uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Lema: Unapokuwa na viongozi mawazo yao ni uchaguzi na sio kizazi kinachokuja figo zenu zitasainiwa kuuzwa China

    Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu wanaangalia 2025 watapata wapi pesa ya uchaguzi. Huku akiendelea kuwa, Unapokuwa na viongozi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uliwengu wa kidigitali katika kuongeza ufanisi wa kiutendaji(Sensa & Kupiga kura)

    MATUMIZI YA MIFUMO YA KIDIGITALI KATIKA UCHAGUZI & SENSA YA WATU NA MAKAZI. Miongoni mwa mambo mazito katika utekelezaji ususani kwa nchi zinazoendelea ni maswala mazima ya kuendesha na kusimamia zoezi la uchaguzi pamoja na sensa za watu na makazi. Gharama nyingi sana utumika kusaidia...
  3. JamiiForums Tanzania CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

    Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani. Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

    Igweeeeeeeeee, Mambo vipi wakuu? Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu. Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Imejulikana, CCM wanategemea kupewa hela za kampeni uchaguzi ujao Toka DPW.

    Mara nyingi CCM hutegemea pesa za uchaguzi Toka kwa matajiri Ambao huzawadiwa rasilimali zetu kiholela. Wakati huu imekua ni zamu ya DPW ndio maana inatetewa kwa nguvu zote. Bibi tozo amehakikishiwa mpunga mrefu wa kampeni kwa chama chake ili waendelee kukaa madarakani na kuwalinda hawa...
  6. JamiiForums Tanzania Kampeni za Uchaguzi wa Diwani Kata ya Magubike Kilosa

    MBUNGE NORAH MZERU ASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA MAGUBIKE WILAYA YA KILOSA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa Diwani Kata ya Magubike Wilaya ya Kilosa. "Nimesimama hapa kumuombea...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia ni bora serikali yote ijiuzulu na uitishwe uchaguzi kabla ya 2025 ili kupata serikali itayoipelekea nchi yetu mahali sahihi

    Ni wazi kuwa serikali ya sasa imeamua kuchukua maamuzi ambayo yamekosa ushauri na mwongozi sahihi. Kuna masuala kadhaa: 1. Mkataba wa bandari za Tanzania Bara na kampuni ya kimataifa ya DP world umewahishwa sana. NI wazi kuwa kulikuwa na mijadala kuhusu "terms" za mkataba hadi umauti...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Mapendekezo ya kuunda Tume ya Uchaguzi

    Kutokana na mahakama ya Africa kutengua wakurugenzi kusimamia uchaguzi Tanzania na kuagiza serikali kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi ndani ya miezi 12 nilikuwa na mapendekezo yafuatayo. Napendekeza tume ya uchaguzi iundwe katika mfumo ufuatao. 1. Tume iwe na wajumbe 10 ambao...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge afanya mambo ya aibu kuhujumu uchaguzi wa UVCCM - Muleba

    Katika hali isiyo ya kawaida, mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amejitanabaisha kama mtu ambaye ameingilia uchaguzi wa katibu wa hamasa Wilaya ya Muleba. Huu ni mwendelezo wa matendo ya kubaka haki na kuingilia utendaji kazi wa jumuiya. Hii habari imeanza hivi: Mwenyekiti wa Vijana wa Wilaya...
  10. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025, huyu mzee anazidi kumtia makamu tumbo joto

    Habari zenu wana JF wenzangu, Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango...
  11. JamiiForums Tanzania KWELI Omary Ramadhan Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama. Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
  12. JamiiForums Tanzania TPP KULETA UPINZANI MKALI UCHAGUZI MKUU TAIWAN MWAKANI(2024) ?

    ( Mgombea kiti cha urais 2024 bwana Ko Wen-je kupitia chama cha TPP ). Chama cha kisiasa cha Taiwan ambacho kiliundwa miaka minne(2019) iliyopita kimepanda nafasi mbele ya chama kikuu cha upinzani Kuomintang na kuwa chama cha pili maarufu zaidi katika kisiwa hicho. Chama cha watu wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kama kutakuwa na mapitio ya Intergovermental Agreement (IGA) kuhusu DP World mapitio hayo yapelekwe bungeni baada ya uchaguzi wa 2025

    Nimemsikia Waziri Mkuu Majaliwa akizungumzia uwezekano wa kufanya mapitio(review) ya azimio lililopitishwa bungeni Intergovermental Agreement(IGA) inayohusu uwekezaji wa DP World hapa Tanganyika. Bunge la sasa hivi la chama kimoja-1) lililipitisha azimio hilo "kwa kishindo" kama ilivyo kawaida...
  14. JamiiForums Tanzania Napendekeza kura za uchaguzi mkuu zipigwe kwa kutumia Tigo pesa

    Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money. Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua Rais, Mbunge, Diwani, kisha atatuma kura yake. Kwa wasio na simu wataenda kwa mawakala kwa kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Napinga mchakato wa kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025, Watanzania tukatae maigizo ya wanasiasa. Imetosha

    Bila kutumia Maneno mengi wote tunajuwa mabilioni ya pesa za walipa kodi yalivyohujumiwa na wanaccm kukwamisha katiba pendekezwa ya tume ya Warioba. Sasa kuna wanasiasa wanadhani tumesahau au sisi ni wajinga, eti wanataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025 halafu bunge hili la DP ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Waitara atamba, adai Heche hana nyumba Tarime, anaishi kwa mama yake, asema anamsubiri kwa hamu uchaguzi wa 2025

    Tarime haijawahi kupoa! Mbunge Waitara, akihojiwa na kituo Cha tv Cha Dar24 ametamba kwamba hawezi kubabaishwa na mwanafunzi wake kisiasa, John Heche, na kwamba atamchakaza kwenye uchaguzi wa 2025. Waitara ametamba kwamba John Heche hana nyumba Tarime, na kwamba anaishi kwa mama yake, hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu. Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi; Nini hatima ya Tanzania na Maamuzi ya Mahakama ya Rufani?

    Mahakama Kuu ya Tanzania ilisema SIO SAWA Wakurugenzi (ma-DED) Kusimamia Uchaguzi. Mahakama ya Rufani ikatengua Maamuzi hayo👆🏿, moja ya sababu ilikuwa kwamba Wakurugenzi huwa wanakula kiapo cha kukana vyama vyao vya Siasa, pia hoja ya kwamba wanateuliwa na Rais hivyo hawawezi kukosa upendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA yasema Haitashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika Kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
  20. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mdogo wa Kata 14 Tanzania Bara

    Tume ya taifa ya uchaguzi (nec) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 14 tanzania bara utakazofanyika julai 13, mwaka huu. Kuwepo kwa uchaguzi huo kumetangazwa leo juni 14, 2023 jijini dodoma na mkurugenzi wa nec, ramadhani kailima ambaye ameeleza kuwa unafanyika baada ya kupokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…