uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Jimbo la Hai , mpeni Ubunge SHABAN MWANGA Uchaguzi wa 2025

    Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai. Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
  2. Vivax

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchaguzi vyuo vya afya

    Kuna tetesi kuwa majina ya form four wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya afya. Majina hayo niangalie kwenye link ipi? Saidia maskini
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini uchaguzi wa Turkey ni muhimu Duniani?

    Toka Turkey mwaka 2015 namba 106 kiuchumi katika nchi masikini za ulimwengu wa tatu hadi nchi za G20 bora kiuchumi duniani chini ya chama cha AKP chini ya uongozi wa Rais Recep Tayyip Erdoğan. Turkey imetoka kuwa nchi iliyoyokuwa imeelemewa na deni la taifa la kiasi cha dola 50 bilioni na...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Huku kulialia kwa Waitara ni 'Presha' za Uchaguzi Mkuu 2025

    Mjadala umeibuka kuhusu tabia ya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kulia kila anapopata changamoto za utatuzi wa kero zake za kibunge, ambapo baadhi ya wanasaikolojia na wataalamu wa sayansi ya siasa; wakitilia shaka mtindo huo. Hata hivyo, akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 10, 2023...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Uchaguzi ndani ya Chama umekaribia kila mtu mwenye Uwezo achukue fomu kugombea Nafasi yoyote

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu amewataka Wanachama wa CHADEMA wenye Uwezo, Nia na Karama ya Uongozi asisite kuchukua Fomu na kugombea Nafasi yoyote. Mwalimu alikuwa anaendesha Seminar ya Chama huko Pemba. Kumekucha!
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

    Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Tutaandamana leo hadi Ikulu, Tume ya Uchaguzi na Ofisi ya Hazina

    Kiongozi huyo wa Upinzani unaoongozwa na Muungano wa Azimio la Umoja One, amesema maandamano ya kupinga Utawala wa Rais Ruto na Serikali yake yatafanyika leo Mei 2, 2023 licha ya Polisi kukataa kuwapa kibali. Odinga amesema watawasilisha Pingamizi kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022, Malalamiko...
  8. TPP

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na uchaguzi ndani ya China (China's Meritocracy)

    China has a unique system of selection and election of officials, which Canadian scholar Daniel A. Bell has described as "political meritocracy." Unlike Western models, China's selection of officials is focused on ability and merit. "Political meritocracy" is the idea that the political system...
  9. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Mswahili afunguka. Kwanini CCM kila siku na sio upinzani? Mazito 4 yafichuka

    Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi: Msimamizi: ninaweza kufahamu kuna vyama vingapi vya siasa nchini Tanzania? MSWAHILI: Habari, Tanzania ina vyama vingi vya siasa, lakini muhimu...
  10. Ahmed Omar_

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde mshikamano wa Wazanzibari: Tunataraji ACT Wazalendo Hawatasutwa na Dhamira yao katika Uchaguzi wa 2025

    Mapambano ya kupigania Uhuru wa Zanzibar yalisababisha Zanzibar kufuata mikondo ya siasa za kikabila ambayo ni ngoma iliyopigwa na kuimbwa vyema na wakoloni wa Kiingereza na kuwahemua Wazee wetu hadi wakaifahamu barabara kuicheza na kuiimba. Wenye asili ya Kiarabu waliunga mkono zaidi chama cha...
  11. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zitaacha ubadhirifu wa fedha za umma pale wakurugenzi hawatakuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu

    Kila mwaka hawa wakurugenzi walio wengi wanakutwa na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma kwenye halmashauri zao. Swali: jeuri hii wanaipata wapi? Na aliyewateua mbona kama anawagwaya hivi? Nionavyo mimi ni kuwa wakiondolewa kwenye kusimamia uchaguzi mkuu, ndipo tatizo hili litapungua au...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uhuru, Tanzania imewahi kuwa na uchaguzi mkuu HURU na HAKI?

    Tuanzie kwa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere hadi uchaguzi wa 2025. Ni uchaguzi upi ambao ulikuwa huru na haki? Ikumbukwe enzi za Mwalimu, uchaguzi wa Rais ilikuwa ni Nyerere against kivuli. Hata baada ya vyama vingi hakujawahi kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI ambapo kikundi cha waratibu wa wizi...
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI TLS 2023: Kwanini ni wakati wa Sungusia

    Kwa heshma na taadhima naomba kura kwa Harold Sungusia. Ni wakati wa TLS kutoka kwenye mkwamo na kurudi kutumikia wanachama. Sungusia ni nani? Mbali na uzoefu wake wa zaidi ya miaka 20 kwenye uwakili na kufanya kazi na mashirika mengi ya ndani na kimataifa, Sungusia ni mtu mwenye uzoefu mkubwa...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu ujao kufanyika mwaka 2026?

    Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi kufumuliwa

    Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

    Amekiri Freeman Mbowe kuwa wapo makamanda wengi waandamizi kwa sasa hawamwelewi. Msimamo wetu ulikuwa mwema sana kabla ya hoja ya maridhiano. Kwamba bila katiba mpya hakuna uchaguzi. Hivi kweli uchaguzi utakuwaje wa haki bila ya kuwapo katiba mpya yenye tume huru ndani yake? Kwamba tumekubali...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Siasa za maandamano zinataka kuchukua nafasi ya uchaguzi

    Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilson Mahera akabidhi ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa NEC, Ramadhan Kailima

    Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tupate Katiba Mpya kabla ya uchaguzi 2025 ili waliojenga madarasa hewa kwa trilioni 1.3 waburutwe mahakamani

    Nimefurahi sana kusikia soon tutapata katiba mpya. Hii ina maanisha tutakuwa na katiba ambayo itatupa mamlaka wanananchi. Kwa katiba hii kama itasikia maoni ya wananchi basi tutakuwa na katiba ambayo itwajibisha wananchi. Tutakuwa na katiba ambayo rais na mawaziri wakizingua kwa ubadhirifu...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa yavuruga Uchaguzi wa Mwenyekiti mpya TLP

    Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano mabaya baina ya wagombea. Machi 5 Halmashauri Kuu ya TLP ilipitisha majina ya wagombea watano...
Back
Top Bottom