Mnaomtetea Godfrey Nyange Kaburu kwanini amekatwa katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa Dhambi hizi Mbili Kisheria angetufaa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba.

2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani

Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa Imani nae huku Sisi Wengine tunaomjua vyema tukimchukia kabisa angetufaa / anatufaa?

Na mmeshaambiwa kuwa katika moja ya Vigezo vya Mgombea kupitishwa ni kuwa na Haiba ( Personality ) sasa mnaomtetea huyu Msaliti Godfrey Nyange Kaburu na aliyeikosea makubwa Klabu yetu ( yangu ) kwa haya Mambo machache tu niliyoyaelezea hapa juu anastahili na angetufaa kama Kiongozi wetu?

Kwa wale ambao mnampenda na mnamtaka sana Godfrey Nyange Kaburu awe Kiongozi undeni Timu yenu kisha mchukueni ila ndani ya Klabu yangu pendwa GENTAMYCINE ya Simba SC hatufai, hatumtaki na huu Mjadala Ufungwe na Uishe rasmi sawa?

Mnakera....!!!!!!
 
haiba kwa tafsiri ya kamusi ni muonekano wa nje,sasa hilo sio sharti la kugombea uongozi,pia kaburu hajashtakiwa na simba kwa ubadhirifu na hata hio kesi iliyofungukiwa na takukuru aliachiwa huru bi maana hana hatia
 
1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba.

2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani

Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa Imani nae huku Sisi Wengine tunaomjua vyema tukimchukia kabisa angetufaa / anatufaa?

Na mmeshaambiwa kuwa katika moja ya Vigezo vya Mgombea kupitishwa ni kuwa na Haiba ( Personality ) sasa mnaomtetea huyu Msaliti Godfrey Nyange Kaburu na aliyeikosea makubwa Klabu yetu ( yangu ) kwa haya Mambo machache tu niliyoyaelezea hapa juu anastahili na angetufaa kama Kiongozi wetu?

Kwa wale ambao mnampenda na mnamtaka sana Godfrey Nyange Kaburu awe Kiongozi undeni Timu yenu kisha mchukueni ila ndani ya Klabu yangu pendwa GENTAMYCINE ya Simba SC hatufai, hatumtaki na huu Mjadala Ufungwe na Uishe rasmi sawa?

Mnakera....!!!!!!
Ifikie wakati muache ujanja ujanja. Kama mtu alishtakiwa, na baadaye akaonekana hana kesi ya kujibu; maana yake mtu huyo hakuwa na hatia/kesi yake haikuwa na mashiko/ushahidi wa kumtia hatiani, haukujitosheleza.

Na kama wanachama mnajiamini hamumtaki; si mumpe haki yake ya kugombea, halafu mumuadhibu kupitia sanduku la kura! Hizo figisu mnazo mfanyia, zina faida gani kwa timu yenu?
 
Kuna Mambo ya ndaani pale Msimbazi nahisi hayako sawa, Sasa ni Bora agombee mtu ambaye Wana mmudu na tayari anafahamu madudu yaliyo fanyika hasa yahusuyo Mikataba.
Ukileta mtu mpya ambaye hayupo katika Kambi ya wajumbe wa Bodi atakuja kufunua Yale watu wengi waliyo Sema kuhusu chupri za viongozi kuhusu Mikataba apo Msimbazi.
 
1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba.

2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani

Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa Imani nae huku Sisi Wengine tunaomjua vyema tukimchukia kabisa angetufaa / anatufaa?

Na mmeshaambiwa kuwa katika moja ya Vigezo vya Mgombea kupitishwa ni kuwa na Haiba ( Personality ) sasa mnaomtetea huyu Msaliti Godfrey Nyange Kaburu na aliyeikosea makubwa Klabu yetu ( yangu ) kwa haya Mambo machache tu niliyoyaelezea hapa juu anastahili na angetufaa kama Kiongozi wetu?

Kwa wale ambao mnampenda na mnamtaka sana Godfrey Nyange Kaburu awe Kiongozi undeni Timu yenu kisha mchukueni ila ndani ya Klabu yangu pendwa GENTAMYCINE ya Simba SC hatufai, hatumtaki na huu Mjadala Ufungwe na Uishe rasmi sawa?

Mnakera....!!!!!!
Naongeza Moja hapa. Godfrey Nyange Kabourou amewahi kuuza mechi akiwa Makamu wa Rais wa Timu ya Simba
 
Marehemu Zakaria Hanspoppe alimkosakosa Kumpiga Risasi Uwanja wa Taifa baada ya CCTV Camera za Uwanja wa Mkapa kumuonyesha akipulizia Dawa ( Watu wa Mpira tunaiita 4-4-2 ) Vyumbani ili Wachezaji wakiingua Mapumzikoni walipokuwa wakicheza Mechi yao ya Ligi na JKT Ruvu wachoke na Simba SC ifungwe ili aliyekuwa anamtumia Tajiri Yusuf Manji na Yanga SC yake ( yao ) Wafurahi.

Tokea Siku hiyo nilimchukia na nakumbuka baada ya Kuwekwa Mtu Kati aliomba mno Msamaha japo Marehemu Hanspoppe alikataa kabisa Msamaha wako. Nashangaa baadhi ya Watu wanapenda na kumuona kama ni Mwenzetu na Mtu mzuri Kwetu Simba SC wakati kumbe ni Nyoka mwenye Sumu Kali sana.
 
Asante GENTAMYCIME kwa hii data. Kaburu ni takataka
 
Back
Top Bottom