Mbunge wa kuchaguliwa ama yule wa viti maalum hukoma kuwa mbunge pale tu akikosa kuwa mwanachama wa chama Cha siasa ama muda wake kuisha au sababu zingine za kisheria zilizo ainishwa katika katiba.
Je inakuwaje kwa akina Bashiru na Polepole?
Nani Mwenye mamlaka ya kuwafuta ubunge kabla bunge...
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa...
Askofu Mbunge hupata sadaka za kuanzia Ml 40 hadi Ml 60 kwa Jumapili moja. Amekuwa Mnafiki kwa sababu biashara anayofanya hataki kupoteza waumini wake.
Huyu hana tofauti na Kibwetere kwa sababu mahubiri yake ni mipasho na kutisha watu kuombewa hadi kufa.
Jumapili ijayo ni lazima atampasha...
Je, ni Jumbe Katala?
Je, ni Zaipuna Yonah?
Je, ni Timothy Lyanga?
Je, ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je, ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na...
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Watakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati.
Huko kwenye majimbo vijana wanahitaji ajira, kama mbunge hawezi kutengeneza ajira asichaguliwe ubunge. Maana huyo hana uwezo.
Huyu mgombea ubunge alikua anapeleka mchele kwa wananchi ili...
Ndugu Shekha Mpemba Fakhi kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba.
Ikumbukwe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka kupitia taarifa kwa umma aliyoitoa hapo jana...
Halihitaji Maelezo , Swali langu hili limekaaje kikatiba au kisheria??
Kama si sahihi , je ni Kweli Dk Mwinyi ni Mam Samia wana nia ya kuheshimu katiba, sheria na kanuni hapa nchini?
Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi.
Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake.
Hatua hii isiyokuwa na chembe ya ubinafsi iliyojaa dalili zote za hatari, ni ya kupongezwa sana na kila mpenda...
Binafsi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa japo nafuatilia siasa kwa sababu siasa ina affect sekta zingine zote za kimaisha hivyo upatikanaji au uwepo wa viongozi bora ni kitu muhimu sana kwa maendeleo. Na ili tupate maendeleo, tunahitaji mawazo mbadala kila kukicha.
Soma > Olengurumwa...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaambia Wabunge kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Tanzania ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo litakuwa limekataa kupitisha bajeti ya serikali iliyopendekezwa.
Ameyasema hayo leo, Juni 22 ambayo ni siku ya...
Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni.
Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi.
Nini maoni yako katika hili.
Soma, Pia
Olengurumwa: Ubunge uwe na ukomo wa miaka 15...
Habari wadau..!
Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's .
Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.
Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?
Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...
Kuna muda huwa najiuliza tu kama watanzania tulianza anzaje kuwa na mbunge kama Babu Tale
Mwendazake alifanya kazi ya ubunge iwe ni kama kazi ya kubeti tu. Wanatangaza nafasi mwenye pesa anachukua Form mwenyekiti akimkubali basi ndio anakuwa mbunge, maana hakuna uchaguzi wa haki uliotokea...
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya...
Katika Awamu hii ya Mama Samia , ingalau Rais anajaribu kurudisha conscience ya jamii, kisiasa kuheshimu ukweli na uungwana.
Suala la Mdee na wenziwe 18 kuwepo Bungeni kwa barua za kughushi linamuondolea heshima Ndugai.
Leo akisimama na majoho yake ati kutetea ukweli wa kitu fulani au issue...
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.