

    Wanabodi, Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana Benard Mwinuka, akituma salaam mahsus kwa JPM, wao pale Coco Beach, wanamwita Magufuli, Uncle Magu...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, CCM mnajifunza lolote toka Kenya tunapoelekea kwenye Uchaguzi 2020?

    Jirani zetu wa Kenya jana wakiongozwa na Rais Uhuru Mwigai Kenyatta wamezindua report yao ya BBI(Building Bridges Initiative)kwa kusudi la kuwaunganisha Wakenya na kuondoa Ubaguzi, ukabila na vurugu za Kisiasa hasa wakti wa vipindi vya Uchaguzi. Wakati hayo yakiendelea hapo Kenya, hapa kwetu...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kanisa Katoliki linawaalika Wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi ili washindi wapatikane kihalali!

    Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu. Naye Katibu wa baraza la maaskofu Dr Kitima amewaomba wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya...
  7. JamiiForums Tanzania Wawakilishi 1,257 Nchi nzima: Baada ya Uchaguzi Oktoba 28, tutarajie nini uwakilishi wa Wabunge?

    Habari Wana JF, Nimesukumwa Kuweka mawazo Yangu na kukusanya muongozo wa kumbukumbu ili iwe rahisi kupima ushindi haswa kwa watakaochaguliwa kutuwakilisha Bungeni. Bunge limekuwa likilaumiwa kuwa na mapungufu mengi ambayo mara nyingi huonyesha ni sabbat ya uwingi wa Watawala kwa wakabi hue CCM...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

    CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia. Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anatarajia kushinda uchaguzi wa jimbo

    MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2. Kubenea ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Oktoba 2020 wakati anazungumza na wanahabarii jijini Dar es Salaam, kuhusu mwenendo wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi juu ya kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020

    Baada ya kipindi cha kampeini kuisha yani kesho tarehe 27/10/2020 ni vyema sasa waandishi wa habari , wataalam wa mambo ya siasa , wadau wa maendeleo ni vyema sasa kuandaa kipindi maalum cha Televisheni juun ya tathimini ya kampeini toka zilipoanza , ziwe categorized kuanzia sera ya mgombea...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Arumeru: Mawakala wa CHAUMA bado wanasota Ofisi ya Mkurugenzi

    Mawakala wa CHAUMA bado wanasota ofisi ya DED ARUMERU. Siku ya kwanza waliambiwa fomu zimepotea. Baada ya muda kuongezwa sasa DED anadai mawakala wametoka wapi wakati chama hakina mgombea ubunge. Viongozi wametishiwa kuwekwa ndani. Mmoja aliyekuwa mbishi alikamatwa na kupelekwa polisi bahati...
  12. JamiiForums Tanzania Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya symbion. Aidha, balozi wa China nchini Tanzania amesema...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nalipongeza Kanisa moja Katoliki na lile Anglikana kwa kutojiingiza kwenye Siasa za Uchaguzi

    Nichukie fursa hii kulipongeza Kanisa moja takatifu Catholico na Apostoliko kwa kutojihusisha na siasa za uchaguzi na badala yake limekuwa likiwaombea viongozi wetu na taifa kwa ujumla. Nalipongeza sana Kanisa Katoliki na Anglikana kwa kusimama katika nafasi yake nyakati hizi. Na kipekee...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio inakwenda kushinda...
  15. JamiiForums Tanzania Leo Siku ya maombi kuombea uchaguzi na kumuombea mgombea wa urais

    Kwa kuwa leo ni siku maalum ya maombi kitaifa kuombea uchaguzi huu, nairejesha tena litania hii kwa ajili ya mafanikio kwa Taifa hili teule
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

    Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika. Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wiki ngumu na ya kihistoria kwa Tume ya Uchaguzi. Kumtangaza aliyeshindwa au aliyeshinda

    Hii ni wiki ngumu kwa NEC na Wasimamizi wao wa uchaguzi kwa ngazi ya majimbo hasa katika suala la utoaji wa matokeo. Kwa miaka kadhaa kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu kwamba Rais alisikika akiwaonya hawa anaowateua halafu asikie wamemtangaza mpinzani. Kwa upande wangu wasiwasi wangu uko...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mjadala mzuri wa uchaguzi 2020 unaendelea sasa hivi DW/ BBC inaonekana miundombinu haina mashiko kwa Wananchi wengi, kilio ugumu wa maisha chatawala

    Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa. Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mungu Tunaohubiri Amani Uchaguzi Mkuu, someni ISAYA 32:17

    Isaya 32:17 Nanukuu "Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele." Hili andiko kwenye Biblia Takatifu lipo wazi Mwenye Sikio la kusikilia na ASIKIE. cc:NEC MBARIKIWE
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

    Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa nafasi ya uraisi 15 huku wengine wakishindwa kufanya kampeni na wengine kujitoa na huyu Tundu Lissu kupata wafuasi wengi lakini wanaokwenda kumshangaa kupona kufa baada ya risasi 38 na 16 kumpata mwilini. Majority ya Watanzania wana imani kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…