ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 kuguswa kuanzia leo Juni 27, 2022

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda la kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa yao. Chanzo: MwanaHalisi =========== Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Ubunge wa Mbunge wa Ngorongoro baada ya wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni?

    Ninajiuliza huyu mbunge atapigiwa kura na nani huko Ngorongoro baada ta wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni? Sijasikia familia ya huyo Mbunge imehamishiwa Handeni kutoka Ngorongoro. Pili baada ya Wamaasai kuhamishwa Ngorongoro hiyo wilaya itafutwa kiutawala au nini hatima yake?
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Kaka wa Rais Gotabaya Rajapaksa ajiuzulu Ubunge

    Kaka wa Rais Gotabaya Rajapaksa ametangaza kujiuzulu Ubunge akisema kuanzia sasa hataki kujihusisha na shughuli zozote za Serikali Basil Rajapaksa ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri wa Fedha anakuwa ndugu wa pili wa Rais kujiuzulu kufuatia mdororo wa kiuchumi ambao ulisababisha vurugu na...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa jimbo la Hai ofisi ya CCM ulikochukulia na kurudishia fomu za Ubunge haifanani na hadhi yako

    Kichwa cha habari kinajitosheleza. Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai. Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo, anza ziara ya kuaga wana Arusha, hakuna namna 2025 utarudi katika Ubunge

    Buriani Mrisho Gambo! Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila anayemuona mbele yake. Sasa analaumu hata maafisa wa chama ambao walikesha usiku na mchana kumpigia...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nyaraka ya Mahakama Kuu Kuhusu zuio la Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake 18

    Haya ni maamuzi ya Mahakama Kuu mbele ya Jaji Mgetta kuwa 1. Maombi ya zuio la muda la kina Halima Mdee kuendelea kubaki na Ubunge wao hadi kesi yao itakapokubaliwa. 2. Kesi ya msingi itasikilizwa Juni 13, 2022 saa 4:00 Asubuhi.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi wabunge wanaovuliwa Ubunge mikopo yao hulipwa na Serikali au hukatwa kwenye malipo yao ya kiinua mgongo?

    Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama. Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Akandunduma: Halima Mdee na wenzake wanapigania Ubunge au Uanachama wao CHADEMA?

    Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama. Suala la ubunge ni lingine kabisa tena ni...
  10. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Hatma ya ubunge wa Mdee na wenzake kujulikana leo

    Vyanzo vya ndani vinadai Ubunge wa kina Halima unaweza kuisha leo kwani Bunge limeshafanya maamuzi. Tusubiri, ni muda mchache ujao
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Niliongea nao wakasema wako tayari kushirikiana na chama, lakini tuwaachie Ubunge

    Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?” Anasema, “Nilichokigundua baada ya kufanya mazungumzo nao, mdomoni wanasema wanakipenda Chadema na wapo tayari kurudi na kushiriki...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chadema wasipewe fedha za ruzuku zilizotokana na ubunge wa Mdee na wenzake

    Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge. Huwezi kula usichopanda. Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hamna weledi Mdee na Bulaya hata wakianzisha chama chao wanapita ubunge

    CHADEMA mnadanganywa Sana. Na hakika mnadanganywa. Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee. Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge. Poleni, life is hard, byee.
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

    Hawa waliteuliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CHADEMA, na wakaapishwa, waende Mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
  15. babu M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Job Ndugai: Sitagombea tena ubunge 2025!

    Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma. Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji wagombea binafsi Ubunge ili wawe huru kutoa mawazo yao Bungeni. Waliopo wanapigania maslahi ya vyama vilivyowapa dhamana

    Ndugu msomaji wa nakala hii fupi. Habari ya wakati huu. Naomba rejea kichwa cha nakala hii kama kinavyojieleza hapo juu. Naomba kunukuu "Tunahitaji mgombea binafsi wa ubunge ili wabunge wawe huru kutoa mawazo yao bungeni bila kuogopa chama". Tangu nimeanza kufuatilia mambo ya siasa za dunia...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni mbunge Mpina pekee anayetumia ubunge wake ipasavyo, wabunge mliobaki naomba tujikumbushe majukumu ya Bunge la Tanzania

    Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake. Majukumu ya Bunge yametamkwa katika Ibara ya 63 (2) ya Katiba ya Nchi, kwa maneno yafuatayo: “Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

    Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
  19. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu nikiwa Jiji la Mbeya. CHADEMA na Sugu wasahau ubunge

    Ndugu Zanguni leo ndio nimehitimisha majukumu yangu ya mradi unaohusisha mambo ya Jamii kupitia shirika lisilo la kiserikali la WORLD VISION. Pamoja na mengine nimekuwa nikikaa kwenye vijiwe, kukutana na wakazi wa Mbeya mjini na viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa dini na waumini wao...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ukiacha ubunge wa Halima Mdee na wenzake, hivi hata wabunge wa CCM ni halali na serikali hii pia ni halali?

    Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali? Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema...
Back
Top Bottom