CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Mgombea Ubunge Jimbo la mchinga kupitia CUF, Mhe. Hamidu Bobali amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo mchinga
Mchinga si ndio ameongoza Salma Kikwete kwenye kura za maoni za CCM?