uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uhuru, Tanzania imewahi kuwa na uchaguzi mkuu HURU na HAKI?

    Tuanzie kwa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere hadi uchaguzi wa 2025. Ni uchaguzi upi ambao ulikuwa huru na haki? Ikumbukwe enzi za Mwalimu, uchaguzi wa Rais ilikuwa ni Nyerere against kivuli. Hata baada ya vyama vingi hakujawahi kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI ambapo kikundi cha waratibu wa wizi...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI TLS 2023: Kwanini ni wakati wa Sungusia

    Kwa heshma na taadhima naomba kura kwa Harold Sungusia. Ni wakati wa TLS kutoka kwenye mkwamo na kurudi kutumikia wanachama. Sungusia ni nani? Mbali na uzoefu wake wa zaidi ya miaka 20 kwenye uwakili na kufanya kazi na mashirika mengi ya ndani na kimataifa, Sungusia ni mtu mwenye uzoefu mkubwa...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu ujao kufanyika mwaka 2026?

    Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi kufumuliwa

    Tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi itafumuliwa kwenda sawana mazingira ya Sasa anesema waziri washeria na katiba
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

    Amekiri Freeman Mbowe kuwa wapo makamanda wengi waandamizi kwa sasa hawamwelewi. Msimamo wetu ulikuwa mwema sana kabla ya hoja ya maridhiano. Kwamba bila katiba mpya hakuna uchaguzi. Hivi kweli uchaguzi utakuwaje wa haki bila ya kuwapo katiba mpya yenye tume huru ndani yake? Kwamba tumekubali...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Siasa za maandamano zinataka kuchukua nafasi ya uchaguzi

    Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilson Mahera akabidhi ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa NEC, Ramadhan Kailima

    Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tupate Katiba Mpya kabla ya uchaguzi 2025 ili waliojenga madarasa hewa kwa trilioni 1.3 waburutwe mahakamani

    Nimefurahi sana kusikia soon tutapata katiba mpya. Hii ina maanisha tutakuwa na katiba ambayo itatupa mamlaka wanananchi. Kwa katiba hii kama itasikia maoni ya wananchi basi tutakuwa na katiba ambayo itwajibisha wananchi. Tutakuwa na katiba ambayo rais na mawaziri wakizingua kwa ubadhirifu...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa yavuruga Uchaguzi wa Mwenyekiti mpya TLP

    Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano mabaya baina ya wagombea. Machi 5 Halmashauri Kuu ya TLP ilipitisha majina ya wagombea watano...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasema Rais Samia anatosha na hakuna sababu ya kufanyika kwa uchaguzi wa Rais 2025

    Ndugu zangu watanzania, sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi adai machafuko ya M23 yatavuruga Uchaguzi Mkuu Congo

    JF SUMMARY Rais #FelixTshisekedi ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (OHCHR) kuwa Vita inayoendelea Mashariki mwa DRC inahatarisha mchakato wa Uchaguzi wa Desemba 20, 2023 kutokana Watu wengi kuyakimbia makazi huku Tume ikishindwa kuyafikia baadhi ya maeneo. Tume ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Inaonekana sana Dkt.Tulia Ackson anaogopa sana Uchaguzi. 2025 hakuna mbeleko itakuwaje?

    Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025. Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni. Hata leo mmemsikia. Tar 5 februari akiwa Mwanza kwenye sherehe za Chama cha mapinduzi yeye pekee ndie...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya uchaguzi Nigeria, Ijue Nigeria kwa jinsi makundi ya ukanda, udini na ukabila yanavyopewa uzito kwenye siasa

    >> MOVED
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanasiasa akutwa na Bilioni 1.16 taslim wakati wa uchaguzi

    Chinyere Igwe ameshikiliwa akituhumiwa kutakatisha fedha hizo ambazo ni Dola 500,000 zilizokutwa kwenye gari lake muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu. Polisi wamesema Igwe ni Mwanasiasa wa upinzani wa Chama cha PDP ambaye pia ni Mbunge amekutwa pia na orodha ya majina ya watu ambao alitakiwa...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao utakuwa mwepesi sana kwa CCM tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini

    Ndugu zangu watanzania, Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Jeshi lakanusha tuhuma za kufanya mapinduzi kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Jeshi la Nigeria limejibu tuhuma hizo zilizotolewa na Chama tawala kuwa kuna mpango wa kuvuruga Uchaguzi wa Urais unatarajiwa kufanyika Februari 25, 2023 Chama cha APC kilidai kuna viongozi wa juu wa Jeshi walikutana kwa siri na mgombea Urais wa Chama Kikuu cha upinzani, PDP, Atiku Abubakar...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Vyuo Vikuu vyatakiwa kufungwa kupisha Uchaguzi Mkuu

    Tume ya Vyuo Vikuu vya Kitaifa ya Nigeria (NUC) imetangaza maamuzi hayo ya kufungwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 14, 2023 wakati Uchaguzi Mkuu ukitarajiwa kufanyika Februari 25, 2023. Wamesema maamuzi hayo yamefanyika kwa ajili ya kulinda usalama wa wanafunzi na Wafanyakazi wa Vyuo, lakini...
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Manzoki na kumfunga mtani vilipogeuzwa ajenda ya uchaguzi

    MPAKA leo ni nani ambaye anaweza kuelewa mshambuliaji wa Mkongomani, Cesor Manzoki alikuja kufanya nini katika mkutano mkuu wa Simba? Ni ngumu kujua. Ni mshambuliaji ambaye Simba ilimkosa katika dirisha kubwa lililopita kwa sababu aliuzwa kwenda China. Aliibuka katika ukumbi wa uchaguzi wa...
Back
Top Bottom